Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Humtendei haki marehemu Whitney Houston kumlinganisha na Celine Dion. Whitney hakuna wa kumlinganisha nae kwenye kizazi chake. Mariah Carey aliwahi kusema, "Mimi naimba, na kuna wanamuziki wengi wa kike wanaimba, lakini Whitney sio levo zetu kabisa, ile ni mashine nyingine." Celine mlinganishe na Mcanada mwenzake Shania Twain.
Huyu Whitney alibarikiwa sauti tamu Sana.
 
swali zuri

kwenye vocal wako almost sawa

illa attractive vocals na madoido whitney yuko juu. Celine ana vocals nzuri ila hana madoido mengi, kwenye live performance whitney alikuwa na uwezo wa kubadili sauti na nyimbo atakavyo, celine live zake ziko strong ila anabaki original


kwa umaarufu whitney yuko juu label ya Motown walimpaisha na aliuza sana

whitney kacheza na filamu hollywood that makes her juu


Kwenye miaka ya mwanzo kutoka 1985 mpaka 1995 whitney hakuwahi kuwa na mpinzani. Celine dion kaja juu zaidi 1997 baada ya titanic movie

baada ya 1995 whitney ki vocal akashuka kwa madawa, ila celin ka maintain power ile ile kwa miaka 30 sasa! hata leo ukimwambia aimbe celine ataimba kama mwaka 1990
Whitney alikuwa mtamu aisee! Kuanzia sauti, nyimbo mpaka.........
 
Loovee doesnt ask why... Aiseee CELINE MKALIIII

Sent using Jamii Forums mobile app
acha kabisa.love doesn't ask why,it's speak from the heart,and never explain.love doesn't think twice,it's can come all at once,all a whisper from a distance.......................acha mzee baba, humu celine kanichambulia maloveee kama yote
 
Habari wadau,kama ww ni mfuatiliaji wa muziki bila shaka utakuwa unawajua wanamuziki hawa.Je kwa mtazamo wako nani ana kipaji kuliko mwenzake?mimi kwa mtazamo wangu naonal Whitney houston ana kipaji kikubwa kuliko Celine Dion,wewe je unaonaje?
Both have unique voices ... Kuna vitu Whitney Houston anaweza kufanya na sauti yake lakini Celine Dion hawezi same goes na Celine Dion kufanya vitu na sauti yake Whitney Houston hawezi ... Whitney's voice is stronger than Celine hivyo hivyo Celine anaweza ku belt nyimbo kumpita Whitney ... Both artist are on there own league also ni icons duniani together with Mariah Carey, wanaitwa Vocal Trinity ... Conclusion, both are better on there own rights as well as genre ... Whitney in Rnb and Celine in Ballads.
 
Habari wadau,kama ww ni mfuatiliaji wa muziki bila shaka utakuwa unawajua wanamuziki hawa.Je kwa mtazamo wako nani ana kipaji kuliko mwenzake?mimi kwa mtazamo wangu naonal Whitney houston ana kipaji kikubwa kuliko Celine Dion,wewe je unaonaje?
Wotee ila nimajina ndo tofauti
 
Pambana na hali yakoo... Celine dions achana naee aiseee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani nyimbo zake hata la saba asieelewa anasikiliza na kuenjoy kale kasautii

Sent using Jamii Forums mobile app
Waache utani.

Hata mtoto wa 2010 si ajabu hamfahamu Whitney Houston lakini anamjua Celine Dion
 
Back
Top Bottom