Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Alijiharibia sana kwa kuanza kutumia unga ambao ukaharibu sauti yake, maisha yake na kuwa chanzo cha kifo chake, but she was very special and very talented as compared to CD.


Mi nimeanza kumjua kaishakuwa Teja....halafu sijui ni arena London alipoharibu shoo na msauti wake kama chi chidi mabenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alijiharibia sana kwa kuanza kutumia unga ambao ukaharibu sauti yake, maisha yake na kuwa chanzo cha kifo chake, but she was very special and very talented as compared to CD.

Mbona teja Bobby yuko fresh now na wife wake wanakula life[emoji8]

Aliyemdumbukiza kwenye unga anadunda ye kafa life bana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah we ndo hujui lolote nakwambia sasa Celine Dion ni mwisho wa pop music
 
celine ni level nyingne...angalia wimbo wa 'we are the world' ndo utaona alivopita kuwazid wote....anasauti ya kupanda iliyotulia na ana hits kuliko whitney.
Ana kipaji cha hali ya juu sana ingawa hata Whitney nae si mbaya sana
 
Watu wa humu mlisema Michael Jackson ni zaidi ya Bob Marley, kwahiyo siwashangai mkimpa credit Celine Dion mbele ya Vocal Queen
Jackson na Bob ni watu wanaimba tone za tofauti huwezi kuwashindanisha.
 
Hao siyo legends wana nyimbo chache sana.hapa tunazungumzia legendary!
 
Ingawa nazipenda zaidi nyimbo za Celine Dion lakini Whitney Houston yupo juu zaidi ya Celine na hata Celine analijua hilo.
Mkali wa masauti, my her soul rest in peace.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…