Who are these Bongo Icons???

Who are these Bongo Icons???

Mkuu Valid_Options asante sana kwa pichi nzuri ya mheshimiwa Vick Kamata, nakupa 'big up' , hivi bado anaimba???
tuletee na nyingine na za wengine pia
aseeee chakulaaa ya nguvu...totozzz liko beeeee
 
Mchukue mkeo.
Mpige soap-soap.
Mvalishe hivi vijiguo vya utatanishi.
Mpeleke Photo Point.
Picha kacha!!!
....hutamwangalia tena huyu uliyembandika hapo juu wala wengine wa aina y

Maanake.........mwanamke yeyote akijiswafi, kujipodoa na kuji-expose maungo yake utamuona anavutia tu!

waaambie hao...
kila mwanamke ni mzuri...ukimtunza akatunzika atapendeza tu!
 
Back
Top Bottom