BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
TaBU kWElI KwELi !!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aseeee chakulaaa ya nguvu...totozzz liko beeeeeMkuu Valid_Options asante sana kwa pichi nzuri ya mheshimiwa Vick Kamata, nakupa 'big up' , hivi bado anaimba???
tuletee na nyingine na za wengine pia
Mchukue mkeo.
Mpige soap-soap.
Mvalishe hivi vijiguo vya utatanishi.
Mpeleke Photo Point.
Picha kacha!!!
....hutamwangalia tena huyu uliyembandika hapo juu wala wengine wa aina y
Maanake.........mwanamke yeyote akijiswafi, kujipodoa na kuji-expose maungo yake utamuona anavutia tu!
Ni kweli kabisa Fab tunza king'aa kikuvutiewaaambie hao...
kila mwanamke ni mzuri...ukimtunza akatunzika atapendeza tu!