"Who are you" itamgharimu sana Rais Samia kidiplomasia

Nsumba-ntale

Member
Joined
May 24, 2026
Posts
15
Reaction score
80
Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauri wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile

Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa kwa chochote kile kitaonekana kinawashusha thamani na kudharauliwa. Huwa wapo tayari wafanye chochote kukutweza kwa aibu kubwa uliye thubutu kuwatweza!

Ki ukweli sioni amani ya moyo kwa ndugu kiongozi wetu baada ya Wamarekani kuanza kutekeleza adhabu-rejeshi baada ya kauliye. Sioni ni kwa namna gani hatua walizoanza kuzichukua, zitarejeshwa nyuma

Kama unatarajia uropokaji wa kina Nape, Bulaya na wengine eti utawafanya Seneti ya Bunge la Wamarekani waufyate, jidanganyeni!
 
Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauli wa Rais wetu hawaku-mtetendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile

Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa kwa chochote kile kitaonekana kinawashusha thamani na kudharauliwa. Huwa wapo tayari wafanye chochote kukutweza kwa aibu kubwa uliye thubutu kuwatweza!

Ki ukweli sioni amani ya moyo kwa ndugu kiongozi wetu baada ya Wamarekani kuanza kutekeleza adhabu-rejeshi baada ya kauliye. Sioni ni kwa namna gani hatua walizoanza kuzichukua, zitarejeshwa nyuma

Kama unatarajia uropokaji wa kina Nape, Bulaya na wengine eti utawafanya Seneti ya Bunge la Wamarekani waufyate, jidanganyeni!
Inasikitisha san maan hao marekani ndo wana control mamb mengi kweny ulimwengu huu hasa wa dunia ya tatu eti leo hii unamwambia who r u! Ambao wakiamua kukupiga ban hakuna kutoka ndan ya nchi yako na kusafiri
 
Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauli wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile

Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa kwa chochote kile kitaonekana kinawashusha thamani na kudharauliwa. Huwa wapo tayari wafanye chochote kukutweza kwa aibu kubwa uliye thubutu kuwatweza!

Ki ukweli sioni amani ya moyo kwa ndugu kiongozi wetu baada ya Wamarekani kuanza kutekeleza adhabu-rejeshi baada ya kauliye. Sioni ni kwa namna gani hatua walizoanza kuzichukua, zitarejeshwa nyuma

Kama unatarajia uropokaji wa kina Nape, Bulaya na wengine eti utawafanya Seneti ya Bunge la Wamarekani waufyate, jidanganyeni!
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
useless and completely nonsense politically speaking 🐒
 
Tatizo akishalanduka anabwatuka tu tena anajigamba kuwa wakimkera anabwatuka tu halafu wasaidizi wake watakuja kufanya damage control. Hili sasa limetugharimu Kombo katembea nchi 25 kufanya damage control lakini imeshindikana.
 
Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauli wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile

Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa kwa chochote kile kitaonekana kinawashusha thamani na kudharauliwa. Huwa wapo tayari wafanye chochote kukutweza kwa aibu kubwa uliye thubutu kuwatweza!

Ki ukweli sioni amani ya moyo kwa ndugu kiongozi wetu baada ya Wamarekani kuanza kutekeleza adhabu-rejeshi baada ya kauliye. Sioni ni kwa namna gani hatua walizoanza kuzichukua, zitarejeshwa nyuma

Kama unatarajia uropokaji wa kina Nape, Bulaya na wengine eti utawafanya Seneti ya Bunge la Wamarekani waufyate, jidanganyeni!
Suala la kuropoka na kudhibiti kauli utawaonea wasaidizi, ninutashi wa mtu mwenyewe
Kama haba breki hana breki
 
Tutawalaumu wasaidizi wake bure, hakuna msaidizi aliyemuandikia hotuba ya vile. Zile ni kauli zake mwenyewe kutokana na hulka yake binafsi. Aliposema kifo ni kifo, haikuwa sehemu ya hotuba iliyoandaliwa na wasaidizi wake, na hata WHO ARE YOU nk, ni mahaba yake mwenyewe. Waziri Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo by then, alisimamia utekelezaji wa sheria inayozuia uingizaji holela wa sukari toka nje ya nchi, akitumia maneno, over my dead body, hakuna sukari itaingia nchini pasipo kufuata utaratibu, Mkuu wa kaya akiwa na M7 alitumia maneno mabaya sana kwa msaidizi wake hata kama hakumtaja jina, na baadaye alifanya rishafle ya cabinet na kumhamisha Mkenda kwenda Elimu na kumpandisha Bashe. Hakuna msaidizi angetumia neno lile kama sehemu ya hotuba ya boss wake

Maneno ya kifedhuri ni hulka yake binafsi, wasaidizi wasilaumiwe
 
Ki ukweli hakika, washauli wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile

Labda hili lilikupita. Hulijui.

Mwezi mmoja uliopita takriban, Samia aliongea Ikulu kwa mdomo wake akasema, diplomatic deputies wakimwambia hapo hupaswi kuongea hivyo anawa blow off, anawaambia "hayo ya diplomasia ni ya kwenu nyinyi, mimi nabwatuka tu."

Sasa kwa nini useme washauli hawamtendei haki ????

Na sio washauli. Ni washauri. Na ufuatilie hizi diplomatic gaffes and blunders za Samia. Kama unataka kuwa taken seriously.
 
Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauri wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile

Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa kwa chochote kile kitaonekana kinawashusha thamani na kudharauliwa. Huwa wapo tayari wafanye chochote kukutweza kwa aibu kubwa uliye thubutu kuwatweza!

Ki ukweli sioni amani ya moyo kwa ndugu kiongozi wetu baada ya Wamarekani kuanza kutekeleza adhabu-rejeshi baada ya kauliye. Sioni ni kwa namna gani hatua walizoanza kuzichukua, zitarejeshwa nyuma

Kama unatarajia uropokaji wa kina Nape, Bulaya na wengine eti utawafanya Seneti ya Bunge la Wamarekani waufyate, jidanganyeni!
Bi. Nywinywinywi ataita maji mma😂
 
Mshauri mwenyewe kibudu wa jalalani unategemea atashauri nini ili asimwage kande anazotafuna mdomoni baada ya kutolewa jalalani? Kumbuka alimshauri jiwe kupeleka Boeing kununua majitaka madagasca pia
Hiyo ya Ndege mimi nilikuwa nimeisahau.
Nashukuru kwa kunikumbusha
 
Mama yupo sahihi nadhani nyie ndobado mnautumwa wafikra wakuwaabudia wazungu.yanimnaona bilawao hatuezi ishi nakari wao ndohawaezi ishi bila sisi
 
Back
Top Bottom