Nsumba-ntale
Member
- May 24, 2026
- 15
- 80
Inasikitisha san maan hao marekani ndo wana control mamb mengi kweny ulimwengu huu hasa wa dunia ya tatu eti leo hii unamwambia who r u! Ambao wakiamua kukupiga ban hakuna kutoka ndan ya nchi yako na kusafiriLilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauli wa Rais wetu hawaku-mtetendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile
Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa kwa chochote kile kitaonekana kinawashusha thamani na kudharauliwa. Huwa wapo tayari wafanye chochote kukutweza kwa aibu kubwa uliye thubutu kuwatweza!
Ki ukweli sioni amani ya moyo kwa ndugu kiongozi wetu baada ya Wamarekani kuanza kutekeleza adhabu-rejeshi baada ya kauliye. Sioni ni kwa namna gani hatua walizoanza kuzichukua, zitarejeshwa nyuma
Kama unatarajia uropokaji wa kina Nape, Bulaya na wengine eti utawafanya Seneti ya Bunge la Wamarekani waufyate, jidanganyeni!
Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauli wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile
Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa kwa chochote kile kitaonekana kinawashusha thamani na kudharauliwa. Huwa wapo tayari wafanye chochote kukutweza kwa aibu kubwa uliye thubutu kuwatweza!
Ki ukweli sioni amani ya moyo kwa ndugu kiongozi wetu baada ya Wamarekani kuanza kutekeleza adhabu-rejeshi baada ya kauliye. Sioni ni kwa namna gani hatua walizoanza kuzichukua, zitarejeshwa nyuma
Kama unatarajia uropokaji wa kina Nape, Bulaya na wengine eti utawafanya Seneti ya Bunge la Wamarekani waufyate, jidanganyeni!
useless and completely nonsense politically speaking 🐒Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauli wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile
Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa kwa chochote kile kitaonekana kinawashusha thamani na kudharauliwa. Huwa wapo tayari wafanye chochote kukutweza kwa aibu kubwa uliye thubutu kuwatweza!
Ki ukweli sioni amani ya moyo kwa ndugu kiongozi wetu baada ya Wamarekani kuanza kutekeleza adhabu-rejeshi baada ya kauliye. Sioni ni kwa namna gani hatua walizoanza kuzichukua, zitarejeshwa nyuma
Kama unatarajia uropokaji wa kina Nape, Bulaya na wengine eti utawafanya Seneti ya Bunge la Wamarekani waufyate, jidanganyeni!
Suala la kuropoka na kudhibiti kauli utawaonea wasaidizi, ninutashi wa mtu mwenyeweLilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauli wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile
Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa kwa chochote kile kitaonekana kinawashusha thamani na kudharauliwa. Huwa wapo tayari wafanye chochote kukutweza kwa aibu kubwa uliye thubutu kuwatweza!
Ki ukweli sioni amani ya moyo kwa ndugu kiongozi wetu baada ya Wamarekani kuanza kutekeleza adhabu-rejeshi baada ya kauliye. Sioni ni kwa namna gani hatua walizoanza kuzichukua, zitarejeshwa nyuma
Kama unatarajia uropokaji wa kina Nape, Bulaya na wengine eti utawafanya Seneti ya Bunge la Wamarekani waufyate, jidanganyeni!
Ki ukweli hakika, washauli wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile
Kombo sasa katika moja na mbili zakeuseless and completely nonsense politically speaking 🐒
Bi. Nywinywinywi ataita maji mma😂Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauri wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile
Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa kwa chochote kile kitaonekana kinawashusha thamani na kudharauliwa. Huwa wapo tayari wafanye chochote kukutweza kwa aibu kubwa uliye thubutu kuwatweza!
Ki ukweli sioni amani ya moyo kwa ndugu kiongozi wetu baada ya Wamarekani kuanza kutekeleza adhabu-rejeshi baada ya kauliye. Sioni ni kwa namna gani hatua walizoanza kuzichukua, zitarejeshwa nyuma
Kama unatarajia uropokaji wa kina Nape, Bulaya na wengine eti utawafanya Seneti ya Bunge la Wamarekani waufyate, jidanganyeni!
Hiyo ya Ndege mimi nilikuwa nimeisahau.Mshauri mwenyewe kibudu wa jalalani unategemea atashauri nini ili asimwage kande anazotafuna mdomoni baada ya kutolewa jalalani? Kumbuka alimshauri jiwe kupeleka Boeing kununua majitaka madagasca pia
Lugha gongana!