Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Wewe unaekataa kuwa MUNGU HAYUPO
Hapa tu inaonesha hujui kiswahili ama kama unajua hujui umeandika nini!,,kubishana na wewe usiyejuaa hata ukanushi unatumika vipi ni kaz kwel kwel.""wewe UMEKATAA(ukanushi),kuwa mungu hayupo(ukanushi),haha