Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Hawa watu wananosema hakuna Mungu sijui kwanini wanahangaika na kujaza sever za JF kukabiliana na kitu kisichokuwepo!
Sever kujaa,nadhani haimuumizi mtu ndo mana zipo.Ama unaathirika chochote sever zikijaa?
Kabla huja quote na kukometi nakushauri uwe unasoma na kujua contex ya nilichosema
Hilo tatizo ulilolisema wewe hapo sio nililolisema mimi!
Hahha,nshakuzoea mkuu,mambo vipi lakini?
Najua umezoea kuwapeleka peleka wale ambao unawaona hawako makini
.............Mambo poa mkuu!
Hapana mkuu,usiseme hivo,huwa naamini sana katika kuhoji,kuhakiki,kuprove,na kijifunza pia.so ndo mana huw anajaribu kutoa kile ambacho ninacho na kubadilishana na wadau hapa jamvini
Ni kwel kwamba sifaham kila kitu na hakuna mtu wa hivo pia.Naheshimu pia mchango wako na upnde unao simamia
its not the matter of expressing or arguing its the matter of you answering my questions failure to that whatever the feedback apart from answers to my questions is invalid
Kumbe unaamini ..!!!!!!
Ndio,lakini sio uaminicho wewe/Umaminivyo wewe .Naamini baada ya kujua
Kwa ufahamu wako wewe kuamini ni nini?
Nakujibu kwa kifupi sana,Nijuavyo mm,KUAMINI ni kukubali ama kuridhia kitu/jambo bila kuwa na uhakika nalo/nacho.Angalizo,usichanganye IMANI na KUAMINI,
Ok,sasa niambie maana ya kujua kwa mujibu wa ufahamu wako!
Ninavojua NENO KUJUA,linamaanisha Kutambua/kuelewa/kufahamu kitu/jambo flani(sio lazima iwe kiundani!).
Hebu kagua yote niliyokuuliza kisha ukague majibu yako halafu uniambie kama uko sawa
Kama hauko sawa niambie kosa liko sehemu ipi!
We ulishawahi kujisahihisha mtihani?,we mwalimu wangu leo na nisahihishe mi mtihani nishajibu bana.
Ndio,lakini sio uaminicho wewe/Umaminivyo wewe .Naamini baada ya kujua
Free Ideas; usiumize kichwa chako sana kufikiri mambo magumu na kuamini ndiyo sahihi. Wewe jua tu kwamba kama duniani tumeishi je tume-master dunia kwa asilimia ngapi? Hapo utapata jibu kwamba dunia ni complex na tujuacho ni 0.000000000 very many 0's infact at the end 1% Kifupi negligible and that is why we have the words development, advancement and technology in our dictionaries. So it is not relevant to say we have not mastered the world and how can we be able to be perfect to discuss the origin of GOD. If we should ask you how did you feel when you were in your mothers womb, definately you can not tell us any experience that you remember and that shows how we think is affected by the growth and the environment we live in. GOD is such GREAT that is not affected by cause and effect theory you are insinuating. HE is the creator of cause and effect and beyond which it was not in existence. Just like the womb theory that when the brain started thinking and reasoning is when you remember, beyond which you can not so does beyond the cause and effect is when there is GOD.
Simple!