Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
People rather understand poor science than Allah's words with clear evidence! Mr Science can you explain to us, things came from big bang? who created that bang? and why that bang did stop happening to create more creatures?
The Gaps of Science does not create God,or means that There is GOD ,its the matter of time & Development in science fields.If they do create him,allow me to call him THE GOD OF GAPS,
Aisee! Saivi hakuna jitihada zinazotumika ili kuupoteza hule mwili!
Wamisri wanautumia kupreserve history na kuwaingizia kipato kwa watalii!
But hiyo siyo hoja kwamba ule mwili haukujaribiwa kupotezwa!
Ule mwili ulimwagiwa hata acid na ulishindikana kuyeyuka!
Na jee unajua ule mwili ulitangatanga mda gani hadi kufika pale ulipo leo?
Jee kama hakuna force ya Mungu ungefika pale ulipo?
Wewe unaandika kizungu but unauswahili mwingi sana ktk bongo yako!!!
Nimekuuliza swali hata haujajibu umesharusha maswali ambayo yataondoa issue on table (irrelevant question to the fact in issue)
Hilo swali lako liweke kiporo na ujibu swali langu then nitakujibu!
And if unafact za kutosha basi tufanye mijadala miwili! 1 pharaoh body na 2 uwepo wa Mungu!
...
Embu nijibu swali langu kama nilivyokuuliza!
Kwanini mwili wa firauni upo mpaka leo?
je unahakika gan kama iyo nguvu iliyotumika ni ya MUNGU wakati hata SHETAN nae ana uwezo wa kufanya miujiza kama hyo.
Hahahahahaaa! At least swali lako linamashiko!
Jibu:
Ni Mungu mwenyewe ndie aliesema hivyo! = Hakuna shetani aliesema alihifadhi ule mwili!
So kama wewe unapinga maneno ya Mungu kusema ule mwili utaonekana na vizazi vyote mbeleni, ni wewe wa proof kama sio Mungu alihifadhi ule mwili!
Na kama ni shetani alieuhifadhi ule mwili, ni wewe ndie unaepaswa kuproof hilo!
Haya bhna mkuu mimi nakuelewaga sana mana ww si mtumwa wa mawazo ila unajenga hoja na unaelewa hoja ya mwenzako pia. hizi habari za mungu na dini tutazithbitisha hyo siku ya kiama kama kipo
Kuna watu mnavichwa vigumu humu ndan, we nimesha kwambia sijui kidhungu then how nimedandia gari kwa mbele?mbona unajambisha ndugu umesema 2sidandie gari kwa mbele mbona wewe unadandia
People rather understand poor science than Allah's words with clear evidence! Mr Science can you explain to us, things came from big bang? who created that bang? and why that bang did stop happening to create more creatures?
Aisee! Saivi hakuna jitihada zinazotumika ili kuupoteza hule mwili!
Wamisri wanautumia kupreserve history na kuwaingizia kipato kwa watalii!
But hiyo siyo hoja kwamba ule mwili haukujaribiwa kupotezwa!
Ule mwili ulimwagiwa hata acid na ulishindikana kuyeyuka!
Na jee unajua ule mwili ulitangatanga mda gani hadi kufika pale ulipo leo?
Jee kama hakuna force ya Mungu ungefika pale ulipo?
Wewe unaandika kizungu but unauswahili mwingi sana ktk bongo yako!!!
Nimekuuliza swali hata haujajibu umesharusha maswali ambayo yataondoa issue on table (irrelevant question to the fact in issue)
Hilo swali lako liweke kiporo na ujibu swali langu then nitakujibu!
And if unafact za kutosha basi tufanye mijadala miwili! 1 pharaoh body na 2 uwepo wa Mungu!
...
Embu nijibu swali langu kama nilivyokuuliza!
Kwanini mwili wa firauni upo mpaka leo?
Tatizo lenu mnashindwa kuelewa nini Mungu anafanya na nini hafanyi!
Kunamatukio ya kihistoria yanaonesha kufanywa na Mungu na hilo halina ubishi!
Na kama mnabisha naomba mnipe sababu kwanini mwili wa firauni upo mpaka leo?
Cc: Free ideas!
Unafanana na jamaa mmoja hivi lakini hiyo isikupe shidaYou have been making ridiculous claims for weeks now! Please provide evidence for your statements. Next you will be telling us spirits fairies and demons are real! Verifiable truth is what we want, not the fairy tales that you imported from the middle east.
Unafanana na jamaa mmoja hivi lakini hiyo isikupe shida
Unaweza kuwasaidia wenzako hapa?
https://www.jamiiforums.com/habari-...theism-debunked-disproved-proven-fake-21.html
Stick to the topic at hand and provide evidence.
You can attack my person all day, but at the end of it all, we all know that you do not have any evidence to back any of your ridiculous assertions!
Kati ya vitu ambavyo naamnin mwanadamu alifanya ugunduz wa maana zaid,na kitu cha ajabu zaidi kuwahi kutengenezwa na binadam ni mungu
Unataka uthibitisho gani?Sasa kwa sababu nimejaribu kujibu maswali yenu kwa siku ya tatu mfululizo sasa,naomba na mimi niulize maswali nanyi mnijibu.(nimetumia neno" nimejaribu kwa maana najua hatukufika mwisho na inawezekana hamkuridhika)
1.Anyone from you, Prove to me the Existence of God out of Faith(msichanganye maana nimesema out of Faith ili kuwarahisishia).
Yohana 4:242.Is GOD a Spirit or a Physical figure ?
Meaning what?3.What is CHRISTIAN/MUSLIM without JESUS & MOHAMMAD respectively ?
Unazungumzia "matatizo" kwa maana ipi?4.May you mention At least 3 problems which has been solved by Religion in this World ?
Hapa naona swali zaidi ya moja5.Y did God communicated only with the Middle Eastern people ?.Or warum sind alle Prophets von Mittel Ost gekommen sind?,(Kwa nn manabii na mitume wote walitoka Mashariki ya kati),
Kwani Mungu aliumba nini?6.Nambien kwa nn mtoto mdogo anazaliwa kilema nawakati mungu hakuumba vilema?
Vitabu vya dini ni nini?,Na mnambie mahala ambapo vitabu vya dini vimeongelewa vitu kma mtoto kuzaliwa kilema,appendix,sikoseli ,ukoma,kwamba vinatokana na nn.(msinambie n laana kama enzi zile za ujinga walivoamini)
Unataka ushahidi wa kutoka kwa Mungu ambae hayupo?7.Nahitaji evidence kwamba Yesu alitoka kwa mungu(sio imani please),pia kwamba Mohammad alitokewa na mungu pangoni.
Kwani Mungu yupo au hayupo?8.Kisha mnambie If we were created by him,kwa nn aliaxha watu waabudu miungu ya kuchonga,mawe ,jua ,mwezi(kumbuka Hata Ibrahim aliabudu jua,mwezi kabla hajapata idea ya mungu asiyeonekana aliyoitoa kwa jiraNi zake waliochoka kuchonga kila siku munhu mpya).Kwa nn atuache tumtafute badala ya yeye kututafuta?.Naanisha kwa nn watu wa zamani hawakumjua moja kwa moja?,kwa nn baadae?
Hakuna maswali hapo mi naona kama unahoroja tu ....!!...jibuni hayo kwanza maana mko wengi.. mkinijibu sahihi Nabatizwa,ama naslim ten nafunga mwez mtukufu,,kila la kher watu wa mungu.Mnaweza kugawana maana mko wengi,
Waoga,hakuna wa kujibu hoja,ajali ikitokea katika bus na baadhi ya abiria kutopeza maisha,basi wale waliopona watasema ni mungu katuponya,lakini huwa hawatak kusema basi na waliokufa n mungu kawaua,mungu mbaguzi,yaani mungu ni ideas tuu,