Sasa kwa sababu nimejaribu kujibu maswali yenu kwa siku ya tatu mfululizo sasa,naomba na mimi niulize maswali nanyi mnijibu.(nimetumia neno" nimejaribu kwa maana najua hatukufika mwisho na inawezekana hamkuridhika)
1.Anyone from you, Prove to me the Existence of God out of Faith(msichanganye maana nimesema out of Faith ili kuwarahisishia).
2.Is GOD a Spirit or a Physical figure ?
3.What is CHRISTIAN/MUSLIM without JESUS & MOHAMMAD respectively ?
4.May you mention At least 3 problems which has been solved by Religion in this World ?
5.Y did God communicated only with the Middle Eastern people ?.Or warum sind alle Prophets von Mittel Ost gekommen sind?,(Kwa nn manabii na mitume wote walitoka Mashariki ya kati),
6.Nambien kwa nn mtoto mdogo anazaliwa kilema nawakati mungu hakuumba vilema?,Na mnambie mahala ambapo vitabu vya dini vimeongelewa vitu kma mtoto kuzaliwa kilema,appendix,sikoseli ,ukoma,kwamba vinatokana na nn.(msinambie n laana kama enzi zile za ujinga walivoamini)
7.Nahitaji evidence kwamba Yesu alitoka kwa mungu(sio imani please),pia kwamba Mohammad alitokewa na mungu pangoni.
8.Kisha mnambie If we were created by him,kwa nn aliaxha watu waabudu miungu ya kuchonga,mawe ,jua ,mwezi(kumbuka Hata Ibrahim aliabudu jua,mwezi kabla hajapata idea ya mungu asiyeonekana aliyoitoa kwa jiraNi zake waliochoka kuchonga kila siku munhu mpya).Kwa nn atuache tumtafute badala ya yeye kututafuta?.Naanisha kwa nn watu wa zamani hawakumjua moja kwa moja?,kwa nn baadae?
...
...jibuni hayo kwanza maana mko wengi.. mkinijibu sahihi Nabatizwa,ama naslim ten nafunga mwez mtukufu,,kila la kher watu wa mungu.Mnaweza kugawana maana mko wengi,