Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Hao hawana uhakika hata kidogo, ukimwambia hapo athibitishe ataanza kuzunguka na maneno mengi, hapo naona anasema kitu cha ajabu kutengenezwa na binadamu, yaani kwa mawazo yake anawaza Mungu ni kitu! ukimwambia hebu tuonyeshe hicho kitu cha ajabu, atashindwa pia!Una uhakika binadamu alimuumba Mungu au unadhani binadamu alimuumba Mungu?
CC: Ntuzu , Sangarara , Ishmael Kichwa Ndio Mtu , Mkuu wa chuo .......!!
Kati ya vitu ambavyo naamnin mwanadamu alifanya ugunduz wa maana zaid,na kitu cha ajabu zaidi kuwahi kutengenezwa na binadam ni mungu
Waoga,hakuna wa kujibu hoja,ajali ikitokea katika bus na baadhi ya abiria kutopeza maisha,basi wale waliopona watasema ni mungu katuponya,lakini huwa hawatak kusema basi na waliokufa n mungu kawaua,mungu mbaguzi,yaani mungu ni ideas tuu,
Inaonekana umeuliza halafu hujui hata majibu ya ulichouliza!Niliwauliza maswali hamjajibu mmeyakwepa sasa mnafakamia chochote
Hii sio hoja bali ni madai.
1. Kwanini ajali itokee?
2. Nani kasababisha ajali?
3. Kwanini ajali isitokee?
4. Kwanini Mungu asiokoe watu?
5. Kwanini Mungu aokoe watu?
jaribu kuliangalia kwa mtazamo tofauti,yaani binadam kwa mungu na si mungu wanadam,
Provide evidence for your claims. You cannot keep making these ridiculous claims. PROVIDE EVIDENCE!
You have been making ridiculous claims for weeks now! Please provide evidence for your statements. Next you will be telling us spirits fairies and demons are real! Verifiable truth is what we want, not the fairy tales that you imported from the middle east.
Hii sio hoja bali ni madai.
1. Kwanini ajali itokee?
2. Nani kasababisha ajali?
3. Kwanini ajali isitokee?
4. Kwanini Mungu asiokoe watu?
5. Kwanini Mungu aokoe watu?
1. Mungu yupi huyu aliye tengenezwa na Binadamu?
2 . Yupo wapi ili namimi niweze kukutana naye?
3. Nini maana ya Mungu?
Punguza jazba kijana Mashaxizo kwanza habar za siku?.Hukutakiwa kujibu kwa jazba taratibu tutafika tu.
Uliyekuuliza swali hakuuliza kwa jazba wala matusi.Na kuhusu Pharaoh nilishakujibu katika uzi flani lakini nahisi hukurizika!,Tatizo nahisi umeelemewa na mzigo wa Imani kichwani kiasi kwamba kupokea chalenji inakuwa ngumu.,Nilikwambia ile ilikuwa njia ambayo viongoz Wao walipokufa walihifadhiwa kwa njia za asili ili wasioze na iwe kumbukumbu,kwa kuwa waliaminika kama miungu wakati wa utawala wao.So jamii iliaminishwa kwamba kwa kumuona mwili wake maana yake bado anaishi na ni kama mungu wao.Taaluma ile haikuanza misri tu.sehem nyingi sana ilikuwepo na haikufanyika kwa mapharaoh tu.
miaka ilivozidi kwenda taaluma ile ilihamia katika sayansi ya kimaabala yani kuichoma maiti sindano ya kuikausha miaka hadi 150,Maiti inaonekana kama vile ya leo.
Lakini kumbuka misri na Masahariki ya kati ni wajuz wa mambo mengi,Inaeezekana taaluma yao ilikuwa juu zaidi ya hii yetu ya sasa,Ndo mana hatuna pyramid la miaka hii ama karne hii bado yale ya misri wanaita maajabu ya dunia.
Nadhani umeelewa..
There is nothing like mungu kikristo.1.mungu kikristo,mungu jua,mizimu,mungu wa waislam,wa wahindi,wachina n.k
HUJAJIBU SWALI LANGU NAMBA MBILI2. . Yupo wapi ili namimi niweze kukutana naye?
Umesikia wapi?3.nasikia kuwa ni nguvu juu ya nguvu za asili,ila uthibitisho hakuna
No 1 hadi 3 sina jibu,ajali ni nyingi na kila moja ina mazingira yake
Kwahiyo umekubali kuwa hii sio hoja zaidi ya madai. WEWE ulikuruputa na kuposti utumbo, huku ukifikiria kila mtu anaishi kwa kutumia assumptions-UDAKU.
Umesha sema makosa ya binadamu halafu yanakuwa mapungufu. HIVI MAKOSA NI MAPUNGUFU? Anza kujifunza kufikiria kabla ya kupost.4.ndo maana namshangaa huyu mungu wenu,the creator,ajali ni makosa ya kibinadam sasa sijuhi kwa nini kaumba binadamu wenye mapungufu kama naye si mwenye mapungufu
Bado hujajibu swali. KUMBUKA HAYA MASWALI yamekuja baada ya wewe kupost madai. SAIDIA MADAI YAKO.5.inapaswa ujibu wewe na wenzio,kwanini ni mbaguzi?(kama yupo)
There is nothing like munu kikristo.
But charles darwin is your diabolical deity.
HUJAJIBU SWALI LANGU NAMBA MBILI
Umesikia wapi?
Hivi kipofu akisema kuwa hakuna jua wewe utakubali? Mthibitishie kipofu kuwa kuna jua.
Hujajibu swali bado.3. Itategemea yeye anatafsiri vipi jua,kwenye hoja,nilidhani wewe ndo ungenipa jibu,mimi si kipofu,ila nmekupa tafsir ya mungu kwa akili yangu mimi,na huyo ndio mungu ambaye mtu yeyote akiogopa au asipokuwa na jibu la jambo flan basi atamkimbilia kwa haraka kujipa faraja, ila sijawahi kuona ufumbuzi wowote wa tatizo ulioletwa na dini
Kwahiyo umekubali kuwa hii sio hoja zaidi ya madai. WEWE ulikuruputa na kuposti utumbo, huku ukifikiria kila mtu anaishi kwa kutumia assumptions-UDAKU.
Umesha sema makosa ya binadamu halafu yanakuwa mapungufu. HIVI MAKOSA NI MAPUNGUFU? Anza kujifunza kufikiria kabla ya kupost.
Bado hujajibu swali. KUMBUKA HAYA MASWALI yamekuja baada ya wewe kupost madai. SAIDIA MADAI YAKO.
SASA JIBU MASWALI YANGU ULIYO YAKIMBIA HAPO JUU
Napata shida kujua upana wa uelewa wako, assumptions ni udaku?
Hujajibu swali bado.Napata shida kujua upana wa uelewa wako, assumptions ni udaku?