Punguza jazba kijana
Mashaxizo kwanza habar za siku?.Hukutakiwa kujibu kwa jazba taratibu tutafika tu.
Uliyekuuliza swali hakuuliza kwa jazba wala matusi.Na kuhusu Pharaoh nilishakujibu katika uzi flani lakini nahisi hukurizika!,Tatizo nahisi umeelemewa na mzigo wa Imani kichwani kiasi kwamba kupokea chalenji inakuwa ngumu.,Nilikwambia ile ilikuwa njia ambayo viongoz Wao walipokufa walihifadhiwa kwa njia za asili ili wasioze na iwe kumbukumbu,kwa kuwa waliaminika kama miungu wakati wa utawala wao.So jamii iliaminishwa kwamba kwa kumuona mwili wake maana yake bado anaishi na ni kama mungu wao.Taaluma ile haikuanza misri tu.sehem nyingi sana ilikuwepo na haikufanyika kwa mapharaoh tu.
miaka ilivozidi kwenda taaluma ile ilihamia katika sayansi ya kimaabala yani kuichoma maiti sindano ya kuikausha miaka hadi 150,Maiti inaonekana kama vile ya leo.
Lakini kumbuka misri na Masahariki ya kati ni wajuz wa mambo mengi,Inaeezekana taaluma yao ilikuwa juu zaidi ya hii yetu ya sasa,Ndo mana hatuna pyramid la miaka hii ama karne hii bado yale ya misri wanaita maajabu ya dunia.
Nadhani umeelewa..