Ushahidi wa Sisi kumuumba mungu upo wazi.Kamata hapa chini.....
Binadam anapofikia mwisho wake wa kufikiri ama kutatua tazizo,hapo ndipo neno mungu huibuka.mara ngapi tunasikia kauli kama,ehhh mungu ndo anajua bana!,ohh mungu kapanga!,au pale tunapopata majanga ambayo labda hayakutarajiwa ama vyovyote kauli za kumuumba mungu huwa zinajitokeza.Mfano katika ajali waliopona husema mungu hakupanga lakini walikufa hakuna asemaye mungu kawaua.
Lakini je ni nani anaweza kuthibitisha kwamba kuna mungu?,ama kwamba kuna nguvu flani inayohusika na kila kitu hapa duniani ama ulimwenguni?..Ni nani nalini mungu kaonekana ?.Nn hasa kinafanya watu wahisi ama wamtaje mungu huku wakiwa hawana uhakika na wakismacho?.
Jibu ni rahisi sana,kwamba ni UOGA,kutokana na uoga wetu basi cc ndo tunamumba mungu na kuamini kwamba lazima tu kutakuwa na nguvu flani.
Kuna siku humu niliwauliza kama mnajua kwa nn anaitwa MUNGU ASIYEONEKANA,na kwa nn aitwe hivyo ama kama mnaufaham kwamba lini neno hili(ASIYEONEKANA)lilianza kutumika .Kwa bahati mbaya sana hakuna aliyeweza kujibu na wote mlikwepa swali hilo na badala yake mnaanzisha maswali nyemelezi na kukwepa swali la msingi.Baadae mnaanza kisema hamjibiwi.
Nikawauliza pia iweje mungu(kama yupo) atuumbe halafu tusimjue?.Kwa nn tumtafute ama tumsome?.Nikawauliza pia kama mungu yupo ilikuwaje ustaarabu wa kwanza ulianza huku watu wakiabudu miungu ya kuchonga ama jua,mwezi na nyota?.Huyu mungu alikuwa wapi? Hakuna aliyejibu.Nikawaomba mnithibitishie uwepo wa mungu Out of Faith (swali rahisi kabisa lenye majibu mawili)mkashindwa.
Cha kushangaza ni kwamba dini zenu zinamuelezea mungu pale tu sayansi inapoonekana kushindwa kutatua jambo basi utasikia,, ni mungu pekee ndo anaejua".
Ninachoweza kuwaambia ni kwamba ,we have killed your Gods,(god of the sun,the moon,god of stars etc).We are on our way to kill your unseen god.And for sure we gonna kill him/it and succeed to make the Universal a free place to live without fears of nonsense as God .
Nikawaambia niambie japo matatizo mawili ambayo Religion imesove hapa duniani mpaka sasa,hakuna aliyejibu.
Nikawauliza kama mungu ni mwema iweje wazaliwe watoto vilema,walemavu?,wakiwa na sikoseli,au mnambie basi ilikuwaje mungu hakujua tatizo dogo kama Appendix linaweza kumuua mtu kwa nn hakulizuia wakati wa uumbaji?.Je bila operations kuondoa kifuko kile (sayansi) ingekuwaje?,je vitabu vya dini vimesemaje hapo?.Hakika havikusema chochote.
Nikawauliza lini mungu aliacha kuongea nawanadam live na kwa sababu gani hamkusema!,,Na nilitaka kujua pia kwa nn siku hizi manabii na mitume hakuna mkakaa kimya.Zamani za ujinga zimepita,ambapo mtu alikuwa anaweza kusema kirahisi kwamba katokewa na malaika pangoni ama popote kisha watu wakakubali.kwa sasa mtu akisema hivyo tunampima akili!,.ama tunampeleka wodi ya vichaa(mnajua kwa nn).
Nikawauliz aje ni watu wangapi mpaka ssa miaka hii wamesema wametokewa na malaika ama sijui yesu wakapuuzwa mkakosa jibu na kwanii walipuuzwa mkakosa cha kusema,narudia enzi za ujinga zimekwisha!.
Je ni nani mwenye uhakika kwamba mungu yupo??.ni nani kati yenu anaweza kusimama na kuthibitisha humu Jf kwamba mungu yupo?.Ukinambia nithibitishe kutokuwepo kwake ni simpo sabau hakuna ushahidi wa uwepo wake .Kitu kisichopo hakihitaji kuthibitisha kutokuwepo maana kingekuwepo hata hilo swali la kuthibitisha kutokuwepo kwake lisingekuwepo.
Kwa hiyo maelezo hayo juu yanatosha kueleza jinsi cc tunavomuumba mungu kimawazo,kimtazamo,kifikra,na uoga pia.
Kimsingi kuna maswali ambayo mwanadam akijiuliza haraka haraka na kukosa majibu yakinifu basi humalizia kwa kusema hakika kuna mungu.mfano
1.Kwa nn nipo/tupo na tulitoka wapi.
2.Kwa nn jua linatoka mashariki kwenda magaharibi kila siku
3.Kwa nn kuna kifo.
4.Kwa nn lazima tuzeeka
5.Uhai n nn?.(falsafa ya uhai.)
6.Kwa nn mimi /cc ni tofauti na wanyama.
7.Dunia ilitoka wapi?
Hayo ni baadhi ya maswali ambayo ni magumu kama mtu atajiuliza haraka haraka.basi mtu hujikuta anamuumba mungu akilini na hapo ndipo dini na imani zinapoanzia.
Lakini je ni kweli maswali hayo yanakosa majibu??.Hapana maswali hayo yote yanajibika katika sayansi na field zingine.
Katika uzi wangu fulani nilieleza maana ya dini kama vile niijuavyo mm lakini hapa ntaeleza piakw a faida ya wengi.
Dini ni utamaduni wakuabudu wa jamii flani.Dini sio lazima imtaje mungu(asiyeonekana),dini inahusu utamaduni na maisha ya jamii husika na mahala husika.Dini ,inabadilika na kukua kulingana na muda na mazingira,Dini inakuja kuhusisha IMANI katika Stage mojawapo ya ukuwaji wake. Dini haikuanza kwa kumtaja mungu kwamba ndiye muumbaji wa kila kitu.Dini ilianza kwa kuwatambiakia wazee na mambabu kimila.Na hii ilikiwa ni sehemu zote duniani.Ndo mana hata biblia inasema mababu akina Abraham ,yakobo ,isaka n.k.
Katika stage Flani dini zinakuja kuhusisha imani ambapo sasa dini zinawapa heshima wazee wa zamani huku zikikumbuka miungu waliyoiabudu hao wazee!..Taraatibu dini zinaanza kuchukua sura mpya na kuanza kumtaja mungu(lakini ni baadhi tu zinamtaja mungu asiyeonekana).Maana kuna dini zingine mpaka leo hazikuifuata Idea ya mungu ASIYEONEKANA
iliyopandikizwa baada ya jamii kuwa na miungu mipya karibu kila msimu.Naomba niishie hapo kwa sasa kuhusu dini.
Pia mlishindwa kunambia ilikuwaje mungu akasitisha muamrisha taifa fulani liue taifa fulani bila hatia.Je hamkubali kwamba dini zimereplasiwa na Seriali?.Kuna amri gani za kidini ambazo serikali haikatazi.
Haya karibuni....