Hii sasa ni kazi
Kwanza sijajua hapa unasema nini
Unadai ushahidi au unadhani kuwa ulidai ushahidi kwenye kile ulichoandika?
Ulichoandika hiki hapa chini
Ni wapi ambapo kuna swali ambalo nilitakiwa nijibu?
Unajua swali ni kitu gani?
Ni wapi ambapo umedai uthibitisho wa Jehanam ambayo sisi tunaamini ipo?
Ndio maana nimema kuwa wewe una matatizo makubwa na hujayajua tu,huwezi kujieleza,huwezi kuandika kitu ikaeleweka vizuri,huwezi kuandika kwa kufuata kanuni za uandishi angalau hata kidogo
Wewe ndio umjue Mungu kweli?
Kimekutajia bandiko ili uanzie hapo maana ni kama ilikurupuka kujibu,hapo nilieleza kabisa kuwa natoa taarifa sasa sijuh hujaelewa nini,maswali yalifuata.chini kutokana na taarifa,kuwa makini