Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Hivi kweli hua unasoma hoja? au upo kwa ajili ya ligi?Jehanam ni nini?ukitoa tafsir halisi utagundua ni tofauti ya kidin
Jehanamu nimekupa maelezo hapo juu ila naona bado umeng'ang'ania nalo sijui kwanini?Si kweli kaka,jehanam lilikuwaga eneo nje ya lango la kuinglia jerusalem,hapo ndo taka zote za mji zlpokuwa znatupwa na kutokana na hili hzo taka zilikuwa znachomwa moto,sasa nadhani unaweza kutazamia moto.utokanao na taka na mji mzma,watu walipaogopa kutokana na joto kali la pale,sasa watumishi wa huyu aitwae mungu ndipo waliolpoanza kuwatisha watu kuwa ukifanya dhambi utaenda jehanam,kabla ya hapo hapakuwa na jehanam kwahyo jehanam ya kidin iliundwa kipind hicho,hakuna.jehanam hakuna heaven na hakuna mungu,KAMA YUPO NAOMBA UNIPE TOFAUTI TANO ZINAZOONEKANA KIMACHO KATI TA WEWE MUUMINI NA MIMI NISIYEAMINI
Hivi kweli hua unasoma hoja? au upo kwa ajili ya ligi?
hahahahahahahah unazidi kunifurahisha, Ila sio tatizo watu wengi wanachanganya pia, kuna concept ya kujifunza kuhusiana na hilo, ngojea nikupe brief kidogo, angalau uwe na mwangaNmemuuliza hili swali mtu mwingine,kanielewa na nimemjibu huku chini,unataka kutofautosha jehanam na kuzimu,kinadharia hili ni eneo moja,ingawa watu wanatafsir kuzimu kama eneo ambalo shetani yupo kwa sasa kabla ya hukumu na mara nyingi wanasema ni chini ya bahari,jehanamu hiyo ni concept inayoelezea hatma ya maisha ya mwanadam
Hawa wengi wao wamekaririshwa bila kutafakari hata kile walichokariri.
Mungu gani atuumbe kisha atuahidi kutuchoma moto?.Ili iweje na kwa faida gani?.Huyo mungu gani anayepoteza muda kuhesabu dhambi n mungu kwel!.Dunia dhaifu kama hii bado mtu anasema kuna mungu?.Kaz yake nn sasa.
Mbona Hujathibitisha kwamba wewe n mmoja wa wale wamama wa kana moja.Ukithibithibitisha hilo basi nakujibu.Ukimaliza kumtaja marehem Darwin usisahau kumalizia na marehem yesu!.
A NON-THEIST CONFESSION -GOD IS A COMPLICATED ENTITY
1. God is a complicated entity !!!!!
2. God requires a much more certificated explanation. !!!!!!!!!!!!!
3. Modern Physics can not explain God. !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
A NON-THEIST CONFESSION -GOD IS A COMPLICATED ENTITY
1. God is a complicated entity !!!!!
2. God requires a much more certificated explanation. !!!!!!!!!!!!!
3. Modern Physics can not explain God. !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwani Mungu ni kitu mpaka alelezeke.Mi nilikwambia ulimwengu una mwanzo rahisi ambao unaelezeka lakini mungu wako haelezeki sasa ya nn kuumiza kicha.Na kama inakili kwamba ilimwengu una mwanzo rahisi unaoelezeka sasa mungu wa nn?
By...Free ideas..
Mbona Hujathibitisha kwamba wewe n mmoja wa wale wamama wa kana moja.Ukithibithibitisha hilo basi nakujibu.Ukimaliza kumtaja marehem Darwin usisahau kumalizia na marehem yesu!.
unadhani ni rahisi ,Mi nilikwambia ulimwengu una mwanzo rahisi ambao unaelezeka lakini mungu wako haelezeki sasa ya nn kuumiza kicha.Na kama inakili kwamba ilimwengu una mwanzo rahisi unaoelezeka sasa mungu wa nn?
By...Free ideas..
ANOTHER SIMILARITY BETWEEN NON THEIST AND MUSLIMS:Mi nilikwambia ulimwengu una mwanzo rahisi ambao unaelezeka lakini mungu wako haelezeki sasa ya nn kuumiza kicha.Na kama inakili kwamba ilimwengu una mwanzo rahisi unaoelezeka sasa mungu wa nn?
By...Free ideas..
unadhani ni rahisi ,
jibu hili swali
WE NI NANI??
FD,
Ni vigumu kiasi kwangu kuweka satisfactory analysis and comparison ya maendeleo between uchagani na pwani, and why such a big difference. Honestly baadhi ya hayo maswali hata mimi yananisumbua kichwa. Hata hivyo ntajaribu, tusaidiane kama una mawazo tofauti.
Nliwahi kuuliza hayo ya kuwepo baraza za kahawa wakati wa kazi, nikaambiwa .. eti .. wana muda wao tofauti wa kazi. Some of them ni wavuvi, doing their work at night. Kwa hiyo baadhi ya masaa ambayo yanaonekana ni ya kazi .. kwao ndio muda wao wa kunywa kahawa na kucheza bao. Na wengine wana mijishamba yao ya minazi n.k, which they work on nyakati flani za mwaka/mwezi.. na wanakuwa hawapatikani kabisa humo barazani wakati huo. Yes, they could have used the time for other development activities .. labda ni tatizo hilo la kuridhika na kidogo walichonacho.
Ieleweke pia hizi kahawa na kucheza bao pia ni part ya culture. Wengi wao si walevi, kwa hiyo hii ni badala ya kuwepo Bar kwa moja moto moja baridi na nyama choma. Pamoja na hilo, wanaokaa baraza za kahawa wakati wa kazi bila ya ratiba tofauti ya uzalishaji mali na shughuli za maendeleo, huo ni uvivu na kwa kweli ni tatizo na wa kupigwa vita.
Kuhusu uchagani mpaka vijijini kujengwa na kuendelea sana, mbali na kuwa wengi wao wameenda shule.. pia wana sense ya kujali na kuthamini mno kwao. Hata wawe wapi .. hawaridhiki mapaka waweke sawa mambo nyumbani. Na hata wakiwa viongozi pia hujitahidi kusogeza projects muhimu kwao. Nawapongeza kwa hili, with a caution that they shouldn't do it at the expense of other regions. [Case in point: Mramba kutaka kuhamisha cha TRA cha ushuru kutoka Tanga kwenda Holili .. despite the obvious distance]
On the contrary, inaelekea watu wa pwani wana idea ya 'maisha ni pale ulipo'. Kwa hiyo mtu pale mambo yanapomnyookea basi anajenga na kujiestablish hapo hapo, nyumbani ni secondary. Nadhani pia hiyo inakuwepo katika utendaji wao wakiwa madarakani, hawasimami imara ili sera za maendeleo zikipangwa zizingatie pia maendeleo ya kwao. Hata sijui miaka zaidi ya 10 ya ubunge/uwaziri wa Mwapachu Tanga wamepata nini.
Hilo la vijana kuzamia meli na kubeba mzigo pia nalo naweza kuliunga na hilo ile ya kuwa the right role models hawaonekani sana makwao. Sasa inatokea vijana wanaorudi na kuonekana 'successful' kwa mijigari na mapesa kedekede na 'matanuzi' mengine ni wale waliokwenda melini au kubeba mzigo ... hivyo kusababisha wale vijana wanaoinukia kuona kuwa hii ndio njia muafaka na ya mkato.. especially wale ambao hawakupata nafasi za kuendelea na masomo. Ikiwa the heroes around ni waliobeba unga .. basi ndio hivyo tena.
Otherwise, kama ujuavyo, zipo theory pia kuwa miji hiyo inakuwa sobataged, but I don't want to go into that.
Kama alivyohint Mlalahoi, it's really puzzling why a place like Tanga has fallen that much from its being very live and busy town until early 80's, with lots of jobs and other activities, attracting a lot of people from other regions. In his presidential campaigns of 1995, Prof. Lipumba alimwaga speech pale Tanga on its previous status and highlighting its current, highly underutilised economic potentials. Kuna wazee wakalia .. maana sasa hivi, duh! Kiasi wagosi wa kaya waimbe 'Tanga, kunani paleeee mbona kila kitu kimekufa?!'
Ni heri uamini uwepo wa Mungu na kufuata matendo yake yanayoagizwa kupitia mitume ambyo kimsingi yanapatikana ktk vitabu takatifu.. Na usimkute... Kuliko kutoamini mwisho wa siku ukamkuta.. Utajinyea ahahahaha.. Kiiman Mungu hajaumbwa na yeyote.. Yeye ndo alfa na omega... Hawez fananishwa na kitu chochote...
Mkuu wa chuo,wakati nikiwa mkristo nilikuwa nawaambia watu kuwa sisi waamin tunamuaibisha mungu,matendo yetu hayaendan na idea ya mungu inavyopaswa awe,baada ya kujua kuwa hayupo leo naendelea kuona tatizo hilohilo,waamin wanamuibisha mungu wao mwenyewe ambaye kwangu siamn kama yupo,naomba ujibu maswali haya,
mungu ana roho chafu?kwanini kwenye kitabu cha isaya alimtuma roho huyo kumuingia mtawala?je kama mungu ndiye muumba kwanini asiwe responsible kwa maovu na magumu wanayopitia wanadam ikiwa kathbtsha kuwa chafu ni yeye anayewatumia watu?
Mi nilikwambia ulimwengu una mwanzo rahisi ambao unaelezeka lakini mungu wako haelezeki sasa ya nn kuumiza kicha.Na kama inakili kwamba ilimwengu una mwanzo rahisi unaoelezeka sasa mungu wa nn?
By...Free ideas..
in red; Huo mwanzo ulishindwa kututhibitishia badala yake ukatuletea nadharia zisizo na ushahidi wa kisayansi