Who created God? Who made him? Where did he come from?

Who created God? Who made him? Where did he come from?

Si kweli kaka,jehanam lilikuwaga eneo nje ya lango la kuinglia jerusalem,hapo ndo taka zote za mji zlpokuwa znatupwa na kutokana na hili hzo taka zilikuwa znachomwa moto,sasa nadhani unaweza kutazamia moto.utokanao na taka na mji mzma,watu walipaogopa kutokana na joto kali la pale,sasa watumishi wa huyu aitwae mungu ndipo waliolpoanza kuwatisha watu kuwa ukifanya dhambi utaenda jehanam,kabla ya hapo hapakuwa na jehanam kwahyo jehanam ya kidin iliundwa kipind hicho,hakuna.jehanam hakuna heaven na hakuna mungu,KAMA YUPO NAOMBA UNIPE TOFAUTI TANO ZINAZOONEKANA KIMACHO KATI TA WEWE MUUMINI NA MIMI NISIYEAMINI
Jehanamu nimekupa maelezo hapo juu ila naona bado umeng'ang'ania nalo sijui kwanini?
 
Hivi kweli hua unasoma hoja? au upo kwa ajili ya ligi?

Nmemuuliza hili swali mtu mwingine,kanielewa na nimemjibu huku chini,unataka kutofautosha jehanam na kuzimu,kinadharia hili ni eneo moja,ingawa watu wanatafsir kuzimu kama eneo ambalo shetani yupo kwa sasa kabla ya hukumu na mara nyingi wanasema ni chini ya bahari,jehanamu hiyo ni concept inayoelezea hatma ya maisha ya mwanadam
 
Nmemuuliza hili swali mtu mwingine,kanielewa na nimemjibu huku chini,unataka kutofautosha jehanam na kuzimu,kinadharia hili ni eneo moja,ingawa watu wanatafsir kuzimu kama eneo ambalo shetani yupo kwa sasa kabla ya hukumu na mara nyingi wanasema ni chini ya bahari,jehanamu hiyo ni concept inayoelezea hatma ya maisha ya mwanadam
hahahahahahahah unazidi kunifurahisha, Ila sio tatizo watu wengi wanachanganya pia, kuna concept ya kujifunza kuhusiana na hilo, ngojea nikupe brief kidogo, angalau uwe na mwanga

KUZIMU tukirudi katika agano la kale ilitumiwa kama 'Ulimwengu wa wafu" au makao ya wafu

Matendo ya Mitume 2:27 Kwa maana hutaiacha roho yangu katika kuzimu; Wala hutamtoa Mtakatifu wako aone uharibifu.

Zaburi 16:10 Maana hutakuachia kuzimu nafsi yangu, Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu.

Isaya 38:18 Kwa kuwa kuzimu hakuwezi kukusifu; mauti haiwezi kukuadhimisha; Wale washukao shimoni hawawezi kuitarajia kweli yako.


Jifunze kwanza kwa hapo...
 
Hawa wengi wao wamekaririshwa bila kutafakari hata kile walichokariri.

Mungu gani atuumbe kisha atuahidi kutuchoma moto?.Ili iweje na kwa faida gani?.Huyo mungu gani anayepoteza muda kuhesabu dhambi n mungu kwel!.Dunia dhaifu kama hii bado mtu anasema kuna mungu?.Kaz yake nn sasa.

Okay soma kwa makini Uelewe.
Wewe ni Mcha Mungu na unajua kama yupo na ninajua fika unaelewa sema bas tu haya ni maswali yako kwake yaliyokusumbua ufahamu wko mdogo wa Adam na Nyama.ila jua vitu vifuatavyo.

1.kwa ufahamu ulionao unaweza kuargue kutokana na Mazingira yaliyokuzunguka sasa apo sijui kama umetembea na Nchi nyingine kidogo,ukahudhuria na shule kidogo na Teknologia iliyokuzunguza basi from that Persepective u think u can stand infront of God and blasphem.

2.Mungu hawezi kujiprove mbele yako ,We nani?una nini?tumeona watu mashuhuri wenye nguvu watawala wenye malii nyingi na maarufu sana lakini walipiata,wakazikwa.Ni historia sasa.

3.Sikunyingine ukitaka kujisaidia kuheshimu muumba wako..mfikirie sisimizi unaemwona sakafuni mwa nyumbani kwako alafu fikiria kama sisimizii huyo akiwa anajaribu kuielewa duniani tu tunayoishi sisi mabara yote na bahari na watu na mimea kwa idadi yake Ataweza?hata akifanya utafiti maisha yake yote ambayo hayazidi wiki moja...Hataweza...basi jitafakari wewe na Ufahamu wa Kimungu utajua ulipopishana na Ukweli na kutubu..mwili unaouvaa haujaumbwa kupokea ufahamu huo na kuuelewa jitahidi basi usije ukakanyagwa kama vile wewe ulivyo na uwezo ya kumsinya sisimizi muda wowote umwonapo..

4.Ogopa hasira ya Mungu..hautaki ashindane na wewe.
 
Mbona Hujathibitisha kwamba wewe n mmoja wa wale wamama wa kana moja.Ukithibithibitisha hilo basi nakujibu.Ukimaliza kumtaja marehem Darwin usisahau kumalizia na marehem yesu!.
quote_icon.png
By Free ideas
God is a complicated entitywhich requires a much more certificated explanation than a Universal which is according to modern Physics a simple entity,it has a very simple beginning,it is not a negligible beginning which is very easy to explain than something complicated as God.






A NON-THEIST CONFESSION -GOD IS A COMPLICATED ENTITY
1. God is a complicated entity !!!!!
2. God requires a much more certificated explanation. !!!!!!!!!!!!!
3. Modern Physics can not explain God. !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
A NON-THEIST CONFESSION -GOD IS A COMPLICATED ENTITY
1. God is a complicated entity !!!!!
2. God requires a much more certificated explanation. !!!!!!!!!!!!!
3. Modern Physics can not explain God. !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hutanielewa kamwe


By...Free ideas..
 
A NON-THEIST CONFESSION -GOD IS A COMPLICATED ENTITY
1. God is a complicated entity !!!!!
2. God requires a much more certificated explanation. !!!!!!!!!!!!!
3. Modern Physics can not explain God. !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mi nilikwambia ulimwengu una mwanzo rahisi ambao unaelezeka lakini mungu wako haelezeki sasa ya nn kuumiza kicha.Na kama inakili kwamba ilimwengu una mwanzo rahisi unaoelezeka sasa mungu wa nn?


By...Free ideas..
 
Mi nilikwambia ulimwengu una mwanzo rahisi ambao unaelezeka lakini mungu wako haelezeki sasa ya nn kuumiza kicha.Na kama inakili kwamba ilimwengu una mwanzo rahisi unaoelezeka sasa mungu wa nn?


By...Free ideas..
Kwani Mungu ni kitu mpaka alelezeke.

You don't get it, don't you. Where did you get the notion that God is a thing or something that can be described? Where did you get the malarkey that God was Created?

By the way, Science says, the World evolved ex nihilo, and you can not prove that.
 
Mbona Hujathibitisha kwamba wewe n mmoja wa wale wamama wa kana moja.Ukithibithibitisha hilo basi nakujibu.Ukimaliza kumtaja marehem Darwin usisahau kumalizia na marehem yesu!.

Sasa umeanza kujifunza kuwa maswali yako SIO MALI KITU NA NI BUNCH OF MALARKEY. Eendelea kujifunza kwa kutumia rgument zangu, soon, NITAKUBATIZA.

LETE USHAIDI KUWA YESU NI MAREHEMU UCHEKWE NA UMMAH WA ALLAH.
 
Mi nilikwambia ulimwengu una mwanzo rahisi ambao unaelezeka lakini mungu wako haelezeki sasa ya nn kuumiza kicha.Na kama inakili kwamba ilimwengu una mwanzo rahisi unaoelezeka sasa mungu wa nn?


By...Free ideas..
unadhani ni rahisi ,
jibu hili swali
WE NI NANI??
 
Similarities between Non-theists and Muhammadans

EXHIBIT 1
Both Non-theists and Muhammadans deny the existence of God.
Islam:

  1. Allah: There is NO God but Allah, ……
Non theists:

  1. Darwinites: God does not exist,……


As you can see, both non-theists and Muslims deny the existence of God.




EXHIBIT 2
Both Non-theists and Muhammadans support evolutions:
Islam:

  1. Allah will change all Jews into Apes and Pigs…….
Non theists:

  1. Man evolved from Monkeys, …..


As you can see, both non-theists and Muhammadans dogma fallacies say humans are related to Primates.


EXHIBIT 3
Both Non-theists and Muhammadans hate Black Africans.
Islam:

  1. Prophet Muhammad said Black Africans looks like Satan….
Non theists:

  1. Black Africans are savages and less intelligent beings and should be eliminated.


As you can see, both non-theists and Muslims are racial profiling Black Africans.


EXHIBIT 4
Both Non-theists and Muhammadans hate Christians.
Islam:

  1. Allah: Do not make friendship with Christians and ….
Non theists:

  1. Kill all Christians who believe in God. Example Malicious killing of Christians at the time of USSR/Communists /Non theists Hate God.


As you can see, both non-theists and Muslims want to eliminate Christians.


EXHIBIT 5:
Both Non-theists and Muhammadans are diabolical cult and believe in dead prophets.
Islam:

  1. Prophet Muhammad died in the year…
Non theists:

  1. c darwin died in the year…..



As you can see, both non-theists and Muslims are diabolical cult that believe and follow dead humans.

 
Mi nilikwambia ulimwengu una mwanzo rahisi ambao unaelezeka lakini mungu wako haelezeki sasa ya nn kuumiza kicha.Na kama inakili kwamba ilimwengu una mwanzo rahisi unaoelezeka sasa mungu wa nn?


By...Free ideas..
ANOTHER SIMILARITY BETWEEN NON THEIST AND MUSLIMS:

Other similarities between Atheists and Muslims is that they persecute Christians by torturing and killing them as in the Communist, Nazis, socialist and Islamic countries were millions of Christians have been martyred for their faith. This is still going on in places where there is a majority of Muslims and socialist countries such as China today.
 
FD,

Ni vigumu kiasi kwangu kuweka satisfactory analysis and comparison ya maendeleo between uchagani na pwani, and why such a big difference. Honestly baadhi ya hayo maswali hata mimi yananisumbua kichwa. Hata hivyo ntajaribu, tusaidiane kama una mawazo tofauti.

Nliwahi kuuliza hayo ya kuwepo baraza za kahawa wakati wa kazi, nikaambiwa .. eti .. wana muda wao tofauti wa kazi. Some of them ni wavuvi, doing their work at night. Kwa hiyo baadhi ya masaa ambayo yanaonekana ni ya kazi .. kwao ndio muda wao wa kunywa kahawa na kucheza bao. Na wengine wana mijishamba yao ya minazi n.k, which they work on nyakati flani za mwaka/mwezi.. na wanakuwa hawapatikani kabisa humo barazani wakati huo. Yes, they could have used the time for other development activities .. labda ni tatizo hilo la kuridhika na kidogo walichonacho.

Ieleweke pia hizi kahawa na kucheza bao pia ni part ya culture. Wengi wao si walevi, kwa hiyo hii ni badala ya kuwepo Bar kwa moja moto moja baridi na nyama choma. Pamoja na hilo, wanaokaa baraza za kahawa wakati wa kazi bila ya ratiba tofauti ya uzalishaji mali na shughuli za maendeleo, huo ni uvivu na kwa kweli ni tatizo na wa kupigwa vita.

Kuhusu uchagani mpaka vijijini kujengwa na kuendelea sana, mbali na kuwa wengi wao wameenda shule.. pia wana sense ya kujali na kuthamini mno kwao. Hata wawe wapi .. hawaridhiki mapaka waweke sawa mambo nyumbani. Na hata wakiwa viongozi pia hujitahidi kusogeza projects muhimu kwao. Nawapongeza kwa hili, with a caution that they shouldn't do it at the expense of other regions. [Case in point: Mramba kutaka kuhamisha cha TRA cha ushuru kutoka Tanga kwenda Holili .. despite the obvious distance]

On the contrary, inaelekea watu wa pwani wana idea ya 'maisha ni pale ulipo'. Kwa hiyo mtu pale mambo yanapomnyookea basi anajenga na kujiestablish hapo hapo, nyumbani ni secondary. Nadhani pia hiyo inakuwepo katika utendaji wao wakiwa madarakani, hawasimami imara ili sera za maendeleo zikipangwa zizingatie pia maendeleo ya kwao. Hata sijui miaka zaidi ya 10 ya ubunge/uwaziri wa Mwapachu Tanga wamepata nini.

Hilo la vijana kuzamia meli na kubeba mzigo pia nalo naweza kuliunga na hilo ile ya kuwa the right role models hawaonekani sana makwao. Sasa inatokea vijana wanaorudi na kuonekana 'successful' kwa mijigari na mapesa kedekede na 'matanuzi' mengine ni wale waliokwenda melini au kubeba mzigo ... hivyo kusababisha wale vijana wanaoinukia kuona kuwa hii ndio njia muafaka na ya mkato.. especially wale ambao hawakupata nafasi za kuendelea na masomo. Ikiwa the heroes around ni waliobeba unga .. basi ndio hivyo tena.

Otherwise, kama ujuavyo, zipo theory pia kuwa miji hiyo inakuwa sobataged, but I don't want to go into that.

Kama alivyohint Mlalahoi, it's really puzzling why a place like Tanga has fallen that much from its being very live and busy town until early 80's, with lots of jobs and other activities, attracting a lot of people from other regions. In his presidential campaigns of 1995, Prof. Lipumba alimwaga speech pale Tanga on its previous status and highlighting its current, highly underutilised economic potentials. Kuna wazee wakalia .. maana sasa hivi, duh! Kiasi wagosi wa kaya waimbe 'Tanga, kunani paleeee mbona kila kitu kimekufa?!'

Wrong quote !
 
Ni heri uamini uwepo wa Mungu na kufuata matendo yake yanayoagizwa kupitia mitume ambyo kimsingi yanapatikana ktk vitabu takatifu.. Na usimkute... Kuliko kutoamini mwisho wa siku ukamkuta.. Utajinyea ahahahaha.. Kiiman Mungu hajaumbwa na yeyote.. Yeye ndo alfa na omega... Hawez fananishwa na kitu chochote...

Thibitisha kwamba yupo!
 
Mkuu wa chuo,wakati nikiwa mkristo nilikuwa nawaambia watu kuwa sisi waamin tunamuaibisha mungu,matendo yetu hayaendan na idea ya mungu inavyopaswa awe,baada ya kujua kuwa hayupo leo naendelea kuona tatizo hilohilo,waamin wanamuibisha mungu wao mwenyewe ambaye kwangu siamn kama yupo,naomba ujibu maswali haya,
mungu ana roho chafu?kwanini kwenye kitabu cha isaya alimtuma roho huyo kumuingia mtawala?je kama mungu ndiye muumba kwanini asiwe responsible kwa maovu na magumu wanayopitia wanadam ikiwa kathbtsha kuwa chafu ni yeye anayewatumia watu?

IN RED: ushibitisho please kua unajua hayupo,ina maana una,uhakika 100%,una 'tangible and observable evidences'

IN BLUE: KAMA NI IMANI NTAKUA SINA SWALI TENA MKUU
 
Mi nilikwambia ulimwengu una mwanzo rahisi ambao unaelezeka lakini mungu wako haelezeki sasa ya nn kuumiza kicha.Na kama inakili kwamba ilimwengu una mwanzo rahisi unaoelezeka sasa mungu wa nn?


By...Free ideas..

in red; Huo mwanzo ulishindwa kututhibitishia badala yake ukatuletea nadharia zisizo na ushahidi wa kisayansi
 
The Easiest Question in the world. God was created by homo sapiens !
 
Back
Top Bottom