Who created God? Who made him? Where did he come from?


Hivi vilivyomo na vinavyotokea still unauliza tena??? Mwnye macho hambiwi tazama usijipatishe dhamni burw mungu hakuzaa hakizaliwa na swala la kuwapo mungu ake mungu anajua mungu mwenyewe utakapokufa utapata jibu la swali lako npw n.vigum sana
 
Mkuu FRANCIS DA DON swali lako sifikirii kama utaweza kupata jibu lake. Haya mambo mbona yashajadiliwa sana tu humu JF. Nafikiri suala la Mungu ni vile kila mtu alivyo na upeo wake na imani yake. Haya mambo ya imani achana nayo ni kuanzisha mjadala usio na majibu.
 
Last edited by a moderator:

Haiingii akilini kabisa. time is real and its here. anything real must adhere to reality such as time.., unless God isn't real.., is it..?!
 
haiingii akilini kabisa. Time is real and its here. Anything real must adhere to reality such as time.., unless god isn't real.., is it..?!

kaka jibu lako ni simple hivi; there is no time if there is no action...! So time is there just to account scientific phenomenas. So in the biblle once they say "hapo mwanzo palikkuwepo neno....yohana 1:1 hapa mwanzo unaashiria kitendo cha uumbaji sijui kama umeelewa ila uelewe ata wewe hapo ujue kama hauna action unaperform time kwako inakuwa meaningless...! Time always measured in relation to the beginning of the action!
 
cna chakusema zaid ya kukuombea kwa mwenyez MUNGU akusamehe ndg yng yan hata aumuigopi MUUMBA WAKO kwl unataka kumjadili umepotoka ndg yng toka kwenye geza n ufate nuru
 

mkuu, unaweza ukanipa aya za quran na mistari ya injili inayozungumzia hayo uliyoyaandika hapo juu na mimi nikaperuzi?
 
Time is relative. Please read and understand the so called "space time dimension". A recent science tells us the way you experiance time here on earth is not necessary the same on outer space. eg. if you could survive near a Black hole for a 7days it would relatively equate to about 300yrs on earth. Strange as it is eternal existence should not be surprising because only we are used to mark a beginning and end to each and everything. Time has it's beginning and therefore an end, anything else not linked to time and space has neither a beginning nor an end.
 

Kutaka kujua mambo makubwa kuliko umr wenu na yasyo na majibu ni sawa na kudeki bahari
 
mkuu, unaweza ukanipa aya za quran na mistari ya injili inayozungumzia hayo uliyoyaandika hapo juu na mimi nikaperuzi?

Shule tumefundishwa jua limesimama kwenye Quran tumefundishwa hivi.

ﻭَﺍﻟﺸَّﻤْﺲُ ﺗَﺠْﺮِﻱ ﻟِﻤُﺴْﺘَﻘَﺮٍّ ﻟَﻬَﺎ ۚ ﺫَٰﻟِﻚَ ﺗَﻘْﺪِﻳﺮُ ﺍﻟْﻌَﺰِﻳﺰِ ﺍﻟْﻌَﻠِﻴﻢِ

Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.

Vipi hapo unaamini kipi?
 
Unavoipa value hiyo forever inaonyesha kwenye mathematics hauko vzr kdg....
Ukiipa +infinity value afu ukachukua hiyo +infinity jumlisha moja hujui kua utapata +infinity??
na ukichukua -infinity ukatoa moja au kujumlisha moja bado utapata hiyo hiyo -infinity...

Au una jibu tofauti na hilo??
 
Tukianza kumjadili mungú hatuta maliza ibaki tu kua yupo
 
Biology hiyo hapo chini

ﻓَﻠْﻴَﻨْﻆُﺮِ ﺍﻹِْﻧْﺴَﺎﻥُ ﻣِﻢَّ ﺧُﻠِﻖَ

Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?

ﺧُﻠِﻖَ ﻣِﻦْ ﻣَﺎءٍ ﺩَﺍﻓِﻖٍ

Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,

ﻳَﺨْﺮُﺝُ ﻣِﻦْ ﺑَﻴْﻦِ ﺍﻟﺼُّﻠْﺐِ ﻭَﺍﻟﺘَّﺮَﺍﺋِﺐِ

Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
 

Linakwenda kwa maana ya kumulika sio kutembea
 
Haiingii akilini kabisa. time is real and its here. anything real must adhere to reality such as time.., unless God isn't real.., is it..?!

Ndugu,kwa kutumia akili ya kibinadamu na elimu ya kidunia,uko sahihi kuwaza hivyo.Ila sasa Mungu yuko tofauti,huwezi kumfikiria ama kumjadili kwa kutumia philosophy uliyofundishwa na maprofesa wako darasani au kwa kusoma vitabu walivyoandika.Elimu ya namna Mungu alivyo,sijui yukoyukoje-almradi chochote kinachomhusu yeye,anayo Yeye.Akili yako wewe ni sehemu ndogo sana ya ile aliyo nayo yeye. Hebu fikiria,Yeye Mungu anakuangalia wewe hapo ulipo(say, Mbezi beach,DSM),muda huo huo anafuatilia pia mwenendo wa mtu anayeitwa Tomomi aliyeko,say,Tokyo,Japan. Wakati wewe huna hata uwezo wa kumuona mtu uliyenaye nyumba moja katika vyumba tofauti.Acha. Tumia muda wako kufikiria mambo ya duniani. Yeye unajihangaisha tu. Ndo maana kuna maandiko matakatifu yameandikwa mahali hivi: siku ile ya Bwana,tutamjua. Subiri. Anyway, nakusifu,unaushughulisha ubongo wako.
 
Navojua wa Roman from wanaweza kujua maana ltk sala ya Maria inasema....mama maria mama wa mungu......so lazima bikra maria ambae ndo kamzaa mungu kwa mujib wa roman catholic anajua mwanae ana umri gani ambae ndio mungu;
 

subiri afungue vitabu vyake vya hisabati labda atarudi na jipya
 
Navojua wa Roman from wanaweza kujua maana ltk sala ya Maria inasema....mama maria mama wa mungu......so lazima bikra maria ambae ndo kamzaa mungu kwa mujib wa roman catholic anajua mwanae ana umri gani ambae ndio mungu;

mh! hapo nahisi kama umeanzis pafupi sana.sidhani kama wakatoliki wanaelewa kivile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…