suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 196
Kwa kweli there is no way useme kwamba Mungu alikuwepo tu since forever.., yaani alitokea tangu milele yote.., its impossible. ngoja nikwambie kwanini.
1.) assuming Mungu ali-exist since forever, na tunaipa forever a value T. Sasa niambie at time (T-1 second) alikuwepo..??!
2.) Na at time (T-1 second) palikuwa na nani.., je ndie aliyefanya uumbaji..?! na je yeye huyo aliekuwepo at time (T-1 Second) kaumbwa na nani na katokea wapi na kwa sababu gani na kwa faida gani na ya nani..??! na ili iweje..??!
3.) Na tukisema Mungu atakuwepo up to forever, na tukaipa hiyo forever a value F, je at time (F + 1 second atakuwa wapi)..??!
Hivi vilivyomo na vinavyotokea still unauliza tena??? Mwnye macho hambiwi tazama usijipatishe dhamni burw mungu hakuzaa hakizaliwa na swala la kuwapo mungu ake mungu anajua mungu mwenyewe utakapokufa utapata jibu la swali lako npw n.vigum sana