Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unajua mungu hayupo au unaamini mungu hayupo??
Kujua ni nini na kuamini ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mungu hayupo au unaamini mungu hayupo??
Morality ya kibinadamu? ipi unayomaanisha? Toa mfano na unaweza kutumia analogy. Ndio Mungu ana upendo wote na uwezo wote, morality ipi haswa? ukisema "achilia mbali", "juu zaidi" hujaeleza kama mtu mwenye logic. Definition ya juu au chini inategemea na position wewe kama observer. Mwezi (moon) uko juu au chini? Haya twende na ntakukumbusha "morality ya kibidadamu" wakati muafaka ukifika.
Uhuru Kenyatta, binadamu tu, asiye na uwezo wote wala upendo wote, ametuhumiwa kushiriki katika mauaji Kenya huko watu wamemfungulia kesi ICC The Hague.
Mungu mnayemsema mwenye uwezo wote na ujuzi wote, anayeweza kuzuia vifo na mateso mara moja, ambaye hafanyi hivyo, mbona hata hasemwi vibaya kwa kutotumia uwezo wake kuepusha mabaya?
Naam, kwa nini mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
Hata Software Engineer wa kibinadamu anapotengeneza a software system, au engineer anapo tengeneza daraja, akiwa na uwezo wa kutengeneza daraja lisilovunjika au software system isiyocrash, halafu akatengeneza linalovunjika na kuua watu au system inayocrash na kuharibu habari za watu, tutam hold accountable.
Inakuwaje huyu mungu mwenye uwezo usio mpaka na upendo usio mithili asiwe held responsible kwa kuumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana?
Hibi hili linaweza ku make sense?
Mungu ana uwezo wote, ana upendo wote, ana ujuzi wote, ukiwamo wa kuumba ulimwengu usio na mabaya, kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani?

Huu mfano wako ni chaka ....
Iko hivi ....
Mtaalamu wa ujenzi anaweza kutengeneza daraja ambalo magari yanaweza kutumbukia mtoni japokuwa aliweza kujenga ambalo haliwezi kuvunjika,sababu za kujenge daraja la aina hii anazo
Lakini habari hii haiwezi kuishia hapo,huyu mtaalamu amejenga daraja,daraja ni mahali ambapo wanaweza kuvukawaenda kwa miguu na magari pia
Lakini huyu mtaalamu wa ujenzi amesema kuwa kwenye daraja hilolisipite gari zaidi ya lenye uzito wa tan 20 na akaweka watu wakasimama pale mwanzoni mwa daraja ili wawaambie watumia daraja angalizo lile
Lakini akaja mtu mmoja na gari la tan 60 akapita pale na kulivunja daraja kisha akatumbukia na kufa
Kati ya mjenzi wa daraja na huyu mtumiaji ni nani wa kutandikwa viboko?
Morality ya kibinadamu? ipi unayomaanisha? Toa mfano na unaweza kutumia analogy. Ndio Mungu ana upendo wote na uwezo wote, morality ipi haswa? ukisema "achilia mbali", "juu zaidi" hujaeleza kama mtu mwenye logic. Definition ya juu au chini inategemea na position wewe kama observer. Mwezi (moon) uko juu au chini? Haya twende na ntakukumbusha "morality ya kibidadamu" wakati muafaka ukifika.
Kwa nini mtaalam ambaye ana uwezo wote na upendo wote wa kujenga daraja lisilovunjika ajenge daraja linalovunjika?
Hilo swali lishajibiwa na mfano alotaka kapewa.
Nimesema halijajibiwa?
Jibu kwanza nilichokuuliza kabla ya kuuliza swali
Majibu ya swali lako ninayo ,kwanza nijibu kwakuwa nimeanza kukuuliza ...!!
kumuacha sio suluhisho na utakuwa hujamsaidia kitu; suala la msingi ni kumuelewa na kumpa ushahidi juu ya uwepo wa Mungu.
cc Kiranga
Swali lako linaeleza mjenga daraja anayeweka limitations, kwa nini aweke limitations ya magari ya tani fulani tu yapite kwenye daraja wakati ana uwezo wa kujenga daraja linaloweza kubeba magari bila limitations?
Magufuri angeweka limitations ningeelewa, kwa sababu ujenzi wake wa barabara una human limitations, hawezi kujenga barabara na daraja linaloweza kubeba magari ya uzito wowote.
Huyu mungu mwenye uwezo wa kujenga daraja linaloweza kubeba gari la uzito wowote, kwa nini anajenga daraja lenye udhaifu kwa maana ya kwamba linaweza kubeba gari lenye uzito fulani tu? Kwa nini karuhusu ulimwengu wake uruhusu udhaifu huu kama ana uwezo wa kuumba ulimwengu usio na udhaifu huu?
Ina maana ana roho mbaya? Ana uwezo wa kujenga daraja ambalo linaweza kubeba gari la uzito wowote lakini anatubania tu?
Au hana roho mbaya anatamani aweze kujenga daraja hilo lakini ukweli ni kwamba hawezi?
Hivi hukuelewa kile ambacho nimekuambia Kiranga?
Ngoja nirudie maana unaweza kuwa unaelewa kwa taratibu sana
Nimekuambia kuwa,hili swali lako nimeliona na nina majibu,lakini kabla ya wewe kuuliza nilikuwa tayari nimeshakuuliza swali ambalo hadi sasa hujajibu
Ninachokuomba ni wewe kujibu swali langu ambalo limetangulia kabla ya swali lako kisha na mimi nitakujibu lako,mbona ni maelezo rahisi sana hayo?
Haya nijibu ....!!
Nimesema umesema halijajibiwa?
Hapana,swali nangu halina msingi mbovu kwasababu zaidi ya mojaNimekuonyesha msingi mbovu wa swali lako.
Umemshusha mungu wako na kumlinganisha na Magufuri.
Mungu wako ni sawa na Magufuri?
Au ana uwezo wote?
Kama mungu wako ninsawa na Magufuri na hana uwezo wote, nipo tayari kujibu swali lako.
La, kama mungu wako ana uwezo.wote, na hivyo si sawa na Magufuri, your analogy is totally wrong.
Kwa sababu imejengwa katika mfano wa Magufuri, si wa mungu muweza yote.