Who created God? Who made him? Where did he come from?

Ni bora uka amini mungu yupo hata siku ukienda uka mkuta hayupo huna shida kuliko kuamini hayupo afu ukaenda uka mkuta yupo...

Kwa.minajili hiyo hiyo...

Ni bora ukaamini Kiranga ndiye mungu na kumpa sadaka halafu ukifa ukakuta si mungu, kuliko kuamini mungu hayupo halafu ukafa ukamkuta Kiranga ndiye mungu.

Haya, nipe sadaka zangu basi.

The unexamined life is not worth living.
 

Kama engineer ana uwezo wa kujenga daraja lisilo na limit ya uzito, na anajua kuna magari ya tani mia yatahitaji kupita darajani, kwa nini ajenge daraja lenye limit ya tani sitini?

Kama mungu kweli anajali free will, mbona hakutuuliza kama tunataka kuzaliwa dunia hii au la? Tuchague wenyewe kwa free will kuzaliwa au kutozaliwa?

Kama mungu anapenda sana free will, mbona hatuna free will ya kurudi nyuma kwenye muda na kufanya tofauti na tulivyofanya?

Free will gani hii ambayo muda hatuna control.nao na wala hatuna control juu ya kuzaliwa kwetu?

Hii ni free will kweli au hadithi tu ya free will?

Swli si.kwamba mimi mwanadamu natenda mabaya halafu.nataka mungu aingikie kati, hasha.

Swali ni, kama mungu anaweza vyote, maana yake aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?

Usiniambie freewill, free will nishaichakaza hapo juu.
 

Dah hapa umenifurahisha sana mkuu,

wazungu wanasema vice versa is true
 

Mungu wako Magufuri?
 
hili swali lirudi kwako hapa ulitaka kujua sio kuamini haya nipe maana kujua ni nini na kuamini ni nini kulingana na maneno yako haya nipe??

Hujajibu swali.

Kwangu mimi, kujua ni ndoto, kuamini ni ujinga.
 
There you are!!
Kwa mfano, nini chanzo cha dhambi(uovu?)
Yaani anayesababisha kuwe na dhambi ni nani?

Tunaambiwa kuwa binadamu wa kwanza Adamu na Eva walishawishiwa na shetani ili kufanya dhambi, na hivyo shetani ndiye baba wa uovu, Je, Shetani yeye alishawishiwa na nani kutenda dhambi ya uasi?,

Na kama Mungu alijua kuwa Shetani atakuja kuasi na kuwa mhimili wa maovu, kwa nini alimuumba?, Tukisema Mungu ndiye baba wa uovu kwa kuwa alimuumba iongozi wa uovu tutakuwa tumekosea?
Ishmael Eiyer tunataka ufafanuzi.
 
Last edited by a moderator:

Na kabla ya shetni kuwapo, mungu alipokuwa anaumba ulimwengu, je alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao uovu hauwezekaniki?

Au hakuwa na uwezo huo?

Kama alikuwa na uwezo huo, na hakuumba ulimwengu huo, je ni kweli ana upendo wote?

Kama hakuwa na uwezo huo, je, ni kweli kwamba ana uwezo wote?
 
Last edited by a moderator:

Je ni kweli mungu anasikia tukimwomba?
 

Before we even get to those very pertinent questions, I've got a question of my own.

How did god himself come about in the first place?
 

Kabla sijaenda sana kwenye hoja zako ...

Unaamini uwepo wa Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…