take the logic leave the example aside!
Mfano umeutoa nyinyi wenyewe, utaniambiaje niuweke pembeni?
Hahahahahahahahaaaaa.....!
Tukiweka mfano pembeni ina maana tuweke pembeni na logic zake zote kwa sababu ni mbovu!
Kuwa muungwana, kuwa mstaarabu, kubali kwamba mfano wenu mmechemka!
Unasema mfano nimeubeba kama ulivyo, kumbe ningeuchakachua nisiubebe kama ulivyo? Mmemfananisha Mungu na mwalimu. Mfano maana yake unafananisha, mmesema mwalimu ana predict with up to 95% accuracy kwamba mimi nitafeli shule. Which means one, Mungu ana predict, hana hakika. Two, Mungu anapo predict ana accuracy ya zero up to 95, in other words he can fall completely flat and be wrong kabisa kabisa, zero accuracy.
And three, Mungu is never 100% right. A far cry from omniscient God, hajui kitu! Illustrations zenu nyinyi wenyewe.
Mnamkufuru Mungu wenu? Astakafululillah!
Halafu mnanicheka mimi sikwenda shule? Hoja ndio hizo? Bora sikwenda. Hahahaaaaaaaaaaaa........
Una reason kwa makosa sana....
Naweza kujua kuwa kesho ajali itatokea lakini kuna uwezekano wa ajali hiyo kutotokea kama hatua za uangalifu zitachukuliwa
Kama "hatua za uangalifu" zilichukuliwa na ajali haikutokea then ina maana wewe hukujua kwamba ajali itatokea na ndio maana haikutokea! Unaweza kutabiri ajali lakini huwezi kujua ajali itatokea.
Kwa hiyo kama matokeo yanaweza kubadilika ina Mungu hajui utaamua nini kesho, Mungu sio omniscient.
Una wakati mgumu sana mwalimu anawwza jua kabisa huyu awwzi kufaulu na akakwambia ila awezi kukulazimisha ww kuona unachofanya ni kibaya ila yy atakupa ubaya na uzuri unayofanya. Na pia atakwambia mbeleni utakuwa na wakati gani katka mtihan wako.
Kama mwalimu anajua kwamba utafeli anakwambia ili iweje? Urekebishe mwenendo wa kujisomea ili ufaulu? Basi hajui kama utafeli! I mean, this should be extremely simple logic.
Hivi nyie mlifaulu vipi mitihani shuleni?
Unajuae nilifaulu?
Mungu anakupa dalili zake na madhara yake na hakuamlii bali atakuacha uamue ila akiwa anakupa uo uhuru anamsingi wake.
Kama Mungu anakuacha uamue cha kufanya ina maana binadamu anayo free will. Kama binadamu anayo free will ina maana kitakachofanyika kesho utachagua kesho, hakiko fixed, hakijapangwa tayari. Na kama hakiko fixed, kinaweza kuwa vyovyote, ina maana Mungu hajui itakavyokuwa, hajui utaamua nini, yani Mungu sio omniscient.
Mungu hawezi kusema anakupa choice wakati anajua utakachochagua, hiyo ni force choice. Ili uwe na genuine free will inabidi Mungu awe hajui utaamua nini.