sasa hapa wakristo wamekukosea nini? si uwaache na ubabaishaji wao?
wapo pia wanaoamini mungu ameumbwa na binadamu na wapo pia wanaoamini uislamu ni dini ya shetani, sasa kwa nini wewe ujione bora unachoamini kuliko wengine?
na usisahamu wapo wanaoamini kwamba dini ni uongo na ulaghai unaoelekea kupitwa na wakati.
akili za kiccm zimeharibu ubongo wako hadi umeoza.
Nimeuliza.
Kama mungu anapenda sana free will, kwa nini hakunipa uchaguzi niamue nizaliwe au nisizaliwe?
Hata kwa viwango vya kibinadamu tu, kabla ya kuanza kazi za kibinadamu kwa watu walioelimika unakubali majukumu na kusaini mkataba wa kazi.
Iweje mungu anayesifika kwa kupenda free will akaniweka tu duniani bila hata kuniuliza kama nataka kuwepo kwenye dunia yake mbovu au sitaki?
Huyu mungu anapenda free will kweli au hizi ni hadithi tu?
Sawa kabisa.Unachanganya kujua na kupanga,unapojua kesho mvua itanyesha haina maana umepanga inyeshe
Mungu anaposema anajua haina maana amepanga,anapojua kesho utaiba hajapanga wewe uibe!
You mean God.How did god
Okay, kwa hiyo Mungu nae, kama huyo Mwalimu, ana predict mtoto gani atafeli na nani atapasi kutokana na mazoea yake na wanafunzi.Wrong! And I tell you why.
.....
Nakupa mfano kidogo ambao japo si sawasawa na huu lkn unaweza kukupa mwanga kidogo.
Mwalimu wa Darasa Anaefundisha watoto ukimuuliza namna gani anadhani matokeo ya mitihani yatakavyokuwa kwa wanafunzi wake. Basi ni kitu cha kawaida kabisa kwa mwalimu kusema Fulani atapasi Na Fulani atafeli.
Hapa mwalimu ameona Mbele kutokana na Mazoea yake na hao wanafunzi wake.
Sasa Mungu Muumba wetu kuwa na knowledge of the future
Leo kwa mara ya kwanza umeongea pointNadhani ungesoma nilichokiandika Usingeandika haya.
Nimejaribu kutoa mfano ambao nime Insist kuwa HAUWEZI KUWA SAWA na subject lkn for great thinkers it will ring the bell.
But unfortunately we have different thinking capacity!
Unapotaka kutoa mfano wwt ukauhusisha na Mungu kwa watu wenye kufikiria ndani ya box tu ni Vigumu sana Kuwaelekeza.
Inatakiwa Utoke nje ya box halafu uutazame mfano huo in different aspects! Sio unabeba mazima tu!
Utakuja tumbukia kwenye shimo bure.
Na kutokusoma kwako vizuri ndiko kunakokusababisha kutokuwa na weledi.
Walimu wenye kuwafahamu wanafunzi wake when it comes to prediction Wanaweza kuwa Up to 95% accurate kuhusu performance za wanafunzi ktk matokeo yajayo ya Mtihani.
Na km hilo linakushangaza nadhani Hatutofika mbali na mjadala huu.
Sometime to make someone understand something, that individual must poses some sort of IQ.
And if he/she doesn't! Then it's like trying to play guitar to a lamb and expected the lamb to dance!
That ain't going to happen.
Okay, kwa hiyo Mungu nae ana up to 95% accuracy anapo predict mambo. "Up to," meaning even 15% inawezekana, almuradi asilimia sifuri mpaka 95, he can go all wrong up to 95%, and never 100% right. Yani Mungu nae ana predict mambo kwa kubahatisha bahatisha.Walimu wenye kuwafahamu wanafunzi wake when it comes to prediction Wanaweza kuwa Up to 95% accurate kuhusu performance za wanafunzi ktk matokeo yajayo ya Mtihani.
Sawa kabisa.
Mungu anajua kwamba kesho utafanya uasherati au wizi lakini si yeye aliyepanga hivyo, unadai. Sawa.
Sasa kama utakachofanya kesho na keshokutwa na milele kinajulikana tayari, Mungu anakijua, ina maana njia ya maisha yako, matendo yako, yako fixed, yameshapangwa tayari. Sisemi imepangwa na Mungu, bali ishapangwa hivyo tangu unazaliwa, iko pre-determined, fixed, hakiwezi kubadilika, huwezi kuamka asubuhi ubadili mawazo, utafanya ubaya tu.
Which means, huna free will!
Right or wrong?
Okay, kwa hiyo Mungu nae ana up to 95% accuracy anapo predict mambo. "Up to," meaning even 15% inawezekana, almuradi asilimia sifuri mpaka 95, he can go all wrong up to 95%, and never 100% right. Yani Mungu nae ana predict mambo kwa kubahatisha bahatisha.
Tulidhani Mungu ni omniscient, anajua, sio ana predict, anajua kila kitu!
Tunatumia mfano ulioleta wewe mwenyewe, halafu unabanwa kwenye maelezo unaanza vioja, unanitukana IQ yangu halafu unajenga hoja mbovu namna hiyo?
By the way, watu wenye IQ unayodai, watu wenye "weledi" unaouongelea, huwa hawakejeli IQ za wenzao, au kusema hawana weledi. Hiyo tayari inaonyesha huna class wala restraint, ambayo sio hulka ya watu wenye IQ kubwa unayodai. Mtu mwenye IQ kubwa ana moderation ya kujua kutotukana tukana watu ovyo especially kuhusu IQ.
Eti mwalimu anasema fulani atafeli. Shule ya wapi hiyo umewahi kusikia mwalimu anatamka ana predict fulani atafeli? That was the most ridiculous illustration of all, I mean it was off the meat rack.
Hapo baba paroko japokuwa tuko kwenye the same Boat here lkn ntakuregebisha kidogo.
Mwenye Elimu ya Future ilio 100% Ni MUNGU PEKE YAKE.
Hawa Fortune tellers ni Vibaka tu wanaobahatisha mambo lkn maneno yao 80% ni uongo tu.
Sasa akija mtu akakwambia anaweza Kuona Kesho huyo atakuwa ni ktk wale wachawi waongo tu.
Okay, kwa hiyo Mungu nae ana up to 95% accuracy anapo predict mambo. "Up to," meaning even 15% inawezekana, almuradi asilimia sifuri mpaka 95, he can go all wrong up to 95%, and never 100% right. Yani Mungu nae ana predict mambo kwa kubahatisha bahatisha.
Tulidhani Mungu ni omniscient, anajua, sio ana predict, anajua kila kitu!
Tunatumia mfano ulioleta wewe mwenyewe, halafu unabanwa kwenye maelezo unaanza vioja, unanitukana IQ yangu halafu unajenga hoja mbovu namna hiyo?
By the way, watu wenye IQ unayodai, watu wenye "weledi" unaouongelea, huwa hawakejeli IQ za wenzao, au kusema hawana weledi. Hiyo tayari inaonyesha huna class wala restraint, ambayo sio hulka ya watu wenye IQ kubwa unayodai. Mtu mwenye IQ kubwa ana moderation ya kujua kutotukana tukana watu ovyo especially kuhusu IQ.
Eti mwalimu anasema fulani atafeli. Shule ya wapi hiyo umewahi kusikia mwalimu anatamka ana predict fulani atafeli? That was the most ridiculous illustration of all, I mean it was off the meat rack.
Okay, kwa hiyo Mungu nae ana up to 95% accuracy anapo predict mambo. "Up to," meaning even 15% inawezekana, almuradi asilimia sifuri mpaka 95, he can go all wrong up to 95%, and never 100% right. Yani Mungu nae ana predict mambo kwa kubahatisha bahatisha.
Tulidhani Mungu ni omniscient, anajua, sio ana predict, anajua kila kitu!
Tunatumia mfano ulioleta wewe mwenyewe, halafu unabanwa kwenye maelezo unaanza vioja, unanitukana IQ yangu halafu unajenga hoja mbovu namna hiyo?
By the way, watu wenye IQ unayodai, watu wenye "weledi" unaouongelea, huwa hawakejeli IQ za wenzao, au kusema hawana weledi. Hiyo tayari inaonyesha huna class wala restraint, ambayo sio hulka ya watu wenye IQ kubwa unayodai. Mtu mwenye IQ kubwa ana moderation ya kujua kutotukana tukana watu ovyo especially kuhusu IQ.
Eti mwalimu anasema fulani atafeli. Shule ya wapi hiyo umewahi kusikia mwalimu anatamka ana predict fulani atafeli? That was the most ridiculous illustration of all, I mean it was off the meat rack.
Kaka, kama wapo nitawashangaa sana. Ni bora uamini kuwa yupo na ukikuta hayupo huna cha kupoteza kuliko kinyume chake
Mfano umeutoa nyinyi wenyewe, utaniambiaje niuweke pembeni?take the logic leave the example aside!
Kama "hatua za uangalifu" zilichukuliwa na ajali haikutokea then ina maana wewe hukujua kwamba ajali itatokea na ndio maana haikutokea! Unaweza kutabiri ajali lakini huwezi kujua ajali itatokea.Una reason kwa makosa sana....
Naweza kujua kuwa kesho ajali itatokea lakini kuna uwezekano wa ajali hiyo kutotokea kama hatua za uangalifu zitachukuliwa
Kama mwalimu anajua kwamba utafeli anakwambia ili iweje? Urekebishe mwenendo wa kujisomea ili ufaulu? Basi hajui kama utafeli! I mean, this should be extremely simple logic.Una wakati mgumu sana mwalimu anawwza jua kabisa huyu awwzi kufaulu na akakwambia ila awezi kukulazimisha ww kuona unachofanya ni kibaya ila yy atakupa ubaya na uzuri unayofanya. Na pia atakwambia mbeleni utakuwa na wakati gani katka mtihan wako.
Unajuae nilifaulu?Hivi nyie mlifaulu vipi mitihani shuleni?
Kama Mungu anakuacha uamue cha kufanya ina maana binadamu anayo free will. Kama binadamu anayo free will ina maana kitakachofanyika kesho utachagua kesho, hakiko fixed, hakijapangwa tayari. Na kama hakiko fixed, kinaweza kuwa vyovyote, ina maana Mungu hajui itakavyokuwa, hajui utaamua nini, yani Mungu sio omniscient.Mungu anakupa dalili zake na madhara yake na hakuamlii bali atakuacha uamue ila akiwa anakupa uo uhuru anamsingi wake.
Wacha nichukue ushauri wa kahtaan ....Kama "hatua za uangalifu" zilichukuliwa na ajali haikutokea then ina maana wewe hukujua kwamba ajali itatokea na ndio maana haikutokea! Unaweza kutabiri ajali lakini huwezi kujua ajali itatokea.
Kwa hiyo kama matokeo yanaweza kubadilika ina Mungu hajui utaamua nini kesho, Mungu sio omniscient.
Mfano umeutoa nyinyi wenyewe, utaniambiaje niuweke pembeni?
Hahahahahahahahaaaaa.....!
Tukiweka mfano pembeni ina maana tuweke pembeni na logic zake zote kwa sababu ni mbovu!
Kuwa muungwana, kuwa mstaarabu, kubali kwamba mfano wenu mmechemka!
Unasema mfano nimeubeba kama ulivyo, kumbe ningeuchakachua nisiubebe kama ulivyo? Mmemfananisha Mungu na mwalimu. Mfano maana yake unafananisha, mmesema mwalimu ana predict with up to 95% accuracy kwamba mimi nitafeli shule. Which means one, Mungu ana predict, hana hakika. Two, Mungu anapo predict ana accuracy ya zero up to 95, in other words he can fall completely flat and be wrong kabisa kabisa, zero accuracy.
And three, Mungu is never 100% right. A far cry from omniscient God, hajui kitu! Illustrations zenu nyinyi wenyewe.
Okay then, asante kwa kukubali makosa kiujanja ujanja. Mfano wenu ulikuwa "a misfit" or it "falls short."if it falls short, then you can challenge the analogy separately if its a misfit.