Who created God? Who made him? Where did he come from?


who created ur parents??
 

Unacopy nusu sentence unaacha context nzima? Hujiamini? Wewe kumbe una tatizo kubwa zaidi ya nilivyodhani.
I could do the same by just copying your "Okay then" but am better than that. You got the point though, na muhimu zaidi wengine ulokusudia kuwapotosha wameiona hiyo. Naweza kusema tu pole sana.
 

Wanaamini katika fate na a predetermined life. In their own words "kwa mipango ya mwenyezi mungu".

Hapa bado wanatetea uwepo wa free will.

A waste of time.
 
Creation Siku Zote Inakuleta kujua kuna Creator Nyuma Ya Pazia,Vitu Havikutokea Just From Nowhere (Bing Bang Theory)
 
Nawauliza swali moja rahisi 'wewe ni nani?' Kwa lugha nyepesi na rahisi kabisa kila mpinga MUNGU atumie maneno yake binafsi bila kuwanakili wapinga MUNGU wengine hasa wazungu. wajibu wao kama wao katika uhalisia wao NAWASUBIRI KWA HAMU

mimi ni 1701,unauliza wajibu wangu.?rudi hapa acha uoga mkuu,swali lako lfkrhe upya
 
Kaka, kama wapo nitawashangaa sana. Ni bora uamini kuwa yupo na ukikuta hayupo huna cha kupoteza kuliko kinyume chake

mkuu,hapa uko duniani au peponi?kama jibu ni duniani je kwanin usijiue uwah pepon?
Kama uko peponi,.kwanin unakmbilia ajra za kuzm?
 
Hapo mwanzo alikuwepo neno, naye neno alikuwapo kwa Mungu naye neno alikuwa Mungu....!
 

Naona umesahau pia kuwa kuna waisilamu kazi yao ni kuua watu wasio na hatia kwa jina la Allah,na hao wauaji ni watu wa sla tano.sitaki kukupa mifano kwa sababu unajua dhahiri kuhusu hili,kwahiyo dini sio ishu kubwa sana wakati mwingine ifike mahali watu weusi tujitambue.
 

yes,na sisi tumtengeneze Mungu wetu,nadhan tuanzie hapa
 
Mungu unaweza mjua yupo kwa Facts nyingi sana......Mfano Mdogo tu wa ku DEmonstrate,Kwani wewe ulisha wahi kuuona upepo???? unajuaje upo???

Ukipata majibu hapo unaweza anza kuwa na idea ya Jibu la swali lako......
 
Mungu unaweza mjua yupo kwa Facts nyingi sana......Mfano Mdogo tu wa ku DEmonstrate,Kwani wewe ulisha wahi kuuona upepo???? unajuaje upo???

Ukipata majibu hapo unaweza anza kuwa ume idea ya JIbu la swali lako

hoja yako sijuh kama unataka ijibìwe ki_science au kibiblia
 
God is the product of himself God.
But to understand this meaning u need to remove all ideas about anything that happen. Just because God is not something like other things. That's why God is everything.
God is a state of being which everyone can be but not experience. From doors of perception they were just think of how state is but the only chance to understand fully about God is to be God NOTHING ELSE. If someone can talk to you many things about God or can calculate mathematics a lot just to show you something or u study certain books about God only u will die ignorant the only chance to take is to become one. God is not in Israel, Iran, Vatican, Makkah, church, masjid, synagogue or temple but is everywhere. God is near you more than your spinal cord. God is within you. God is you. The problem is only realization.
Thank you.
You can ask anything about God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…