Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,381
Yeah...napendekeza aitwa Kyala.....Yesu wetu awe Mwanamalundi,
ulipo mwanafyale?
Hili jukwaa bana! Mnali-misuse kichizi. Nani aliwaambia Intelligence ni kuongelea mambo ya Mungu?!
Mada za kikafiri!
upepo unapimwa na unajulikana kuwa una blow that why una produce some of effects like electricity so huu tuna uhakika upo, mungu nae unathibitishaje kuwa yupo??Mungu unaweza mjua yupo kwa Facts nyingi sana......Mfano Mdogo tu wa ku DEmonstrate,Kwani wewe ulisha wahi kuuona upepo???? unajuaje upo???
Ukipata majibu hapo unaweza anza kuwa na idea ya Jibu la swali lako......
Cc 1701 next time kumbuka kuquote mkuu aweze kuona kiurahisiTuanze Ki Sayansi......alafu tutarudi upande wa Pili
Cc 1701 next time kumbuka kuquote mkuu aweze kuona kiurahisi
Tunajua kitu kipo kwa sababu ya Effect yake ....kwa mfano upepo upo sio kwa sababu unausikia tu ila ni kwa sababu ya effects zake zitokanazo nao....likewise MUngu naye yupo japokuwa hujamwona ila yupo kwa sababu ya Effect ya uwepo wake ie Creation,Universe etc @Parcel
usilitaje bure jina la mungu wako hayo ni maandiko yanavyosema sana naona watu wengi wamekosa imani yakujuwa uwepo wa mungu sasa endeleeni kutenda dhambi namkumbuke kuwa mshahara wa dhambi ni mauti
hzi mada nyingne wala cyo nzurI kuzfuatilia cha msingI tuachE munGU aitwe mungU..