Mungu ni tofauti kabisa na tunavyomjadili! Hiki kisehemu cha ulimwengu (universe) ni kisehemu tu alichokitengeneza na uwepo wetu hapa ndio untufanya tujione kwamba tunamjua na kumtambua alivyo! Mungu hana utambuzi YEYE ni ALfa na Omega Kwa dunia yetu tunayoijua sisi. Kuna mengi sana hatuyajui kuhusu Mungu na hata tukifa hatutayajua! Tumshukuru kwa kutuumba tuko hapa duniani katupa akili ya kutambua kuw YEYE alikuwepo, yupo na atakuwepo.