Who created God? Who made him? Where did he come from?

Who created God? Who made him? Where did he come from?

Mungu ni tofauti kabisa na tunavyomjadili! Hiki kisehemu cha ulimwengu (universe) ni kisehemu tu alichokitengeneza na uwepo wetu hapa ndio untufanya tujione kwamba tunamjua na kumtambua alivyo! Mungu hana utambuzi YEYE ni ALfa na Omega Kwa dunia yetu tunayoijua sisi. Kuna mengi sana hatuyajui kuhusu Mungu na hata tukifa hatutayajua! Tumshukuru kwa kutuumba tuko hapa duniani katupa akili ya kutambua kuw YEYE alikuwepo, yupo na atakuwepo.
 
Kwa kweli there is no way useme kwamba Mungu alikuwepo tu since forever.., yaani alitokea tangu milele yote.., its impossible. ngoja nikwambie kwanini.

1.) assuming Mungu ali-exist since forever, na tunaipa forever a value T. Sasa niambie at time (T-1 second) alikuwepo..??!

2.) Na at time (T-1 second) palikuwa na nani.., je ndie aliyefanya uumbaji..?! na je yeye huyo aliekuwepo at time (T-1 Second) kaumbwa na nani na katokea wapi na kwa sababu gani na kwa faida gani na ya nani..??! na ili iweje..??!

3.) Na tukisema Mungu atakuwepo up to forever, na tukaipa hiyo forever a value F, je at time (F + 1 second atakuwa wapi)..??!

Francis DAN DON, naona umepotoka. Kweli unatumia mda wako kumjadili mungu muumba? Una akili kabisa iliyokamilika ama una mapungufu fulani? Don't joke like a child.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu,kwa kutumia akili ya kibinadamu na elimu ya kidunia,uko sahihi kuwaza hivyo.Ila sasa Mungu yuko tofauti,huwezi kumfikiria ama kumjadili kwa kutumia philosophy uliyofundishwa na maprofesa wako darasani au kwa kusoma vitabu walivyoandika.Elimu ya namna Mungu alivyo,sijui yukoyukoje-almradi chochote kinachomhusu yeye,anayo Yeye.Akili yako wewe ni sehemu ndogo sana ya ile aliyo nayo yeye. Hebu fikiria,Yeye Mungu anakuangalia wewe hapo ulipo(say, Mbezi beach,DSM),muda huo huo anafuatilia pia mwenendo wa mtu anayeitwa Tomomi aliyeko,say,Tokyo,Japan. Wakati wewe huna hata uwezo wa kumuona mtu uliyenaye nyumba moja katika vyumba tofauti.Acha. Tumia muda wako kufikiria mambo ya duniani. Yeye unajihangaisha tu. Ndo maana kuna maandiko matakatifu yameandikwa mahali hivi: siku ile ya Bwana,tutamjua. Subiri. Anyway, nakusifu,unaushughulisha ubongo wako.

haya yote yanakuja baada ya kufikir kuwa yupo Mungu. dunia imekuwepo milions of years na binadamu wamekuwa na imani tofaut kuhusu source yetu. hadi miaka 2000 iliyopita wakatokea wajanja hapo middle east wakaja na idea zao, wengine hapohapo middle east wakajifunza ujanja wa wenzao kwa miaka 500 wakaja na idea zilizorekebishwa (copy & pest + editing) wakajaza utamaduni wao humo ndani (vyakula, mavazi, lugha nk) kuwa mungu ndo anataka hvyo na sisi tukapokea tu. ebu mtu ajiulize kama mungu angekuwepo angekubali watu watumie jina lake kuchinja watu kama kuku? au angesubiri kwa mamilioni ya miaka ndo awape binadamu sheria? au baada ya kuona kuwa upande mmoja uko wrong kwa nn akastick hapohapo middle east kutoa maelekezo? alikuwa mvivu mwenda far east au brazil? hamuoni kuwa hii inatokana na watu waliona jirani kafanya nn nao wakarekebisha? naskia kuna wengine amewakasimu madaraka ya kuua. TAFAKARI
 
cna chakusema zaid ya kukuombea kwa mwenyez MUNGU akusamehe ndg yng yan hata aumuigopi MUUMBA WAKO kwl unataka kumjadili umepotoka ndg yng toka kwenye geza n ufate nuru

Mungu si kumuogopa bali kumuelewa.Hatupaswi kuogopa tunapoamua kuutafuta ukweli.Jibu hoja siyo kuleta vitisho.
 
NI UWEZO UNAOWEZA USIOWEZWA........... (muda huu unauliza swasli la aina hii uko salama, lkn ukipatwa na sintofahamu ndogo tu akili ikitaharuki bila kushurutishwa utamuita huyo MUNGU unayehoji hapa.)
Kwa kweli there is no way useme kwamba Mungu alikuwepo tu since forever.., yaani alitokea tangu milele yote.., its impossible. ngoja nikwambie kwanini.

1.) assuming Mungu ali-exist since forever, na tunaipa forever a value T. Sasa niambie at time (T-1 second) alikuwepo..??!

2.) Na at time (T-1 second) palikuwa na nani.., je ndie aliyefanya uumbaji..?! na je yeye huyo aliekuwepo at time (T-1 Second) kaumbwa na nani na katokea wapi na kwa sababu gani na kwa faida gani na ya nani..??! na ili iweje..??!

3.) Na tukisema Mungu atakuwepo up to forever, na tukaipa hiyo forever a value F, je at time (F + 1 second atakuwa wapi)..??!
 
Navojua wa Roman from wanaweza kujua maana ltk sala ya Maria inasema....mama maria mama wa mungu......so lazima bikra maria ambae ndo kamzaa mungu kwa mujib wa roman catholic anajua mwanae ana umri gani ambae ndio mungu;

duu acha kuchekesha watu,,,watu wengne hatuna mbavu zakucheka utatuua bure
 
Hiyo ndio character moja wapo ya Mungu ukimdiskass kinafki km ww mtoa hupati majibu mwishowe huishia kua na maswali km haya, we unaweza kuyajibu haya?? Ctegemei vihesabu vyako uchwara vnakupa jeuri

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nina imani mleta mada hata form four hukupata division one. Ina maana yale maswali nyanya yalikushinda. Ungekuwa na akili za kutosha angalau ukapata one ya point tisa, ningona una ubavu wa kuuliza mwasali magumu. Hata huyo uliyeweka picha yake kama Avatar alichemsha kujua yale yanayomuhusu Mungu mpaka akingia kwenye filosofi za kumpoteza na kuamini kuwa hakuna Mungu. Achana na Atheist. Kimbia fasta. Mungu yuko na maarifa yake ni unsearchable...
 
Tafsiri ya haraka haraka ya sura 57:1-3 inasema:
1. Vinamtakasa ALLAH vitu vyote vilivyoko mbinguni na ardhini na yeye ni Mwenye nguvu na hekima.
2. Ufalme wa mbinguni na ardhini ni wake na ndiye anayehuisha na kufisha na ni muweza kwa kila jambo.
3. Yeye ni wa mwanzo (wa tangu) na wa mwisho na wa dhahiri na akiyejificha na ni mjuzi wa kila jambo.\
Maneno haya ya MWENYEZIMUNGU ni dalili kwamba hakuna Mungu mwengine anayestahiki kuabudiwa na waja ila yeye ALLAH kwa hivyo hakuna Mungu wa kweli zaidi ya ALLAH.
 
Haiingii akilini kabisa. time is real and its here. anything real must adhere to reality such as time.., unless God isn't real.., is it..?!

Hebu wasome new age beliefs hasa kwenye astral projection. Utaona jinsi nafsi inavyoweza kutoka kwenye ulimwengu Hui Na kuingia ulimwengu usiofungwa Na time wala space. Anzia hapo kufikiri upya. Pasco
 
Last edited by a moderator:
He knows yesterday, today and tomorrow
Well, kaa Mungu anajua yatakayojiri kesho basi binadamu hana free will, yani huwezi kuchagua na kuamua nini la kufanya kumfurahisha Mungu au kutenda dhambi au kusali kuepushwa na ajali. Imeshapangwa hivyo.

Which means, kama huna free will, then huna dhambi yeyote maishani, ulichofanya kibaya, ama chema, hujaamua wewe kwa ridhaa yako.

Which means hakuna dhambi na adhabu and hell and heaven! Yote yanakuwa ni hadithi za abunuasi.
 
Nimweka mema na mabaya...nakushauri chagua
Mema....MUNGU hujua kila effect ya jambo utalo fanya
Ndo maana anakushaur uchague mema maan anajua outcome ni ipi . Pia anajua ukichagua baya outcome ni ipi, huyu ndie JEHOVA
sio dikteta

Kuijua kesho haimaanish anajua utafany dhambi or not
Ila anajua kesho yako kwa lile utalo chagua sasa

Yeye anataka wale wanao mwabudu katka Roho na kweli
 
Kwa kweli there is no way useme kwamba Mungu alikuwepo tu since forever.., yaani alitokea tangu milele yote.., its impossible. ngoja nikwambie kwanini.

1.) assuming Mungu ali-exist since forever, na tunaipa forever a value T. Sasa niambie at time (T-1 second) alikuwepo..??!

2.) Na at time (T-1 second) palikuwa na nani.., je ndie aliyefanya uumbaji..?! na je yeye huyo aliekuwepo at time (T-1 Second) kaumbwa na nani na katokea wapi na kwa sababu gani na kwa faida gani na ya nani..??! na ili iweje..??!

3.) Na tukisema Mungu atakuwepo up to forever, na tukaipa hiyo forever a value F, je at time (F + 1 second atakuwa wapi)..??!

Hisabati ujifunze juzi leo tayari unaweza kuzitumia kumfuta Mungu? Njoo na kitu cha maana sio "assuming...!tukisema..." assuming what?
Kuandika tu tabu sasa hiyo headline ya "mungu wa Mungu" manake nini kama sio uwendawazimu?
 
Back
Top Bottom