Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Maneno yako meeengi na mengine matamu sana.
nilichokipinga mimi kwako ni kule kusema "MUNGU ANAWACHUKIA wanao amini BILA KUCHUNGUZA!
Hio nakwambia kabisa SIO KWELI. Na NI UONGO WA WAZI KABISA.
Huwezi kukuta kwenye biblia wala Quraan ikasema kitu hicho.
Ispokuwa NI VIZURI KUSOMA NA KUIFAHAMU IMANI YAKO na Maamrisho ya MUNGU.
LKN HAKUNA ulazima wa KUMCHUNGUZA MUNGU. unaweza kuamini tu bila kuchunguza.
Mbona unapoambiwa na doctor kuwa una kaswende hautaki kuchunguza zaidi? Unaweza kumuamini doctor kwa kukwambia alichunguza.
Vipi unashindwa kuamini mitume wa MUNGU na Vitabu vyake?
Kama wewe unataka kuchunguza kwanini usiwachunguze HAO WALIOKWAMBIA KUWA MUNGU YUPO!? Unaenda kuchunguza huyo MUNGU?
Ndio maana wengi mnagonga ukuta na kufa bila taarifa.
Amini MUNGU MMOJA.
Soma MAAMRISHO YAKE na MAKATAZO YAKE.
Fanya ibada zako, ishi maisha yako Usubiri KUFA.
Huwenda MUNGU akakulipa zawadi ya uzima wa milele na pepo yake tukufu.
Sio kumsingizia MUNGU UONGO km wale wanaosema MARIA NI mke wa Mungu, na Yesu ni mwanae.
Mnfsssssssss!
Wabaya sana.
Huwezi kujificha wewe .......!!