Who created God? Who made him? Where did he come from?

Who created God? Who made him? Where did he come from?

Mungu akuumbwa na alikuwepo tangu hapo mwanzo ukisoma kipengele hicho huwezi kuuliza mungu ni nani pili ukijua mungu anaishi wapi utamjua mungu katokana na nini?
 
ha ha ha ha ha Dengue inaweza mfanya mtu ajitutumue kuongoza foleni ya chalinze akiwa kimarasuka kadandia Roli.

Kama Yesu ni muweza kwanini aliuwawa Kigaidi kavaa Nepi.Huku Akimlilia Elloiii. Elloiiiii lamatabaksani

kwa akili yako na uwezo wa kufikiri ni sawa na punje ya harage kwenye msitu wa amazon ,kama umeshindwa elewa aliye zaliwa lazima aonje mauti then you think as a dead
 
Last edited by a moderator:
Hawa watu tuko karne ya 21 bado wao wanachinjana tu kwa sababu kabila wasilolipenda lina maskio marefu kuliko la kwao.

Halafu wanakuja hapa kutuleta vi theory vya ku copy na ku paste na kujifanya wao ni wasomi zaidi.

Mfnssssssss!

Pamoja sana mkuu ktk kuelimisha ummah.

Kwenye komedi tu we mzima sana!
 
Yeye ndio maana anaitwa Mungu... Muweza wa Yote... nilishawahi msikiliza Dr.Naik kipindi chake nadhani hata kwenye Youtube ipo kuhusu scientific error in the bible.. Anaongea sana huku akiwa amesahau anayemzungumzia ni nani nilitamani kama ninekuwepo akipata majibu yake murua na angekili kuwa mimi ni kiboko ya waislam wote ulimwenguni
We naye unataka kuleta mada nyingine. God does not make scientific error. Ukianza kukubali suala kama hilo, huwezi kuwa na hoja mwingine akiamua kusema mti ni Mungu. Hivi utamjibu nini? Maana simply atakwambia kumbuka yeye ni Mungu hivyo anaweza kuwa mti. Mungu gani afanye scientific error halafu na wewe unajitahidi kuilazimisha akili yako kumeza bila hata kuchambua.

Mimi nimekutana na atheists kadhaa, wote ni ex-christians (kumbuka ni hao niliokutana nao mimi) na mojawapo ya hoja kubwa wanaoitumia ni kusema kuwa Mungu hawezi kuwa white man on the cross (it just doesn't make sense) na wapo wengi wamemkubali Mungu baada ya kumsoma Mungu wa Qu'ran.

Naungana na mdau hapo juu kuwa mnaosema yesu ni Mungu ndio mnazidi kabisa kuwavuruga hawa atheists. Hata mimi ningepata shida sana kuuamini "supposedly" uungu wa aina ya Yesu.
 
we naye unataka kuleta mada nyingine. God does not make scientific error. Ukianza kukubali suala kama hilo, huwezi kuwa na hoja mwingine akiamua kusema mti ni mungu. Hivi utamjibu nini? Maana simply atakwambia kumbuka yeye ni mungu hivyo anaweza kuwa mti. Mungu gani afanye scientific error halafu na wewe unajitahidi kuilazimisha akili yako kumeza bila hata kuchambua.

Mimi nimekutana na atheists kadhaa, wote ni ex-christians (kumbuka ni hao niliokutana nao mimi) na mojawapo ya hoja kubwa wanaoitumia ni kusema kuwa mungu hawezi kuwa white man on the cross (it just doesn't make sense) na wapo wengi wamemkubali mungu baada ya kumsoma mungu wa qu'ran.

Naungana na mdau hapo juu kuwa mnaosema yesu ni mungu ndio mnazidi kabisa kuwavuruga hawa atheists. Hata mimi ningepata shida sana kuuamini "supposedly" uungu wa aina ya yesu.

Jesus is GOD
 
Simply he is the only Creator, never created but human tend to create god. anything made can not create anything, not even itself.
 
We naye unataka kuleta mada nyingine. God does not make scientific error. Ukianza kukubali suala kama hilo, huwezi kuwa na hoja mwingine akiamua kusema mti ni Mungu. Hivi utamjibu nini? Maana simply atakwambia kumbuka yeye ni Mungu hivyo anaweza kuwa mti. Mungu gani afanye scientific error halafu na wewe unajitahidi kuilazimisha akili yako kumeza bila hata kuchambua.

Mimi nimekutana na atheists kadhaa, wote ni ex-christians (kumbuka ni hao niliokutana nao mimi) na mojawapo ya hoja kubwa wanaoitumia ni kusema kuwa Mungu hawezi kuwa white man on the cross (it just doesn't make sense) na wapo wengi wamemkubali Mungu baada ya kumsoma Mungu wa Qu'ran.

Naungana na mdau hapo juu kuwa mnaosema yesu ni Mungu ndio mnazidi kabisa kuwavuruga hawa atheists. Hata mimi ningepata shida sana kuuamini "supposedly" uungu wa aina ya Yesu.

Aiseeeee .......!!!!!
 
Jesus is GOD
Claiming someone is God does not mean anything whatsoever if they are not. There are so many guys who have claimed to be God, it hasn't made them God.

Ironically, Jesus himself never claimed to be God even once!! I mean it is understandable if you would like for him to be one but he is NOT and wishful thinking does NOT make him one either.
 
Simply he is the only Creator, never created but human tend to create god. anything made can not create anything, not even itself.
Exactly, simple and clear. Just because some people have created gods, it does not mean the true one does not exist.
 
Simply he is the only Creator, never created but human tend to create god. anything made can not create anything, not even itself.

watu kama ninyi ndo thinkers well spoken short and clear sio maneno mengi tena hayana fact ndo wengi wamo humu
 
Claiming someone is God does not mean anything whatsoever if they are not. There are so many guys who have claimed to be God, it hasn't made them God.

And where are they now?
 
You are such an arrogant and stupid piece of work. You do not have a clue whatsoever about me, so stick to the topic. And if you think some things are too heavy for you to bear just resign and keep your silly little brain to its little closed world of physical reality. Apparently you can't even explain simple things.

Piece of work ?? :smile-big: You sound like a teenage girl, By the way your grammar stinks! I cant waste my time with such scumbag.
 
Wewe una ushahidi wa kitu gani?
CC: Ishmael

What is your question? Be specific.

God is the uncreated creator. Something/ someone created can't be God. Prerogative of not being created is what that makes a God, God.

This make no sense whatsoever! If you cannot accept that human beings were not created, how can you accept that a god, wonderful enough to create human beings, came from nothing?!
 
utasoma ila itabidi uamini kuwa kuna maisha yanayoendelea tofauti na yale tuliyonayo witch craft ipo majini yapo ambamo kwamo shetani ametoka malaika nao pia wapo chkua mfano wa uchawi mdogo mazingaombwe (kiini macho) amini tu kupitia vitu kama hvyo najua kwa mtu kama wewe una ufaham mkubwa kuhusu super natural power huwez kuishi vile utakavyo kwa kuamini tu juu ya vinavyoonekana

Unfortunately you have no evidence for your claims, they have to be rubbished! Provide evidence and you will be taken seriously.

nyie mnaomuita yesu mungu ndo mnazidi kuwapoteza hawa ndugu zetu materialist

The word is atheist not materialist. Those are 2 different words.
 
Stop jumping Like A masai,Its seems Logic doesnt exist in You mr material. Madam Karucee Might help you to deliver whats requested.

What PERcentage of a cell is made up of water%%%%.????????????????????????? .........Let me wait and see where will the material shift.

You should also mention any Ancient scholar before 570 Ad who just said(with out prove) or knew that living things were made from Water.

This was common knowledge for thousands of years before 570 AD.

Here are a few of the notable scholars/ body of work and dates.

  1. Ayurverdic medicine—3700 years before Islam. Their work on doshas.
  2. Hippocrates—Most notable—Over 1000 years before islam in the theory of 4 humors. His hippocratic oath is used by doctors to this date.
  3. Aristotle: Over 900 years before Islam
  4. Gelen: 400 years before Islam.
  5. Dioscorides: 500 years before Islam.

There were thousands of doctors that published works on the humors and held the belief that the body was made of water. The quran restates what was common knowledge in that age.

It was only in the 17th century that cell theory was developed. In 1665, using a hitherto unmatched microscope, Robert Hooke discovered the cell.

We now know that the cell is the basic unit of life and that human beings are made up of cells and not water. This is common knowledge that is taught in elementary school biology.

A cell

generalized_cell.jpg
 
We naona hata hujielewi, unasema "wanasayansi" wanajivunia kusema hawajui ili waendeleze utafiti na maarifa zaidi and yet unataka kutuambia kuwa una uhakika Mungu hayupo. Kwa hiyo linapokuja suala la Mungu "wanasayansi" wanageuka ghafla na kujua kila kitu au inakuwaje labda?

You assertion is a steeped in a common logical fallacy, argument from ignorance.

I will repeat, the evidence does not support the existence of a god, and it is with that in mind that I can confidently say there is no god. Provide me evidence of a god and I will be open to that idea.
 
You should do your homework.
One minute you want me to EXPLAIN!
over a sudden you want LINKS and not Explanation!

Make up your mind Mr bling bling scientist!

Until today you DONT KNOW scientific blunders? And you call yourself a learner?

What more I can I say mr gikuyu boy! Heey!?

Are you not capable of discussing any issue without resorting to infantile remarks? Very religious of you!

You are busy copy and pasting things [sic] that you do not understand, explain those so called "blunders" and we can have a conversation. Like I stated earlier, you have a non scientific understanding of science.
 
How mediocre??!!! There is no evidence??!! Are you retarded or what?? You will have to bee too damn stupid not to see the evidence of intelligent creation in all things around us.

By they way, who told you absence of evidence is a proof of non-existence?? What a rookie?

Calm down, stop calling me names and explain/ outline your evidence.


 
Back
Top Bottom