okay huwa sipendi league,ngoja niwasaidie/niwarahisishie maana mmekwama,
Mimi,napinga uwepo wa kitu/mtu ama chochote kile cha namna yoyote ile kisemwacho kwba kipo na kinanguvu ya
ku-govern maisha na kila kinachoendelea ulimwenguni.Nyie mnachokipa sifa zote na nguvu zote.Ambacho hata hivo mmeshindwa mpaka sasa usema ama kuthibitisha kwamba kipo kwa evidences za kuonekana na kuleweke.,Na mara nyingi tunapo hitaji ushahidi wa kuwepo kitu/nguvu hiyo mnaishia kusema kwamba chenyewe hakihitaji ushahidi,sasa iweje mnakielezea kama hakihitaji hata kuchunguzwa??,
NIkisema kitu/nguvu/kiumbe hicho ni UOGA na mnakiumba nyie kutokana na SINTOFAHAMUA,mna sema tunakufuru.,haya nishawafafanulia leteni ushahidi usio na shaka wabuwepobwa kiumbe/nguvu/kitu hicho