Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stop changing the subject, we all know we will die. Why does you "loving" god bring innocent children to this world only to watch them suffer? Why torture innocent beings?
How do you want us to judge him?
This world is not our home my friend, God loves us on his own way. Just follow his commands and you wont suffer on heaven. These are just trials to find out if we r truly patient to leave life he has chosen for us in the world.
Kwanza acha kuwasemea watu wote. Hayo maneno hapo kwenye nyekundu mimi na mkuu wangu MUNGU SI MZUNGU hatujayasema popote kwenye huu uzi.
Pili hapo kwenye bluu, soma tena huu uzi hususani comments zangu na za MUNGU SI MZUNGU. Kuna maswali nimekuuliza kwenye comment yangu namba #261, umekimbia bila kujibu. Tatizo lako husomi ukaelewa, bali unasoma ili ubishane na unaleta ujuaji mwingi na kutafuta kushinda. Kama unatafuta kushinda, unatupotezea muda. Mtu akitoa hoja, soma uelewe halafu ujibu kwa hoja, sio kupindisha pindisha ili ushinde.
Mkuu, hilo jambo la UBISHI kutoka kwa huyo Free ideas nimeligundua muda mrefu sana.
Unampa point, badala ya kuleta valid argument, yeye na twist words ili kuondoa maana ya ile point uliompa.
Na watu kama hwa kujadili nao jambo muhimu km hili ni kupoteza wakati tu!
Nimeendelea kimjibu KWA FAIDA YA WASOMAJI WENGINE TU!
otherwise ningeachana nae muda mirefu.
Na tabia za hawa Atheists zinafanana sana.
Hoja muhimu na za mashiko huwa hawa lkn kupindisha mada na kukuwekea maneno mdomoni ambayo HUJASEMA ni mahodari sana.
At the of the day Someone has to go to Hell. Otherwise IT WONT BE Hell fire.
Where is the justice and equality in this? Where is your "loving" god?
![]()
Mekatilili You are all over the place!Is islam the true religion or is christianity?
Are you here to claim that gods exist or are you here to declare that allah is the true god?
Soma History vizuri utagundua kuwa ADAM ambae alikuwa MTUME WA MWANZO KABISA Aliishi YEYE na Familia yake SRILANKA.
Wahindi kwenye vitabu vyao wameandika kuwa MITUME karibu WATATU wamezaliwa na kuishi kwao.
Kafanye homework kabla ya kuandika vitu mbele ya kadamnasi namna hio.
Labda nikuulize swali Muhimu sana hapa.
Kwa elimu ulionayo JE MITUME ULIOPATA NAFASI YA KUJIFUNZA NI WANGAPI?
(Kuna JUMLA ya MITUME wangapi unao wafahamu wewe)? Wa dini yyt na imani yoyote.
Soma History vizuri utagundua kuwa ADAM ambae alikuwa MTUME WA MWANZO KABISA Aliishi YEYE na Familia yake SRILANKA.
Wahindi kwenye vitabu vyao wameandika kuwa MITUME karibu WATATU wamezaliwa na kuishi kwao.
Kafanye homework kabla ya kuandika vitu mbele ya kadamnasi namna hio.
Labda nikuulize swali Muhimu sana hapa.
Kwa elimu ulionayo JE MITUME ULIOPATA NAFASI YA KUJIFUNZA NI WANGAPI?
(Kuna JUMLA ya MITUME wangapi unao wafahamu wewe)? Wa dini yyt na imani yoyote.
Hauko sahihi,huwa naamini katika kile ninachoandika hapa,huwa sifuati mwingine kaandika nn.Napenda pia mtu aandike yeye kama yeye sio kwa kwa kufuata mkumbo.
Kama sijaelewa swali ama mada lazima niulize nipate uhakika kwanza kabla sijajibu,na hapo ndipo nijuapo nini umemaanisha ndo nikujibu.,wakati mwingine najibu kwa maswali kwa kuwa hoja /maswali mengine huwa nimeshayajibu pia.
ubishi mnaunzisha nyie mnapotaka nijibu maswal ambayo ni wajibu wenu kujibu
Hapa unaibua udhaifu mwingine wa kile mbachokiami,kumbe Adam aliishi SRILANKA?,,Kumbe unatambua umuhimu wa kusoma vitabu mbalimbali!,
sasa nakushaur na wewe kasome vitabu mbalimbali (sio vya dini tu),ambavo vimeandikwa enzi sawa n vitabu vya dini,utajifunza kitu.
Kutokana na hii post yako, Nikiendelea kujadili na wewe hatutapata muafaka,maana unavitabu vya dini tu kichwan.Ambavo vinakulimit katika mawazo ya kidini dini tu na uoga na hofu kuu.Jaribu kupata maarifa katika vitabu vingine vikongwe.kisha utapata kitu
Jesus is not God but he is the Messiah and for us Christians we believe He is the son of (GOD), who was send to redeem the human kind. So don't confuse btn God and Jesus.
We kijana usikose nidhamu ya kuni judge mimi.
Kwa ufahamu kazi niifanyayo mimi ni kusaidia kuokoa maisha ya wanadamu. ( take a wild guess).
Na sina haja ya kukwambia hili ili nijikweze kwako kwa sababu sipati faida yyt.
Wewe hunijui wala mimi sikujui.
Unaposema kichwa changu kimejaa udini Unakosa adabu ya mjadala na utasababisha watu wavunjiane heshima hapa.
Na hii pia ni moja ya tabia ya wale wanaijifanya wanajua kumbe hawajui.
Si wewe uliyesema Mitume wote wametoka Mashariki ya kati.
Sasa mimi kukukosoa imekuwa kichwa changu kimejaa udini.
Nilidhani najadili na muungwana kumbe huna maana yyt.
Siku njema.
Ndugu soma biblia vema na uelewe Yesu ni Mungu hilo halina upinza waache wabwatebwate ila atabaki kuwa Mungu tu..hakuna binadamu hawezae kubadilisha hili hata siku moja..!!
Ndugu soma biblia vema na uelewe Yesu ni Mungu hilo halina upinza waache wabwatebwate ila atabaki kuwa Mungu tu..hakuna binadamu hawezae kubadilisha hili hata siku moja..!!
sasa hapa wakristo wamekukosea nini? si uwaache na ubabaishaji wao?
wapo pia wanaoamini mungu ameumbwa na binadamu na wapo pia wanaoamini uislamu ni dini ya shetani, sasa kwa nini wewe ujione bora unachoamini kuliko wengine?
na usisahamu wapo wanaoamini kwamba dini ni uongo na ulaghai unaoelekea kupitwa na wakati.
akili za kiccm zimeharibu ubongo wako hadi umeoza.
why do you judge a creator you fool
This world is not our home my friend, God loves us on his own way. Just follow his commands and you wont suffer on heaven. These are just trials to find out if we r truly patient to leave life he has chosen for us in the world.
Mekatilili You are all over the place!
I am struggling to understand your points here.!
Do you REJECT the Existence of GOD because you think HE IS NOT JUSTICE!? or because According to urself there is evidence for that.
Secondly, why do you care if those who call themselves BELIEVERS whether they worship ALLAH. or NOT!
What is that got to do with an ATHEIST? ?
Open up! So we can understand your arguments! Cause to be honest I DO NOT understand you at all.
Mkuu huyu kilaza mi nimeamua kumpotezea. Maswali anashindwa kujibu, badala yake anaibua ibua mambo na kuwajazia watu maneno kinywani.Hapo juu umeiliza swali la mitume MIMI NIMEKUPA JIBU.
Nimekuuliza swali wewe, lkn naona kama ilivyo kawaida yako unakwepa kwa kuleta maneno mengi.
Nakuuliza tena.
Kwa elimu ulionaoyo UNAWEZA KUNIPA IDADI YA MITUME UNAOWAFAHAMU WEWE!?
Manake hapo juu Umesema kuwa MITUME WOTE WAMETOKA MASHARIKI YA KATI.
NASUBIRI JIBU. sio stori