Kwanza acha kuwasemea watu wote. Hayo maneno hapo kwenye nyekundu mimi na mkuu wangu MUNGU SI MZUNGU hatujayasema popote kwenye huu uzi.okay huwa sipendi league,ngoja niwasaidie/niwarahisishie maana mmekwama,
Mimi,napinga uwepo wa kitu/mtu ama chochote kile cha namna yoyote ile kisemwacho kwba kipo na kinanguvu ya
ku-govern maisha na kila kinachoendelea ulimwenguni.Nyie mnachokipa sifa zote na nguvu zote.Ambacho hata hivo mmeshindwa mpaka sasa usema ama kuthibitisha kwamba kipo kwa evidences za kuonekana na kuleweke.,Na mara nyingi tunapo hitaji ushahidi wa kuwepo kitu/nguvu hiyo mnaishia kusema kwamba chenyewe hakihitaji ushahidi,sasa iweje mnakielezea kama hakihitaji hata kuchunguzwa??,
NIkisema kitu/nguvu/kiumbe hicho ni UOGA na mnakiumba nyie kutokana na SINTOFAHAMUA,mna sema tunakufuru.,haya nishawafafanulia leteni ushahidi usio na shaka wabuwepobwa kiumbe/nguvu/kitu hicho
Pili hapo kwenye bluu, soma tena huu uzi hususani comments zangu na za MUNGU SI MZUNGU. Kuna maswali nimekuuliza kwenye comment yangu namba #261, umekimbia bila kujibu. Tatizo lako husomi ukaelewa, bali unasoma ili ubishane na unaleta ujuaji mwingi na kutafuta kushinda. Kama unatafuta kushinda, unatupotezea muda. Mtu akitoa hoja, soma uelewe halafu ujibu kwa hoja, sio kupindisha pindisha ili ushinde.