Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Kujiuliza kama kuna Mungu sio kosaLkn ktk issue ya Mungu ni kuvuka mipaka mkuu ni kumkufuru haituhitaji sisi kumjadili unachotaka kujua ni kuwa yeye mwanzo na mwisho. Si zaidi ya hapo labda ugeukie sayansi na hitimisho lao lakuwa hakuna Mungu.
Kumtafuta Mungu sio kosa
Lakini wake ambao wanajiuliza maswali na kisha kukosa majibu bila kuzingatia kuwa hayo maswali wamejiuliza wao ambao huo uwezo wao wa kufikiri una umkomo halafu wakakosa majibu na kukosa kwao majibu wanahitimisha kuwa Mungu hayupo huo ndio ujing.a kuliko ujinga mwingine wowote!