Akilibandia
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 477
- 636
Ngumu kumeza mkuu,napia mpaka leo sijaelewa kosa kubwa alilolifanya shetani mpaka huyu mungu wanaemnadi kwamba anaupendo kupitiliza kushindwa kumsamehe na kumuhukumu adhabu ya milele bila hata kumpa mda wa kutubu au kusubiri ka ataomba msamaha.Swali la nyongeza: Ikiwa alitumia udongo kumuumba mtu, je alitumia material yepi kuumba udonga na maji?
Kama kila kitu lazima kiumbwe, yeye mwenyewe alitoka wapi?
Unataka ajadiliwe kwa akili tulizopewa na nani?na nani kakwambia akili zangu kanipa mungu?kivipi?Pale binadamu anapomjadili mungu kwa kutumia akili zake alizopewa na mungu
Ur question is as absurd as asking that `from what is darkness made of?'always am a Winner said:Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
Tatizo lilitokea tangu binadamu wa kwanza, hakuwaambia wenzake namna alivyotokea kwa kuwaUwepo wa ulimwengu mwanzo wake ni kuongopeana tu, kisayansi inakataa na hiyo ya kiimani ndio kabisaaa inagoma kuwezekana,kilichopo ni kuongopeana tu na kama upo kwenye mtihani we jaza tu ulivyofundishwa ili ufahuru mtihani.
Unafikiri mungu hakujua kama binadamu watakuja kujiuliza maswali kama haya baadaeBinadamu tunazidi kuwa na maswali magumu sana, hapa hata Mungu kama kweli yupo basi lazima akune kichwa!! Who created nothingness?? Kabla ya nothingness kulikuwa na nini??
Uwepo wa ulimwengu mwanzo wake ni kuongopeana tu, kisayansi inakataa na hiyo ya kiimani ndio kabisaaa inagoma kuwezekana,kilichopo ni kuongopeana tu na kama upo kwenye mtihani we jaza tu ulivyofundishwa ili ufahuru mtihani.
Swali la nyongeza: Ikiwa alitumia udongo kumuumba mtu, je alitumia material yepi kuumba udonga na maji?
Kama kila kitu lazima kiumbwe, yeye mwenyewe alitoka wapi?
Ngumu kumeza mkuu,napia mpaka leo sijaelewa kosa kubwa alilolifanya shetani mpaka huyu mungu wanaemnadi kwamba anaupendo kupitiliza kushindwa kumsamehe na kumuhukumu adhabu ya milele bila hata kumpa mda wa kutubu au kusubiri ka ataomba msamaha.
Aliyekufundisha wewe kuwa Mungu ni roho ni nani kama sio binadamu ???Hizi ndio akili za kibinadamu, hapa ndio umefika mwisho Wa kufikiri kwako.
Mungu hachunguziki Kwa sayansi
Mungu hachunguziki Kwa akili za kibinadamu. Hata uwe na digrii ngapi. Hata uwe na PHD.
MUNGU NI ROHO
Shetan Alipewa muda wa kutubu kama miaka 4000 lakini hakutubu na sisi pia muda wetu ni huu baada ya hapa hakuna msamahaNgumu kumeza mkuu,napia mpaka leo sijaelewa kosa kubwa alilolifanya shetani mpaka huyu mungu wanaemnadi kwamba anaupendo kupitiliza kushindwa kumsamehe na kumuhukumu adhabu ya milele bila hata kumpa mda wa kutubu au kusubiri ka ataomba msamaha.
Have you ever heard of initial singularity?.
The verb create means to cause the existence of a new thing.
Nothingness means no-creation.
So your question --Who created "Nothing''?--is nonsensical.
Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na nini?
3. Mungu alikuwa wapi wakati anaumba Nothingness? Au nothngness haikuumbwa?
4. Kama nothingness haikuumbwa, kumbe kuna vitu Mungu alivikuta?
5. Au labda Nothingness ni sehemu mojawapo ya Mungu. Kwa maana ya kuwa haina mwanzo wala mwisho?
Kisayansi hakuna kitu kama Nothingness.hata Kwenye vacuum kuna particles zinaitwa ions.hizi ions zinajitengeneza na kupotea haraka Mno,ila zinaweza kuwa detected na machine.kwa hiyo kama nothing haipo swali linakosa Msingi wa kusimama.
Hii inatokea pia mkuu, mtoto kuwakana wazazi wake waliomzaa, so usishangae tulipofikia kama wanadamu,Pale binadamu anapomjadili mungu kwa kutumia akili zake alizopewa na mungu