Who created ''Nothingness''? and before Nothingness, what was there?

Who created ''Nothingness''? and before Nothingness, what was there?

Swali la nyongeza: Ikiwa alitumia udongo kumuumba mtu, je alitumia material yepi kuumba udonga na maji?
Kama kila kitu lazima kiumbwe, yeye mwenyewe alitoka wapi?
Ngumu kumeza mkuu,napia mpaka leo sijaelewa kosa kubwa alilolifanya shetani mpaka huyu mungu wanaemnadi kwamba anaupendo kupitiliza kushindwa kumsamehe na kumuhukumu adhabu ya milele bila hata kumpa mda wa kutubu au kusubiri ka ataomba msamaha.
 
Pale binadamu anapomjadili mungu kwa kutumia akili zake alizopewa na mungu
 
always am a Winner said:
Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
Ur question is as absurd as asking that `from what is darkness made of?'

Darkness is not a material to be created,it is simply a state of very small amount or utter devoid of visible light

Likewise,nothingness is sheer absence of material

Thus,it is illogical to ask `who created it'
 
hata upate hekima vipi huwezi kuongeza urefu wa uchwele wako, uumbaji ni yeye pekee mungu !!
 
Uwepo wa ulimwengu mwanzo wake ni kuongopeana tu, kisayansi inakataa na hiyo ya kiimani ndio kabisaaa inagoma kuwezekana,kilichopo ni kuongopeana tu na kama upo kwenye mtihani we jaza tu ulivyofundishwa ili ufahuru mtihani.
Tatizo lilitokea tangu binadamu wa kwanza, hakuwaambia wenzake namna alivyotokea kwa kuwa
1. Unapokua mtoto, hujui ulipoanzia hadi mtu aliekutangulia akwambie, na kama aliambiwa basi nae alikua msiri na
2. Alikua na uhakika wa kuishi milele, hakujua kuna kuzeeka na kufa, hivyo binadamu waliofuata hawakujua wameanzaje, ndipo hapo walipoanza kutafuta majibu hadi leo hakuna anayejua hilo na hakuna atakaejua.
 
Binadamu tunazidi kuwa na maswali magumu sana, hapa hata Mungu kama kweli yupo basi lazima akune kichwa!! Who created nothingness?? Kabla ya nothingness kulikuwa na nini??
Unafikiri mungu hakujua kama binadamu watakuja kujiuliza maswali kama haya baadae
 
Uwepo wa ulimwengu mwanzo wake ni kuongopeana tu, kisayansi inakataa na hiyo ya kiimani ndio kabisaaa inagoma kuwezekana,kilichopo ni kuongopeana tu na kama upo kwenye mtihani we jaza tu ulivyofundishwa ili ufahuru mtihani.

Hizi ndio akili za kibinadamu, hapa ndio umefika mwisho Wa kufikiri kwako.
Mungu hachunguziki Kwa sayansi
Mungu hachunguziki Kwa akili za kibinadamu. Hata uwe na digrii ngapi. Hata uwe na PHD.

MUNGU NI ROHO
 
Swali la nyongeza: Ikiwa alitumia udongo kumuumba mtu, je alitumia material yepi kuumba udonga na maji?
Kama kila kitu lazima kiumbwe, yeye mwenyewe alitoka wapi?

Hivi unajua kosa la shetani ni kosa kubwa sana!
Hivi hujui Hata hapa duniani kupindua serikali ni kosa la jinai na hukumu Yake ni kifo?

Mungu ni mwenye haki, na hukumu Yake ni ya haki. Mungu hamwonei mtu. Kama wew sasa umepewa muda Wa kutubu na kuachana na dhambi lakini hutaki kuokoka.
Je siku ya hukumu ikifika utasema MUNGU anakuonea?
Na ulishapewa mda?
Ngumu kumeza mkuu,napia mpaka leo sijaelewa kosa kubwa alilolifanya shetani mpaka huyu mungu wanaemnadi kwamba anaupendo kupitiliza kushindwa kumsamehe na kumuhukumu adhabu ya milele bila hata kumpa mda wa kutubu au kusubiri ka ataomba msamaha.
 
Hizi ndio akili za kibinadamu, hapa ndio umefika mwisho Wa kufikiri kwako.
Mungu hachunguziki Kwa sayansi
Mungu hachunguziki Kwa akili za kibinadamu. Hata uwe na digrii ngapi. Hata uwe na PHD.

MUNGU NI ROHO
Aliyekufundisha wewe kuwa Mungu ni roho ni nani kama sio binadamu ???
 
Ngumu kumeza mkuu,napia mpaka leo sijaelewa kosa kubwa alilolifanya shetani mpaka huyu mungu wanaemnadi kwamba anaupendo kupitiliza kushindwa kumsamehe na kumuhukumu adhabu ya milele bila hata kumpa mda wa kutubu au kusubiri ka ataomba msamaha.
Shetan Alipewa muda wa kutubu kama miaka 4000 lakini hakutubu na sisi pia muda wetu ni huu baada ya hapa hakuna msamaha
 
.
The verb create means to cause the existence of a new thing.
Nothingness means no-creation.
So your question --Who created "Nothing''?--is nonsensical.
Have you ever heard of initial singularity?
 
Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na nini?
3. Mungu alikuwa wapi wakati anaumba Nothingness? Au nothngness haikuumbwa?
4. Kama nothingness haikuumbwa, kumbe kuna vitu Mungu alivikuta?
5. Au labda Nothingness ni sehemu mojawapo ya Mungu. Kwa maana ya kuwa haina mwanzo wala mwisho?

Kwanza hiyo 'nothingness' ina exist? Yaani features zake ni zipi yaani ina form gani na nature yake ikoje? Na kama ina exist, je ni kwenye minds za watu au nje ya minds za watu; yaani given au constructed?

Kuna huyu Prof. alijaribu kushughulika na hiyo kitu inaitwa 'nothing' kwa kusema 'something from nothing' ila yeye alii-define ya kwake, sasa sijui ya kwako ikoje.

Kisayansi hakuna kitu kama Nothingness.hata Kwenye vacuum kuna particles zinaitwa ions.hizi ions zinajitengeneza na kupotea haraka Mno,ila zinaweza kuwa detected na machine.kwa hiyo kama nothing haipo swali linakosa Msingi wa kusimama.

Kuna Facts kwenye Post hii nimezinote:
1.kwenye Vacuum kwa macho wote tunajua ni kutupu lakini Ions exist in there
2.Ions zinajitengeneza na kupotea haraka
3.Good news ni Mwamba, Ions can be detected

Is somebody seeing something on those facts above there????
 
Pale binadamu anapomjadili mungu kwa kutumia akili zake alizopewa na mungu
Hii inatokea pia mkuu, mtoto kuwakana wazazi wake waliomzaa, so usishangae tulipofikia kama wanadamu,

Wa mwishi ndio mshindi.

Mungu atusamehe wanadamu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom