Akilibandia
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 477
- 636
Ngumu kumeza mkuu,napia mpaka leo sijaelewa kosa kubwa alilolifanya shetani mpaka huyu mungu wanaemnadi kwamba anaupendo kupitiliza kushindwa kumsamehe na kumuhukumu adhabu ya milele bila hata kumpa mda wa kutubu au kusubiri ka ataomba msamaha.Swali la nyongeza: Ikiwa alitumia udongo kumuumba mtu, je alitumia material yepi kuumba udonga na maji?
Kama kila kitu lazima kiumbwe, yeye mwenyewe alitoka wapi?