Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Hahahaha maisha yafaa nini bila pombeπππWalevi wote peponi.....
Ameeen....Hahahaha maisha yafaa nini bila pombeπππ
Nipo kwenye battle la kuacha soda.Na sasa kuna janga lingine kubwa la soda na energy drinks.
Kutunza afya kunahitaji umakini sana.
Nyeto na pombe zinaonewa mno sijui kwa niniPombe inaonewa sana.
HakikaKila kitu kwa kiasi
substiute na juice kidogo kidogoNipo kwenye battle la kuacha soda.
Za Bakhersa au za home made?substiute na juice kidogo kidogo
za home made,Za Bakhersa au za home made?
Huku niliko wanaita pombe'(Chaklaa) Chakula!Kwa mujibu wa Ripoti ya mwaka 2019 ya Shirika la Afya Duniani (WHO), matumizi ya pombe, hata kwa viwango vidogo, yanaweza kuleta madhara ya kiafya, lakini madhara makubwa zaidi yanatokana na unywaji wa kupitiliza, wa mara kwa mara na kwa kiasi kikubwa.
Pia, takwimu hizo zinaonyesha kuwa duniani kote, vifo milioni 2.6 vilihusishwa na unywaji wa pombe, ambapo milioni 2 vilikuwa ni kwa wanaume na milioni 0.6 kwa wanawake.
Aidha, takwimu kutoka Ourworldindata.com zinaonesha kuwa kufikia mwaka 2019, Tanzania ilikuwa nchi ya 28 duniani na ya 3 barani Afrika kwa kiwango cha matumizi ya pombe.
Mpe kileo aliye taabuni,akasahau tabu yake.Ni kweli ila kila mtu aishi maisha yake aseee
Kabisa mkuu, janga la vinywaji vikali kama double kick n.k litatugharimu tusipokuwa makini.Na sasa kuna janga lingine kubwa la soda na energy drinks.
Kutunza afya kunahitaji umakini sana.
Hahaha mbaya zaidi wanaokunywa vyoda ndio wana hizo tabuπ π π π πMpe kileo aliye taabuni,akasahau tabu yake.