Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Naona hapo Tz ya tatu kwa ulevi Afrika, nimeshangaa tumeipitaje South Africa
By the way vijana walevi nguvu za ujana zisiwapumbaze
Kuna age mkifika ndio mtaelewa madhara ya alcohol mwilini
Prof Jay anaelewa sana hili
By the way vijana walevi nguvu za ujana zisiwapumbaze
Kuna age mkifika ndio mtaelewa madhara ya alcohol mwilini
Prof Jay anaelewa sana hili