Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hizo ni sumu sio pombe mkuu.Kabisa mkuu, janga la vinywaji vikali kama double kick n.k litatugharimu tusipokuwa makini.
Dah!.... hatari sana, kasi ya unywaji wake inatisha.Hizo ni sumu sio pombe mkuu.
Kabisa mkuu, janga la vinywaji vikali kama double kick n.k litatugharimu tusipokuwa makini.
Wanapiga msosi kama wakimbizi!Hahaha mbaya zaidi wanaokunywa vyoda ndio wana hizo tabu😅😅😅😅😅
Hahaha mbaya zaidi wanaokunywa vyoda ndio wana hizo tabu😅😅😅😅😅
Acha tufe mkuu ,wauza mageneza nao wapeleke watoto shule.Dah!.... hatari sana, kasi ya unywaji wake inatisha.
Manundu yasio na sababu!Naona hapo Tz ya tatu kwa ulevi Afrika, nimeshangaa tumeipitaje South Africa
By the way vijana walevi nguvu za ujana zisiwapumbaze
Kuna age mkifika ndio mtaelewa madhara ya alcohol mwilini
Prof Jay anaelewa sana hili
Tena wanauliza alikuwa mfupi au mrefu!(Marehemu).Acha tufe mkuu ,wauza mageneza nao wapeleke watoto shule.
Soda nazo ni Binti wa danger!Empirically wazee walevi wenye over 70s ni wengi zaidi kuliko vijana wanywa soda
Ngoja tulewe tu boss😁Tena wanauliza alikuwa mfupi au mrefu!(Marehemu).
Mi nikilewa sijui usiku Wala mchana!Ngoja tulewe tu boss😁
Acha pombe mara moja mkuu, wala usitafute mchawi ni nani 😆Mi nikilewa sijui usiku Wala mchana!
Siwezi acha Pepsi baridi aisee,hata ashuke yesu leoNipo kwenye battle la kuacha soda.
Huwa Natacha maokoto yakikosekana mfuko,shida ni pale pochi limetuna!,Koo linaanza kupumua Wakati Nina moyoAcha pombe mara moja mkuu, wala usitafute mchawi ni nani 😆
Hahahaha ila tu kunywa pombe safi mkuu😅Huwa Natacha maokoto yakikosekana mfuko,shida ni pale pochi limetuna!,Koo linaanza kupumua Wakati Nina moyo
Subiria kisukari,utakutana na prof:Janabi!Siwezi acha Pepsi baridi aisee,hata ashuke yesu leo
Matangazo ya Kondom yanaoneshaga wateja wao katika matumizi?Hivi mbona matangazo ya pombe hawaonyeshagi wateja wao hall ya mtu baada ya kutumia bidhaa zao anakuwaje ?.
Yani wao wanaoneshaga watu Wana shangweka tu.
Wewe utaishi milele? Au miaka 80 ijayo utakuwepo hai duniani??Subiria kisukari,utakutana na prof:Janabi!