WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

Kwanini usione China ndiyo walio tengeneza na kushindwa kukidhibiti kirusi maabara maana kwajinsi walivyo Pambana ni kama alikijua vizuri na mgunduzi wa kwanza wa kirusi walimnyamazi7sha kwa kumfunga na kisha alikufa kwa Corona baadaye kwa madai ya
Wewe hizo habari ulizipata kutoka kwenye reliable source gani, hilo la kwanza - la pili ilikuwaje ugonjwa huu ukahibukia mji ambao Wanajeshi wa Merikani walikwenda kufanya mashindano ya michezo ya wanajeshi, idadi ya wanajeshi kutoka USA walifikia 300, cha ajabu hakuna mwanajeshi hata mmoja kuoja Merikani aliye shinda medali hata moja - badala yake wanajeshi hao walionekana kila jioni roam aimlessly kwenye soko la Huwan nk - baada ya mwezi mmoja kupita tangu wanajeshi hao kuondoka katika mji wa Huwan na kurudi kwao,mji wa Huwan ukakumbwa kwa ugonjwa wa COVID-19!!

Wachina walijua kilicho kuwa kinaendekea nyuma ya pazia, ndio maana Serikali ya China ilipigana juu Chini kuhakikisha ugonjwa huu hausambai kwenye majimbo mengine nchini China, na walifanikiwa kuudhibiti, kinyume na matarajio ya Uncle SAM.

Baadae kabisa baadhi ya wana sayansi wakatilia shaka madai ya USA kuhusu raia wake waliokufa kutokana na Serikali ya Amerika ilivyo dai kwamba raia wa Taifa hilo walikufa kutokana na ugonjwa wa mafua makali, baada ya kufukua baadhi ya maiti na kuzifanyia uchunguzi wa kina zikagundurika walikufa kutokana na COVID-19 na sio mafua makali, sasa hiyo inaleta picha gani? Ina maana ugonjwa huu ulijitokeza USA kabla ya Uchina, ukawa exported Uchina na wanajeshi wa US for hidden agenda za kutaka kuzorotesha Uchumi wa China na kuuwa rasili mali watu wengi iwezekanavyo, wala hili halina kificho.

Juzi hapa nilisoma chapisho fulani ambalo madaktari wa Italy na Spain wanadai kwamba ugonjwa huo unaonekana uliingia katika Mataifa hayo mapema zaidi kabla ya kuikumba China, na ukiangalia Italy na Spain watu walikufa kwa wingi sana sana compared to other Nation, inaelekea virus vilivyo kumba Italy na Spain vilikuwa more virulent kuliko nchi nyingine, but why? Je, wana sayansi walitengeneza variat tofauti na kuzieneza kwenye nchi lengwa kama trial run ili waangalie ni strain ipi ambayo ni kali zaidi ili baadae ienezwe kwenye Mataifa lengwa,wana sayansi uwezo huo wanao sana.

Labda nikumbushe kwamba we are not being overly paranoid kuhusu jinsi WHO inavyo deal na suala la kubabiriana na ugonjwa wa KOVID, ukweli unabaki kwamba baadhi ya watu weupe lengo lao ni hatarishi ie hawatutakii Dunia ya tatu mema , watu wengine wata argue all night long wakijaribu kuwatetea using lame excuses na kutuona sisi hatuna shukrani kwa misaada ya chanjo na madawa yanayo letwa nchini kutoka Merikani na Ulaya kwa ajili ya watoto wetu - wakumbuke kwamba saula la ku-deal na Korona ni tofauti kabisa - makampuni makubwa ya kutengeneza madawa na chanjo yakiongozwa na kampuni ya Pfizer wameji zatiti kupiga hela ndefu sana kupitia WHO na World Bank wanata kuzibebesha nchi masikini mzigo mkubwa wa madeni ya World Bank, ndio maana WHO haitaki kushirikisha makampuni ya kutengeneza dawa na chanjo kutoka Uchina na Urusi.
 
UDSM wamepoteza five key staffs kwa siku chache halafu unaropoka
 
Punguzeni ujinga.
Watoto wenu wanapozaliwa leo hupewa chanjo za TB. Msiwe mnapokea kila linalosemwa kwenye majukwaa. Kuna zaidi ya chanjo 6 kwenye kliniki za mama na Mtoto kwenye kila kituo cha matibabu hapa Tanzania, huwa mnahoji ufanisi wake?
Tuliwahi kubuni chanjo zetu wenyewe?
Je, zilizopo zimewadhuru Waafrika?
Mbona dawa za kupunguza makali ya Ukimwi mnazitumia kwa fujo? Mlizitengeneza nyie?
Tafakarini mnayoelezwa na Wanasiasa.
Kuna watu wanatafuta namna ya kukwepa gharama za ununuzi wa chanjo kwa kucheza kamari ya maisha ya Watanzania.

Hizi chanjo mkipewa bure hao wanaowapotosha kwenye majukwaa watakuwa wa kwanza kuziomba.. Kinachoendelea sasa ni kujaribu kukwepa gharama tu. Hakuna zaidi..lkn kibaya zaidi ni maisha ya watu kuwekwa hatarini.
 
Sasa mbona chanjo nyingine kama vile chanjo ya kifaduru,tetekuanga,small pox,polio na nyingine nyingi tunatumia miaka nenda rudi?Hizi haziui?Hizi hazisababishi uzombi?
 
Yaani kila mfuasi wa Magu akiandika jambo linaishia na yeye kuonekana hamnazo na mbulula. Why?
Au ndio kumaanisha kuwa waungaji mkono wa Sera za Magu wana IQ ndogo ya kuchanganua mambo ndio maana hata mambo ya Magu yalivyo ya hovyo hawayatambui?
 
Bahati mbaya kwa katiba tulio nayo . Rais anaingilia mfumo wa ajira za wataalamu. Yaani yuko juu ya sheria .
Ndiyo maana hao ma Dr's na ma Professor's wamekuwa kwenye team ya kusifu na kuabudu, ili kulinda mikate yao.

Odhis *
 
Wewe kachomwe hiyo kinga matakoni na wakuchukue kipimo Mata**ni
 
Wewe ndiyo huna kitu kichwani . Wewe unayepinga na DEMOCRACY !!. Una hoja gani sasa ya kuijadili ?!

Odhis *
 
Kuna taifa africa limelipwa pesa ndefu ili kukubali mambo ya corona na litakalokuwa taifa la kwanza africa mashariki kupokea chanjo
 
Si tutengeneze za kwetu ?!.

Akili gani tunaicrash maabara yetu na kutaka kurudia ujima ?!

Odhis *
 
Sasa mbona chanjo nyingine kama vile chanjo ya kifaduru,tetekuanga,small pox,polio na nyingine nyingi tunatumia miaka nenda rudi?Hizi haziui?Hizi hazisababishi uzombi?
Bro..hizo zote ni no sumu tamu...zinatuua na kutumaliza taratibu...hujiuliz..wazee wetu huko mbona walikuwa wanadunda fresh tu..na hakukuwa na haya machanjo..!? Walikuwa wakiumwa wanajitambikia..ama kula mizizi na wanadunda miaka mia..toka kuja kuanza kutumia hizo makitu..plus kurutubisha machakula..makansa..yamekuwa mengi plus na magonjwa mengine ya kishenzi..

Amka bro
 
Si tutengeneze za kwetu ?!.

Akili gani tunaicrash maabara yetu na kutaka kurudia ujima ?!

Odhis *
Bro..sisi tuko na madawa ya kutibu..haya dunia hawataki maana yanaharibu soko la madawa ya kufubasha ugonjwa na hayo machanjo...leo hii kisukari Kuna dawa za asili ulitumia unapona kabisa..lakn mzingu yeye anakuletea mavidonge ya kusaidia kuishi na sio kuiona..so you see...kumbe kupitia machanjo yao..yametudumaza na kuona ya kwamba sisi bila wao si kitu..wamezibrush akili zetu na mitazamo yetu kwa kitufanya tuwe dhaifu kwenye kufikiria kupitia chanjo zao..wametufanya tuwe dahifu kimwili na kiakili kupitia chanzoz zao..
 
Mzee sawa..pana hoja..je wazee wetu waliweza kusurvaival vipi wakati wao..je ni kwamba magonjwa hayo hayakuwepo!? Na kama yalikuwepo walikuwa kila wanpozaliana walikuwa wanajikinga vipi wao na watoto wao!?

Vitu vingine ni simple logic tu..wala haihitaji kuumiza akili...leo hii almost ya wanafunzi wa chuo.plus na watu walioajifiwa..hawana akili za kuresons jambo dogo tu la kawaida..simple because there so called chanjo...
 
Chanjo ya polio imemuua au kumuathiri nani?
 
Wewe ndiyo huna kitu kichwani . Wewe unayepinga na DEMOCRACY !!. Una hoja gani sasa ya kuijadili ?!

Odhis *
Lila nchi inademokras yake..na Kuna namna ya kuzitekeleza ..shida inakuja pale sisi waafrika tunataka demokrasia ya marekan..kitu ambacho hakiwezekani...by the way demokrasia wakat mwingine naona Kama kichaka tu cha kutupandikizia majizi kwenye ngazi za maamuzi ya nchi...
 
TB inachanjo jamani inaitwa BCG na moja ya chanjo 9 zinazopewa watoto.Malaria chanjo imefanyiwa trials nyingi na soon itaanza.Acheni kupotosha jamii
 
Chanjo ya polio imemuua au kumuathiri nani?
Babu zako walikusimulia kuwa walichanjwa hiyo chanjo!? Waliishi ama walikufa..!?

Boss,..narudia tena chanjo zote za wazungu ni sumu tamu ambayo madhara yake ni long process, inaweza kuua ama kukufubasha akili na mwili...
 
Babu zako walikusimulia kuwa walichanjwa hiyo chanjo!? Waliishi ama walikufa..!?

Boss,..narudia tena chanjo zote za wazungu ni sumu tamu ambayo madhara yake ni long process, inaweza kuua ama kukufubasha akili na mwili...
Haya unayoongea hayana ushahidi.Kisicho na ushahidi ni porojo za hapa na pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…