WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

Kama kawaida yao walikaa wakajifungia wakaangalia projections ya ukuaji wa uchumi wao wakaona mchina anawatimulia vumbi kila walichokuwa wanamtishia anacho na vingine anavyo vya ziada yaani ana mtaji wa rasilimali watu,

Iko hivi walipoona viashiria vyote vya Ufalme wa China kwenye uchumi wa Dunia walijipanga kumdhibiti mchina kwa kumharibia taswira yake kiuchumi ndio maana wanajeshi wa Marekani wakishirikiana kwa karibu na Taasisi za kijasusi za Marekani walifanikiwa kuisambaza Corona iliyorutubishwa China

Mapema sana baada ya kuusambaza WHO ilishinikizwa itoe maelekezo ya kuiblock China na kuitangaza kwa mitazamo hasi

China kupitia kampuni yake ya HUAWEI ilisaidia majasusi wa kichina kuujua mpango kamili, China wakamuita Mkurugenzi mkuu WHO wakampanga mapema kabla ya Trump hajailazimisha WHO kuiblock China
.
Mkurugenzi WHO walikuwa na kiburi cha kutofuata maagizo ya marekani kwa sababu aliahidiwa murungura maradufu
.
Haya mambo sisi Waafrika tuko kwenye mkumbo tu lkn wababe wanaogombania Ufalme wa Dunia ndio wanaopigana kuhakisha kwamba wanzimana waendelee kutawala
..
Weee ni mpumbavu uliyetukuka kutoka kwa maccm
 
Unafikiri hata huyo mchina akiupata ufalme wewe utafaidika nini ?
Mchina mwenyewe ---- kama hao wngine tu
Ufalme utafute wewe kama wewe

Ova
Amejaribu kutoa ya moyoni. Naona unamshambulia bila kosa. Kwani ameisifu China au kuilaumu USA? Kama hujui cha kuongea kaa kimya tu.
 
Kama kawaida yao walikaa wakajifungia wakaangalia projections ya ukuaji wa uchumi wao wakaona mchina anawatimulia vumbi kila walichokuwa wanamtishia anacho na vingine anavyo vya ziada yaani ana mtaji wa rasilimali watu,

Iko hivi walipoona viashiria vyote vya Ufalme wa China kwenye uchumi wa Dunia walijipanga kumdhibiti mchina kwa kumharibia taswira yake kiuchumi ndio maana wanajeshi wa Marekani wakishirikiana kwa karibu na Taasisi za kijasusi za Marekani walifanikiwa kuisambaza Corona iliyorutubishwa China

Mapema sana baada ya kuusambaza WHO ilishinikizwa itoe maelekezo ya kuiblock China na kuitangaza kwa mitazamo hasi

China kupitia kampuni yake ya HUAWEI ilisaidia majasusi wa kichina kuujua mpango kamili, China wakamuita Mkurugenzi mkuu WHO wakampanga mapema kabla ya Trump hajailazimisha WHO kuiblock China
.
Mkurugenzi WHO walikuwa na kiburi cha kutofuata maagizo ya marekani kwa sababu aliahidiwa murungura maradufu
.
Haya mambo sisi Waafrika tuko kwenye mkumbo tu lkn wababe wanaogombania Ufalme wa Dunia ndio wanaopigana kuhakisha kwamba wanzimana waendelee kutawala
..
Kwanini usione China ndiyo walio tengeneza na kushindwa kukidhibiti kirusi maabara maana kwajinsi walivyo Pambana ni kama alikijua vizuri na mgunduzi wa kwanza wa kirusi walimnyamazisha kwa kumfunga na kisha alikufa kwa Corona baadaye kwa madai ya
 
Tuondolee upumbavu wako. Umezaliwa umechoma chanjo kibao, watoto wako wamechoma chanjo. Kama kutuuwa wazungu wangeshatuliza, tuache ufiki wa enzi za ujima
Jifunze kuangalia zama kwa zama wakati kwa wakati Awake ngoja waje sasa wakuletee kifaa ya kupunguza uwezo wa hiyo melanin unayoringa nayo uone cha moto
 
Kama kawaida yao walikaa wakajifungia wakaangalia projections ya ukuaji wa uchumi wao wakaona mchina anawatimulia vumbi kila walichokuwa wanamtishia anacho na vingine anavyo vya ziada yaani ana mtaji wa rasilimali watu,

Iko hivi walipoona viashiria vyote vya Ufalme wa China kwenye uchumi wa Dunia walijipanga kumdhibiti mchina kwa kumharibia taswira yake kiuchumi ndio maana wanajeshi wa Marekani wakishirikiana kwa karibu na Taasisi za kijasusi za Marekani walifanikiwa kuisambaza Corona iliyorutubishwa China

Mapema sana baada ya kuusambaza WHO ilishinikizwa itoe maelekezo ya kuiblock China na kuitangaza kwa mitazamo hasi

China kupitia kampuni yake ya HUAWEI ilisaidia majasusi wa kichina kuujua mpango kamili, China wakamuita Mkurugenzi mkuu WHO wakampanga mapema kabla ya Trump hajailazimisha WHO kuiblock China
.
Mkurugenzi WHO walikuwa na kiburi cha kutofuata maagizo ya marekani kwa sababu aliahidiwa murungura maradufu
.
Haya mambo sisi Waafrika tuko kwenye mkumbo tu lkn wababe wanaogombania Ufalme wa Dunia ndio wanaopigana kuhakisha kwamba wanzimana waendelee kutawala
..
Crap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona imekuwa ni kisingizio cha mambo mengi sana hasa katika eneo ninaloishi mtu akifariki tu fufunu zinazotokea hapo ni corona hiyo kumbe mtu unakuta alikuwa na maradhi yake ya muda mrefu tu yaliyokuwa yanatafuta ignition point ili kukamilisha utaratibu wake wizara ya afya itusaidie kwani death rate imeongezeka na pia nafikiri endapo takwimu za death rate na birth rate zingekuwa zinafuatiliwa kikamilifu kusingelikuwa na hata haja ya kufanya sensa
 
Hivi JF moods mmekuaje? Mnataka kuwanya hii platform kama FB yani. Kisa ni nyuzi yenye maono ya kimagufuli mnaona sawa. Zile zenye ukweli na opposire to magufuli's view about covid nyinyi mnafuta tu.
 
Hapo alipo si ajabu hata mi ARVs ya hao hao jamaa anafakamia...

Madawa karibu yote patents za mzungu...

Kama Waafrika hatutaki hizi vurugu basi tutengenezeni chanjo na madawa yetu wenyewe kama tunaweza...na silaha. Kama Korea ya Kaskazini. Vinginevyo tutaendelea kuwa shithole tu. Eti tunalalamika mzungu anataka kutumaliza kupitia chanjo ya Korona wakati chanjo na madawa kibao ya mzungu huyo huyo tunafakamia. Tunachekesha sana!
Lazima tujifunze kila kitu kinafanyika kwa wakati gani endapo zoezi la HIV lingefanikiwa kwa jinsi walivyodhamiria ARV huenda zisingetengenezwa
 
Kidogo una point lakini ni katika mkumbo uleule wa conspiracy theories
 
Lazima tujifunze kila kitu kinafanyika kwa wakati gani
Kweli [emoji51][emoji51][emoji51]
JamiiForums1208496090.jpg
 
Back
Top Bottom