WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

Halafu Malaria ni ugonjwa unao associate na uchafu tu ,tuonfoe mazalia ya mbu ndio kinga kubwa ya malaria
 
TB inachanjo jamani inaitwa BCG na moja ya chanjo 9 zinazopewa watoto.Malaria chanjo imefanyiwa trials nyingi na soon itaanza.Acheni kupotosha jamii
Mkuu upopo..hoja sio impact ya Sasa ya hizo chanjo..hayo machanjo madhara yake yanaweza Kuja kuonekana miaka 15 ama 29 ijayo..pale mtoto wako wa kumzaa..anapogeuka kuwa litoto la ajabu..now days Kuna watoto wa kiume wengi ni mashoga kwa hisia kabisa..mabinti wengi ni wagumba...simple kwa ajili ya hayo machanjo...hapo bado jinsi yalivyofubaisha akili za watoto na jamii zai
 
Haya unayoongea hayana ushahidi.Kisicho na ushahidi ni porojo za hapa na pale.
Ushahidi uko..Ila unajifanya hutaki kuuona..nimekuuliza wazee wako walipozaliwa walikula chanjo Gani mzee..!? Na kuongezea tu angalia namna wazee wa kizaman walivyokuwa na weledi na ufanisi katika kazi zao...unakuta kijana wa zaman anaweza kureasons jambo na kuibua hoja nzito..lakini kijana aliyepakiwa hii michanjo huo uwezo hana..
 
Kwani umejuaje kuwa kijana wa kileo anashindwa kureason vizuri kwa sababu alichanjwa chanjo na siyo kutokana na sababu nyingine?
 
Hoja zako hazina mashiko . Hawa tulionao ndiyo siyo wezi ?!. Nani kakudanganya ?

Democracy ya kweli haina mbadala si uchifu , dictatorship, u communist wala democracy ya kuiga nusu nusu kama Tanzania . Ukandamizaji wa mtu moja au wa chama kimoja, Hauwezi kuitoa nchi mrisi "AMINI USIAMINI"

Odhis *
 
Sitaongeza neno
 
We jamaa wa ajabu kweli. Sodoma na Gomora watu walikuwa mashoga na mabasha ni kwa sababu za chanjo ?!. Huo ni ulemavu kama ulemavu mwingine .

Odhis *
 
😂😂😂🙈🙈🙈
 
We kama unataka chanjo utabong'oa uchokonolewe mwenyewe. Mimi NEVER over my dead body!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hoja mfu.... Muulize Magu juu ya ile dawa ya madagascar, je Africa wamezuiwa kufanya tafiti za magonjwa? Kwann kuona unahujumiwa? Amkeni nyie alamba miguu

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 

Ni aibu sana mpaka leo hamjui TB tayari ina chanjo!
 
The vaccine, known as Bacillus Calmette-Guérin (BCG), was developed between1908 and 1921 and is administered to more than 100 million children around the world every year. In the U.S., it is FDA-approved as a drug to treat bladder cancer and as a vaccine for people at high risk of contracting TB.Nov
 
Sijakataa tamaa Mkuu, na vitabu vya nyerere nimevisoma na ni kweli KABISA, Nyerere aliadopt itikadi hii ya kijamaa na kujitegemea kutoka Russia, China na Cuba

Ilitufaa kwa wakati ule, lakini je stagnation yake imesababishwa na nini? Wazungu?
 
Kwani umejuaje kuwa kijana wa kileo anashindwa kureason vizuri kwa sababu alichanjwa chanjo na siyo kutokana na sababu nyingine?
Simple..ukimchukua Mzee wa zaman ..haswa huko vijijini..anauwwzo wa kukudadavulia jambo kuliko Hawa watoto wa siku hivi wa chanjo..Kuna yale Mambo ya kawaida kabisa ambayo hayahitaji elimu hata ya msingi..hao wazee pamoja na age yao kwenda anaweza akukoa reasons nzuri kuliko kijana aliyesoma mpaka chuo kikuu
 
Hawa tulio nao ..ni wezi waliopandikizwa na so called demokrasia..sio wa ccm wala chadema wote wezi..wako kwa maslahi ya mama demokrasia ( nchi za ulaya na marekan)
 
Sijakataa tamaa Mkuu, na vitabu vya nyerere nimevisoma na ni kweli KABISA, Nyerere aliadopt itikadi hii ya kijamaa na kujitegemea kutoka Russia, China na Cuba

Ilitufaa kwa wakati ule, lakini je stagnation yake imesababishwa na nini? Wazungu?
Yes..wazungu..wamechangia sisi kufika hapa.
 
Kuna sababu nyingi zinazofanya wazee wa kijijini kuwa vizuri kuliko hawa vijana wa sasa hivi kama vile lishe wanazokula,mazoezi wanayofanya kutokana na kazi wanazofanya,kuwa na depression kidogo na kadhalika tofauti na vijana hawapati vitu kama hivyo.
 
We jamaa wa ajabu kweli. Sodoma na Gomora watu walikuwa mashoga na mabasha ni kwa sababu za chanjo ?!. Huo ni ulemavu kama ulemavu mwingine .

Odhis *
Naona unaamua kujitoa ufaham Ili tuendelee mjadala hapa..Hali ukweli wa mambo unaujua...sitataka Sana kukutafunia..zaidi Sana hizo chanjo zikija..na zilizopo we endelea kuzipata tu...kwani mwisho wa siku kufa tutakuwa wote ..Ila kama tutaishi tutaishi maisha tofauti Sana...wakti wewe ukitegemea mpaka mzungu akuletee dawa na chanjo..plus kukuharibia uzazi..sie tutakuwa kuwasaidia matomaso Kama nyie..kwa vizazi vyetu..
 
Nimelike kabisaa...Ila kuongezea na hayo machanjo hawakuwahi kuyapata..ndio maana wanakuwa na akili zao za kuzaliwa( natural brain with high IQ)...wanaugua magonjwa haya ya kisasa eg makansa nk..kwa sababu ya machakula ya siku hizi yanaenda kuwaathiri kinga zao n.k...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…