WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

Soma vizuri kuhusu ufanisi wa BCG yaani ufanisi unapungua kulingana na eneo la kijiografia unaambiwa kuwa BCG ufanisi wake kwa nchi za kiikweta ni 20% kimsingi ni chanjo ya Magumashi tu
 
Chanjo ya BCG imetengenezwa kusaidia tu wazungu efficiency yake kwa ngozi yetu ni 20% tu
 
Chanjo ya BCG imetengenezwa kusaidia tu wazungu efficiency yake kwa ngozi yetu ni 20% tu
Wewe mwehu. Wazungu anatomy na physiologie yao ni tofauti na yetu ?Blood cells zao ni tofauti na zetu. Actually BCG imesaidia sana kwetu. TB ni chache ukilinganisha na before chanjo.
 
Soma vizuri kuhusu ufanisi wa BCG yaani ufanisi unapungua kulingana na eneo la kijiografia unaambiwa kuwa BCG ufanisi wake kwa nchi za kiikweta ni 20% kimsingi ni chanjo ya Magumashi tu
Ndo mtengeneze zenye kufunction kwa asilimia mnazotaka nyinyi...otherwize hamna option zaidi ya kurely kwenye hyo hata yenye asilimia chache. Still kama hamuezi kutengeneza chanjo... basi isibezwe iliyokuweko maana inasaidia hata watu 2 kati ya 10 sio sawa na 0. Fikiria isingekuweko kabisa ingekuwaje?
 
Wewe mwehu. Wazungu anatomy na physiologie yao ni tofauti na yetu ?Blood cells zao ni tofauti na zetu. Actually BCG imesaidia sana kwetu. TB ni chache ukilinganisha na before chanjo.
Waafrica kama kawaida yetu...unabeza kilichopo wkt wewe uwezo wa kutengeneza hiyo itakayofunction unavyotaka wewe huwezi. Yaaani sisi ni debe tupu as always. Waache basi kwenda kuchanja waone mziki wake. Kwanza hyo TB ina dawa na mtu akimeza inaacha kuambukiza...na hizo watu wasinywe hlf walete mrejesho.
 
Ndugu hapo ulipo umeshachomwa chanjo ya ndui, kifua kikuu na kama ushawahi kutoka nje ya nchi basi na ya homa ya manjano, kama mtoto wa juzi kati jumlisha ya pneumonia, sasa wameongeza na ya homa ya ini. Huyo huyo mzungu ndo kaleta na ukachanjwa... kelele tu hizi unapiga hapa.
 
Acha chuki kwa anayekupa dawa za Ukimwi na kukujengea vyoo blaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani nimejiuliza kwenye ARV.Hivi ARV zisingekuwepo hao hao wanaowabeza watengenezaji wengi tungekuwa tushawazika. Unamkuta mtu anapiga kelele beberu beberu,huku anakula ARV kila siku iliyotengenezwa na mzungu.
 
Kwa hiyo hujui kuwa chanjo ya TB unachomwa ukiwa mtoto au? Na hujui kuwa chanjo ya malaria ipo inafanyiwa majaribio tena hapa Tz huko ifakara majaribio yanaendelea....hebu tafuteni facts kwanza kabla ya kuropoka au hujui kuwa BCG vaccine unayochomwa ukiwa mtt ni ya TB
 
 
Kwan Why do people get TB?
 
Acha chuki kwa anayekupa dawa za Ukimwi na kukujengea vyoo blaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hatari kuruhusu mtu akulawiti eti tu kwa sababu huwa anakupa sabuni ya kuogea. Ukiwa na akili timamu utasema NOOOOO!
 
Swala la Africa kupewa vaccine sio kwa mapenzi ya wazungu kwetu; ni WHO ndio walio fight wakati research zinaanza tu kutaka chanjo zikipatikana nchi maskini nazo zisaidiwe sio chanjo zote zinunuliwe na nchi tajiri.

Hakuna popote nilipofanya corona politics. Mimi ninakataa double standards (na motives) za WHO na maagents wao katika kutengeneza mazingira kuonekana kwamba waafrika tunahitaji vaccine ya corona wakati huo huo hiyo vaccination tunaambiwa tutaipata baadaye sana. Ni bahati tu kwamba hata hiyo vaccination hatuihitaji (maana tayari miili yetu ilishajenga herd immunity tangi corona version 1), lakini kama kweli maisha ya waafrika yangekuwa na thamani kiasi hicho WHO ingepigia kelele kuwepo na usawa kwa aina ya vaccine ya corona wanayopaswa kuchanjwa watu wote. Si tunaishi dunia moja? Na kupambana na kirusi cha aina moja?

Na kama kisingizio kitakuwa sijui economics za nchi husika, na storage requirements za vaccinne, basi hiyo ndiyo ikuonyeshe kwamba kila nchi itapambana na corona kwa style yake kutokana na mazingira yake. Tangu siku ya kwanza tulisema kwamba corona tutapambana nayo the African way, nyie mnataka kutulazimishia tupambane nayo kwa namna wazungu wanavyotaka. Kwani kuna shida yoyote mpaka sasa kwa namna tulivyopambana nayo?

So point yangu inabaki. Vaccine siyo kipaumbele chetu katika kupambana na corona. Na kama itabidi tutafute vaccine, itabidi tuitafute kwa terms zetu sio zile tunazolazimishiwa. Vaccine za China hazina uwazi? Wao (wachina) wamechanjwa na vaccine kutoka wapi? Na kama unatilia shaka sayansi ya China mangapi made in China unayatumia kila siku?

Ukoloni wa mzungu kwa mwafrika ulimfanya kitu kibaya sana asee!
 
WHO ni nani? Sisi hatumo? Kama tumo tunafanya kazi gani? Na ninii mchango wetu humo na kwanini tusijitoe kama tunasmini WHO ni ya wazungu, mbona Trump alijitoa alipoona wazungu wanamzingua!
 
Kwan sisi watu weusi tumezuiwa kutengeneza chanjo? au cc hatuna akili tu? kwan chanjo nyingine kama ndui na polio tumetengeneza sisi? kwanini chanjo za malaria tusitengeneze wenyewe kama tuna uwezo!? Tulichokosa sisi ni kutengeneza mfumo wetu wa elimu kwa manufaa yetu na ndo maana kila siku tunabaki kulaumu wazungu.hata kama wakitengeneza chanjo ya covid kwao ikafanya kazi na kwetu ikafeli tutakufa tu na tutawalaumu wazungu kwa kushindwa kututengenezea chanjo,cha msingi Afrika lazima tubadilike tubadili na mfumo wetu wa elimu ili tuendane na kas ya dunia badala ya kutumia coppy ya elimu tuliyoachiwa na wazungu!!
 
Acheni mkuu ,kujitoa hufaham wajibuje Mambo ambayo yapo kinadhalia zaidi,mfano jpm awe anauliza watahalam,wenda kasoma iyo biochemistry ,ila sio kila kitu kinaapply in single situation, je yeye Kama mkuu wa nchi anajua mpaka mda huu ipo chanjo ya hiv ipo kwenye majaribio tena hapa tz,? ? Na haikuanza leo au kaamua ongea so far ana mamlaka ya juu, ipo na aelewe ipo and most of people in some region have been engaged with this vaccination for there own concert, why anabeza Mambo ya msingi
Mzee kachemka pale na hakuna wa kumjibu kwa hoja nyepesi Kama zile,bali watu wanamshangaa, na majirani,watendaji wake wanamshangaa japo kumwabia wenda wanaogopa,
So kupitia waziri wake wa afya ,wakatafute mafaili hapo wizarani Kama hawatakutana na fail la mmoja ya mashirika yanayofanya utafiti wa Hiv hapa tz ,na sio ya leo
Alafu mtu Kama wewe unakuja na utetezi wa ajabu hapa,
 
Wala siyo kwamba hatuwezi kutengeneza chanjo zetu na wala si kwamba hatuna akili. Tatizo kubwa ni ukoloni, na miaka ile ilikuwa ni ukoloni wa kutawala kimabavu moja kwa moja ila kwa zama hizi ni ukoloni wa kutumia mifumo. Njia za ukoloni ni tofauti ila matokeo ni yale yale. Kazi kubwa ya mkoloni ni kuhakikisha kwamba anaondoa ile hali ya kujiamini na kujithamini kwa yule anayemtawala. Kwa ukoloni wa sasa hivi mifumo kama WHO, IMF n.k inahakikisha inatengeneza mazingira uone kile unachokifanya nje ya mifumo yake hakina uhalali wala hakina matunda. Na ndicho tunachojaribu kupandikiziwa ili tuwasubiri wao, tufanye yao na tuwasikilize wao tu.

Mtu yeyote huru au nchi yoyote huru haiwezi kusubiri WHO anasema nini. Wanafanya mambo yao. Kuna mtu mmoja hapo juu kauliza eti WHO ni akina nani kama si nchi zote? Mi nimebaki kumshangaa maana wakati mifumo hii inaanzishwa baadhi ya nchi zilikuwa hata hazipo ikiwemo na nchi yetu. Sasa mifumo wajitengenezee wao, wewe upachikwe tu na kulazimishiwa halafu useme huo mfumo upo kwa interests zako? Unaweza usijitoe lakini unaweza pia kukubali uhalisia kuwa ile mifumo ilitengenezwa kulinda maslahi ya wenye nguvu. Kama kuna kifaida tunakipata kwa kuwemo WHO au IMF au whatever, kuna faida kubwa wanaipata wale wenye hisa kubwa katika mifumo hiyo.
 
Hata kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamanei amepiga marufuku chanjo za korona, tena ametoa mifano dhahiri shairi jinsi kampuni moja ya Ufaransa ilivyosambaza ukimwi kwenye nchi moja kupitia kitu inaitwa 'chanjo'. Amedai hana imani na chanjo ya wazungu wa magharibi.

Ngozi nyeusi ni watu ambao kwa kiasi fulani wana 'laana ya asaili' hawataki kufikiri nje ya box kabisa. hawajiulizi kama kuna chanjo ya korona kwanini kwao bado wanaugua?? Je wanawapenda sana weusi?
Mi naona serikali iruhusu hiyo chanjo, na ianze kwa wanaoitaka lakini isiwe lazima.. nadhani watu watajifunza kwa vitendo.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Waafrika ndio wanaongoza kwa vifo Vya TB na na
JARIBU KUUSHUGHULISHA UBONGO WAKO BINAFSI KABLA YA KUUNGANA NA WENDAWAZIMU WENGINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…