Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

Susuviri:

Hapa unaboronga. Kutunga kitabu ukiwa ndani ya ofisi tayari unaingiza interests zako katika shughuli za serikali.

Viongozi uliotaja wewe hapo juu wametunga vitabu. Guess what? Wametunga vitabu baada ya kuachia ngazi.

Mao Tse Tung alitunga vitabu wakati akiwa Chairman lakini mapato yanaingia kwa taifa na sio familia yake.

Ukifanya ufumbuzi katika kazi ya Phd au Masters, mmiliki ni shule na sio wewe.

Sasa kama Nyerere alitunga kitabu akiwa ofisini na kwa kupata access iliyotokana na cheo chake, mapato ya utunzi wake, hotuba zake na vinginevyo ni mali ya taifa (period).
Zakumi,
For your information, hela zote za royalty alizopata Mwalimu kwa vitabu alivyoviandika akiwa rais zilikwenda TANU.
 
Mheshimiwa Zakumi, bila dira ya kule tuendako, kwa hakika hata ile hatua tupigazo ni za kuzunguka pale tulipo.
This is a very serious issue, na sikubaliani kabisa kuwa inabidi uwe msomi wa kupidukia ndio upate dira.Ndio wasomi watasaidia kujaza details za utekelezaji wa dira hiyo.
Kwa mfano,mtu unapooa unategemea watu muwe wengi kenye nyumba hivyo basi, mzee wa nyumba ni jukumu lake kutengeneza dira ya kukidhi matakwa ya kuwa baada ya miaka kadhaa mtakapopata watoto, inabidi kufanya kazi kwa bidii au biashara ili kumudu maisha na kusomesha watoto na pengine ingalau ziada ya maendeleo ya baadaye.Huu ni mfano mdogo tu tena wa maisha ya kila siku.
Dira ni mpango tu wa kimaisha na kisiasa yenye details nyingi sana,.
Kinachohitajika ni kuwa na mpango na kuwa committed kwa mpango hua wa kimaisha na kisiasa.Hili ndo linakosekana.
Kwa kukosa hilo kila kiongozi ana mipango yake ya kibinafsi, anayetaka kutawala tu haya, anyetaka kuiba/kufisadi haya, miiko ya kimaisha/kiutawala hakuna.
Hivi tutapata kigugumizi kikubwa sana kudhibiti matukio yasiyo tarajiwa katika jamii.Kwa mfano siyo bure kuwa:
mapigano kati ya wakulima na wafugaji yanaongezeka, wakati wafugaji wanaruhusiwa kuzurura na mifugo yao nchi nzima,
-kuna viongozi wanajitwalia mali ya umma/au kutumia madaraka vibaya kupindukia bila uongozi kustukia jambo hili mpaka wananchi wanapoanza kulalama
-mwongozo wa kiuchumi/viwanda kutokuwa na strategy zinazolenga maendeleo ya wananchi,

The list is endless!

Mheshimiwa Zakumi,birthday celebrations for its sake haileti maana sana bila kujua kule utakako na kule uelekeako , hasa kwa chama cha siasa.

Lole Gwakisa:

Ningeweza kuzungumza mengi sana kuhusu dira lakini nitakuwa ninatoka nje ya mada.

Dira na detail unazoziweka kwenye dira hizo ni commitments ambazo tayari zitafanya kile unachofanya kuwa static.

Maendeleo ya jamii katika dunia ya sasa iliyo very fluid, very dynamic, almost chaotic, huwezi ku-impose static solution (dira).

Mifano ya kutumia mzee wa nyumba kuelezea complex and dynamic system ya maendeleo ni kutowajibika.

Mzee wa nyumba is pretty much static system. Anaelewa routines zake, tabia zake, kipato chake na kurahisisha maisha analazimisha hata wale wanaomtegemea kufuata maneno yake, kile anachoamini au kuabudu na mambo mengine ambayo yeye anaona ni muhimu katika maisha yake.

Tunapokuja katika jamii, mchezo unabadilika. Kila mtu ana mawazo yake na matarajio na mtazamo wake. Na vilevile watu hawa wanaathirika na mazingira yao na ya dunia nzima (dynamic systems). Hivyo sioni kuwa kama dira zinatakuwa na manufaa yoyote yale.

Kinachotakiwa ni kuwa na system ya utawala itako-address matatizo ya nchi yaliopo na vilevile kukubali mabadiliko ya kidunia na kijamii. Na hayo yanaweza kupatikana kama demokrasi itafuatwa na kuruhusu vyama vya kisiasa kuingia madarakani kutekeleza ajenda zao na inapotokea skando au chama kushindwa basi wengine wapewe.

Kwa maneno mengine chama au mtu akishindwa au akipata skendo asipoteze muda kwenye damage control na PR, aachie ngazi na wengine walete vipya. Overtime kutakuwa na programs za muda mfupi nyingi zilizotatua matatizo mengi ya wananchi. Hizi programs zitakuwa na faida kubwa kuliko kuwa na dira moja yenye kutekelezwa kwa muda mrefu.
 
Zakumi,
For your information, hela zote za royalty alizopata Mwalimu kwa vitabu alivyoviandika akiwa rais zilikwenda TANU.

Jasusi:

Sasa TANU ni serikali? Au inabidi tuchague kati ya haya mawili. Kuna nchi yenye vyama vya siasa na kuna vyama vya kisiasa vyenye nchi.
 
Jasusi:

Sasa TANU ni serikali? Au inabidi tuchague kati ya haya mawili. Kuna nchi yenye vyama vya siasa na kuna vyama vya kisiasa vyenye nchi.

Zakumi,
I can understand why TANU. Siku za mwanzo wa harakati za kupigania ukombozi chama cha TANU kilimfadhili Mwalimu kwa hali na mali. So it makes sense kwamba ukiwa katika nafasi ya kujiweza unawakumbuka waliokufadhili when you had nothing. Pia kumbukua wakati huo tulikuwa na chama kimoja tu.
 
Lole Gwakisa:
Dira na detail unazoziweka kwenye dira hizo ni commitments ambazo tayari zitafanya kile unachofanya kuwa static.

Maendeleo ya jamii katika dunia ya sasa iliyo very fluid, very dynamic, almost chaotic, huwezi ku-impose static solution (dira).

Mifano ya kutumia mzee wa nyumba kuelezea complex and dynamic system ya maendeleo ni kutowajibika.

Mzee wa nyumba is pretty much static system. Anaelewa routines zake, tabia zake, kipato chake na kurahisisha maisha analazimisha hata wale wanaomtegemea kufuata maneno yake, kile anachoamini au kuabudu na mambo mengine ambayo yeye anaona ni muhimu katika maisha yake.

Tunapokuja katika jamii, mchezo unabadilika. Kila mtu ana mawazo yake na matarajio na mtazamo wake. Na vilevile watu hawa wanaathirika na mazingira yao na ya dunia nzima (dynamic systems). Hivyo sioni kuwa kama dira zinatakuwa na manufaa yoyote yale.

Kinachotakiwa ni kuwa na system ya utawala itako-address matatizo ya nchi yaliopo na vilevile kukubali mabadiliko ya kidunia na kijamii. Na hayo yanaweza kupatikana kama demokrasi itafuatwa na kuruhusu vyama vya kisiasa kuingia madarakani kutekeleza ajenda zao na inapotokea skando au chama kushindwa basi wengine wapewe.

This is getting to be an interesting exchange, Mr Zakumi.Bila dira ya kule uendako bado itaendelea kuwa kikwazo.Naona dynamism unayoongelea is more of big steps around common everyday problems katika context ya jamii ya wa Tanzania.
Nashindwa kuelewa jinsi unavyoiweka dira kuwa a static phenomenon.
Mmarekani aliposema anakwenda mwezini all spheres of research, commerce, economy hata national pride ikawa involved.
Mrusi alipoiweka dira hiyo hiyo halikadhalika mambo yakapamba moto katika fani zote za kijeshi elimu sayansi na hata heshima ya taifa.
Dira hizi zimewekwa kama benchmarks kwa kila taifa kujiwekea na zinapofanikiwa milestones are made.
Hata sisi kewtu tuliweka dira mbalimbali ambazo ingawaje milestones hatukuzipata , tulijaribu.Kumbuka maji kwa wote,kisomo cha watu wazima,elimu ya msingi kwa watoto wote hizi ni dira in a positive way.Utekelezaji wote ni kitu kingine.Sasa utaendaje kutatua kero za watu tena walio wengi bila kupata dira.
Tume fanya exchange hii ya dira kwa kuwa mzee Ruksa ameongelea mabo ya kupekechwa kwa Ujamaa na "kunguni" .Lakini dira iliyomo katika ujamaa bado haijapata mbadala. Na ndio maana nilisema ni rahisi zaidi ku criticise kuliko kutayarisha philosophy nyingine itakayotuongoza kule tunako taka kwenda.
 
Lole gwasika,
Na ndio maana nilisema ni rahisi zaidi ku criticise kuliko kutayarisha philosophy nyingine itakayotuongoza kule tunako taka kwenda.

Mkuu hapa umesema na ndio ugonvi wangu mkubwa na viongozi pamoja na serikali yetu..
 
Jambo la kusikitisha ni kuwa tunasema wakoloni walikuja kutuibia takadai uhuru wetu sasa hawa wazalendo wenzetu hawatufisidi tu bali wanafanya kufuru.Tunasema hao watawala wetu wa kijadi pengine tuwasamehe hawakuwa na elimu ya kudeal na wakoloni walipokuja sasa hawa wazalendo wenzetu wana elimu na wanatuibia left and right.wanawatumia hao hao wazungu kutumaliza hata kujitetea wenyewe tunashindwa na wazungu wanatuonyesha wezi wetu i don't know kama tunawaogopa ama ni culture yetu toka kwa baba wa taifa kuwaachia.

SAHIBA.
 
Sahiba,
Baba wataifa alituasa tuache madini ardhini mpaka Watanzania tutakapokuwa tayari na uwezo wa kuyachimba wenyewe. Mheshimiwa Mwungana na wenzake wakajiona wajanja zaidi wakaenda kumtafuta Sinclair na kumpa 100% ownership ya madini yote. Sasa hiyo ni culture gani aliyowaachia baba wa taifa? Baba wa taifa alituachia misingi mizuri. Tunaibomoa wenyewe.
 
Misingi what ? Are you kidding Jasusi ? inaelekea wewe ule uchawi wa kile kifimbo ulikupata anyway misingi ya mwalimu ndiyo inayotuhunt down hadi leo.CCM ya mwalimu ndiyo inayotumaliza hadi leo.elimu ya upe ya mwalimu ndiyo inayotufanya tuwaogope wakenya na kiinglish chao kibovu.Amka kaka Jasusi wakati hauruhusu lets review our mistakes and make the right move.

SAHIBA.
 
Misingi what ? Are you kidding me Jasusi ? misingi ya mwalimu si ndio hiyo inayotuhunt hadi leo.CCM ya mwalimu si ndio hiyo inayotutafuna wazimawazima,na elimu ya upe si ndiyo hiyo inayotufanya tuwaogope wakenya na broken english yao.open your eyes Jasusi don't listen to what they use to tell you.zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM.

SAHIBA.
 
This is getting to be an interesting exchange, Mr Zakumi.Bila dira ya kule uendako bado itaendelea kuwa kikwazo.Naona dynamism unayoongelea is more of big steps around common everyday problems katika context ya jamii ya wa Tanzania.
Nashindwa kuelewa jinsi unavyoiweka dira kuwa a static phenomenon.
Mmarekani aliposema anakwenda mwezini all spheres of research, commerce, economy hata national pride ikawa involved.
Mrusi alipoiweka dira hiyo hiyo halikadhalika mambo yakapamba moto katika fani zote za kijeshi elimu sayansi na hata heshima ya taifa.
Dira hizi zimewekwa kama benchmarks kwa kila taifa kujiwekea na zinapofanikiwa milestones are made.
Hata sisi kewtu tuliweka dira mbalimbali ambazo ingawaje milestones hatukuzipata , tulijaribu.Kumbuka maji kwa wote,kisomo cha watu wazima,elimu ya msingi kwa watoto wote hizi ni dira in a positive way.Utekelezaji wote ni kitu kingine.Sasa utaendaje kutatua kero za watu tena walio wengi bila kupata dira.
Tume fanya exchange hii ya dira kwa kuwa mzee Ruksa ameongelea mabo ya kupekechwa kwa Ujamaa na "kunguni" .Lakini dira iliyomo katika ujamaa bado haijapata mbadala. Na ndio maana nilisema ni rahisi zaidi ku criticise kuliko kutayarisha philosophy nyingine itakayotuongoza kule tunako taka kwenda.

Naona Jasusi anakupa pongezi kwa sababu bado anakumbuka miaka ya zamani.

Dira inakuwa na architect. Na kwa bahati mbaya The Architect akiwa kwenye madaraka, atajaribu kufuta dira hiyo Literary. Lakini wakati anafuata dira, mambo yatakuwa yanabadilika. Lakini kwa sababu yeye ndie kinara na anaamini mipango yake itakuwa vigumu kubadilika. Na hii ndio sababu kubwa watu wamekaa madarakani kwa muda mrefu kwa kufikiri kuwa one day mambo yatakuwa mazuri.

Katika post yangu ya mwisho niliongelea static na dynamic. Vitu static na ambavyo unajua behaviour zake utakuwa na routines zinazoeleweka ya jinsi ya kuzifanya.

Vitu ambavyo ni very fluid, very dynamic, almost chaotic ni vigumu kuwa na routines zake. Lakini ukiwa na resources za kutosha na expertise, hata vitu ambavyo chaotic unaweza kuvi-control na kuvifanya kuwa statics.

Tukija kwa mifano uliyotoa. Wamarekani na warusi tayari walikuwa na knowledge na resources za kwenda Mwezini. Hivyo enterprise nzima ya kwenda Mwezini ilikuwa manageable. Au kwa maneno mengine, vitu ambavyo ni complex walivifanya vionekane kuwa rahisi sana.

Tukirudi kwenye programs za Tanzania: elimu ya watu wazima, maji, shule na vitu vingine ulivyovitaja vilitegemea sana misaada, mikopo na grants kutoka kwa wahisani na mabenki. Pamoja na hayo hatukuwa na expertise.

Mpango wa kufungua shule na kuwapeleka shule watu ni vitu simple na vinavyowezekana iwapo utakuwa na resources za kufanya hivyo. Lakini unapofungua mashule na mashule hayo yakategemea karatasi za bure kutoka Sweden na malipo ya waalimu kutoka kwa wahisani, tayari utakuwa ume-introduce dynamic variables katika mpango wako. Wahisani wakikataa kutoa pesa au makaratasi ya bure, tayari mpango mzima wa elimu unakuwa umeporomoka.
 
Lole gwasika,

Mkuu hapa umesema na ndio ugonvi wangu mkubwa na viongozi pamoja na serikali yetu..

Hii sasa ni CHERRY PICKING. Posti zima una-copy mstari unaotaka wewe. Anyway, Philosophy iliyokuwepo haikuja kujibu matatizo ya watanzania. Ilikuwepo kwa sababu dunia ilikuwa imegawanyika katika kambi mbili na sisi tulitaka kuwa na alternative yetu.

Mataifa mengi madogo yalijaribu kutafuta alternatives zao. Hivyo nchi kuwa na philosophy ilikuwa ni fashion trend tu, nothing more.
 
Sahiba,
Baba wataifa alituasa tuache madini ardhini mpaka Watanzania tutakapokuwa tayari na uwezo wa kuyachimba wenyewe. Mheshimiwa Mwungana na wenzake wakajiona wajanja zaidi wakaenda kumtafuta Sinclair na kumpa 100% ownership ya madini yote. Sasa hiyo ni culture gani aliyowaachia baba wa taifa? Baba wa taifa alituachia misingi mizuri. Tunaibomoa wenyewe.

Hapo baba wa taifa alichemsha. Wakati huo nchi ilikuwa na watu 12 Millioni na angefanya mambo mengi tu kwa watu.

Sasa tunachimba nchi ikiwa na watu 40 Millioni.
 
Hapo baba wa taifa alichemsha. Wakati huo nchi ilikuwa na watu 12 Millioni na angefanya mambo mengi tu kwa watu.

Sasa tunachimba nchi ikiwa na watu 40 Millioni.

Zakumi,
Wakati huo uwezo huo hatukuwa nao. Na nadiriki kusema kuwa hata sasa uwezo huo hatuna. Lakini kitu ambacho tungefanya tofauti na ilivyo hivi sasa, tungeshikilia tuwe na angalau asilimia 49%-51% badala ya kumwachia mchimbaji achukue asilimia zote na kutuachia sisi malipo ya asilimia tatu tu. Tungejifunza kutoka kwa wenzetu pale Botswana. Hata hatuna oversight yoyote katika uchimbaji huo na hakuna mfanyi biashara atakayekwambia ukweli juu ya mapato yake.
 
Ndio maana nasema ni afadhari Nyerere angefanyia kazi kipindi kile. Kwa sababu sasa hivi ni give away au buy one get one free. Hivyo exersice nzima ya kusubiri haina maana.
 
Kumbuka Aboud Jumbe alitafunwa na Seif Sharif(kibaraka wa Nyerere wakati ule) kwa uroho wa madaraka alitegemea kuwa Rais,Sasa serikali itakwenda vipi wakati waziri kiongozi wako is there to destroy you.

SAHIBA.

Kwanza weka Historia sawa. Wakati ule Sefu alikuwa CCM kwenye Sektarieti moja ya chama hakuwa tena Waziri, alikwishakumbwa na hilo panga panga la Jumbe.
 
Ndio maana nasema ni afadhari Nyerere angefanyia kazi kipindi kile. Kwa sababu sasa hivi ni give away au buy one get one free. Hivyo exersice nzima ya kusubiri haina maana.
Zakumi,
'Tungekuwa na uongozi makini huu ni wakati muafaka kabisa kwa Tanzania kutajirika na maliasili zake. Lakini viongozi wote wa wakati huu hawana uzalendo na wameghubikwa na ufisadi. Leo dhahabu ni dola 913 kwa wakiya na tungekuwa tunasafisha dhahabu hapo hapo nyumbani badala ya kupeleka mchanga nje ungeona mapato ambayo tungekuwa nayo. Lakini viongozi wote ama wameshawekwa mifukoni mwa International Corporations au wanakula na kuiibia nchi pamoja na corporations hizo.
 
Hawa viongozi makini wamelelewa na system gani kama sio hiyo ya baba wa taifa? Haya makosa yote uyaonayo ni malezi mabovu ya system iliyopita.

Dhahabu sio renewable resource, hivyo hata kama bei itakuwa nzuri itafikia kipindi itakwisha.

Kwa upande mwingine tungezitumia resources kuelimisha nchi miaka 30 au 40 iliyopita, nchi ingekuwa na wasomi na tusingekuwa na sababu ya kutafuta dhahabu.

Tungekuwa tunatumia renewable resources za maendeleo kama vile watu na akili zao.
 
Sawasawa, Zakumi
Labda tunapaswa kumlaumu baba wa taifa kwa system ya uongozi mbovu
tulio nao hivi leo. Lakini naomba nikuulize swali. Mimi ni baba mzazi. Nimezaa watoto, nikawalea, nikawapeleka shule, kuwalipia matumizi yao na kuwapa kila kitu walichokuwa wanahitaji. Baadaye mwanangu mmoja anageuka kuwa
jambazi. Hivi jamii itakuja kusema kuwa huyu mtoto ni jambazi na anayestahili kulaumiwa kweli ni baba yake? Tafakari. Mwalimu alifanya kila aliloweza. Alituunganisha Watanzania na kutuwekea misingi ya mshikamano. Alijenga chama imara CCM, lakini humo humo wakajiunga makanjanja akina Lowasa akina Mkapa akina etc. etc. ambao walishakiona chama kama njia ya kujipatia utajiri wa haraka. Kweli ni haki kumlaumu mzazi kwa tabia za wanae?
 
Back
Top Bottom