Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
well, wako wapi hao "enlightment figures" na tutawatambuaje?
Uncle Ben........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
well, wako wapi hao "enlightment figures" na tutawatambuaje?
Uncle Ben........
..communism na kina Nyerere wanaonekana kama hero kwa sababu tuu ya market crisis,capitalism still the best wakuu na imefanya mengi sana ya maana kuliko ujamaa katika maendeleo ya binadamu,ujamaa is simply evil na kama mnataka kurudi stone age rudisheni ujamaa bongo....ups & downs za market ni kawaida sana na zitaendelea kuwepo,kweli i cant stand ujamaa nikifikiria vile viduka vya serikali vya kuuza sukari na vishule visivyo na walimu wala madarasa
Unakumbuka yaliyotokea wakati wa great depression? haukuwa ujamaa uliosababisha hayo ni ubepari. Na leo hii yanayotokea watu kupoteza nyumba zao n.k na kama umesoma habari za leo wanataka hata nyama na maziwa vitolewe kwa mgao duniani. Siyo matokeo ya Ujamaa ni ubepari. Kama hujui kilichosababisha maduka ya kaya na mgao wa wakati ule hujui historia yako. Jamii kugawana kidogo walichonacho siyo jambo pekee lililowahi kutokea Tanzania na haikuwa mwisho Tanzania kutokea. Ujamaa siyo maduka ya kaya!

Koba,
Nakuomba urudi kwenye Genesis ya ubepari. Au kamsome Charles Dickens.
Ubepari ni unyama. Hata kama sasa tunafaidi matunda yake lakini usisahau genesis yake.
Mc Pain,I am not sure I agree with you.....
...Great depression ilitokana na market crisis kama inayoendelea sasa,na walichofanya ni sawa na wanachofanya sasa hivi (bailout) na kuweka more regulations kwenye markets
,Americans wanatumia sana past experience kusolve matatizo yao,
With the onset of World War II, numerous challenges confronted the American people. The government found it necessary to ration food, gas, and even clothing during that time. Americans were asked to conserve on everything. With not a single person unaffected by the war, rationing meant sacrifices for all. In the spring of 1942, the Food Rationing Program was set into motion.
Rationing in the United Kingdom is the series of food rationing policies put in place by the government of the United Kingdom during certain wartime periods of the 20th century [1].
mnaosema bailout ni kuelekea communism
hamjui kilichotokea during great depression,niambie ujamaa wetu umetusaidia nini hiyo miaka karibu 50 ya uhuru zaidi ya kutufanya maskini kupindukia na vitegemezi,
kubali America is great kutokana na capitalism
hardwork haiui na wabongo wengi walioamua kufuata sheria na kuweka bidii 100,000$ salary sio issue...bongo njaa tupu maisha mazuri ni kwa wezi tuu na wachache sana wenye bahati
Yanayotokea leo watu kupoteza nyumba zao ni ujinga na tamaa ya lenders. Haya ma no doc loans, no money down, 105% loans, even 110% loans, Arms (adjustable rate mortgages) ndiyo yaliyowaponza watu. Mtu unajua kabisa huwezi kumudu malipo na benki inajua hivyo lakini bado unakopeshwa $300,000 wakati kipato chako kwa mwaka ni $45,000, debt to income ratio yako (back end and front end) iko juu, sasa watu walitegemea nini kama sio catastrophic results. Haya ni matokeo ya tamaa na ulafi na wala sio ubepari....
Ubepari msingi wake ni tamaa. Tamaa ya kupata faida. Bahati nzuri ninafahamu mortgage industry vizuri kwani nilifanya kazi kwenye mojawapo ya mabenki (now acquired by Bank of America) kwenye kitengo chao cha mortgage. I can speak with authority kwamba wengi walionunua nyumba wakati ule au kurefinance au kujenga nyumba kwa mkopo walipigia hesabu kitu kimoja nacho ni kuwa baada ya miaka kama mitano hivi wangeweza kuuza hiyo nyumba na kupata faida. Wengi ya walioamua kupata mikopo hiyo ya nyumba kuanzia like late 90s-2004 hivi walifanya hivyo wakizingatia rate ndogo ya 30/fixed ambapo kuna siku ilikuwa inafikia hadi 4.750. Na wale waliokuwa wanachukua PARM au ARM au hizo FHA loans walikuwa wakitarajia hilo hilo kwamba baada ya miaka michache na baada ya kuziongezea thamani nyumba zao wangeweza kuziuza na kuweza kulipa deni la msingi na kubakiwa na cash ambayo ingeweza kuwapa usalama zaidi wa maisha. Wrong.
Walioweza kufanya hivyo ni wale waliokuwa wana flip houses (real estate) na wao waliweza kutengeneza mamilioni ya dola. Wale wenzetu na siye ambao tulinunua nyuumba tukipiga hesabu kuwa in 2007 au 2008 nitakuwa nimeshapa vijunior viwili na hivyo kutafuta nyumba kubwa nikishauza hii ya zamani ndio tukajikuta tumeliwa kwani kufika 2007/2008 thamani ya nyumba imeshuka, deni la benki bado liko kubwa na wakati mwingine kupita thamani ya nyumba yenyewe! Matokeo yake ni kuwa hatumudu tena kulipa mortgage, malipo ya gari n.k imekuwa ngumu.. Matokeo yake tunaanza kulag behind katika malipo mwisho wake Benki wanataka nyumba yao!
hilo limetokana na tamaa inayotengenezwa na ubepari na siyo ujinga tu. Ubepari unaahidi kuwa unaweza kutengeneza hiyo fedha kwa haraka kama ukiwa na mtaji mzuri (which in this case ni ule mkopo wa benk). Tatizo ni kuwa unapoleta bidhaa sokoni, hakuna wa kununua na unashusha bei matokeo yake inakubidi uuze vitu kwa bei ya bure na kabla hakijakudodea.
Sasa ni kweli watu binafsi wanawajibika kwa kiasi kikubwa kwa kuingia mkenge huu lakini waliingia kwa sababu mfumo huu wa kibepari ulitengeneza mazingira hayo na sasa kama alivyosema yule mchungaji "the chickens have come home to roost"!
Hata mimi nilifanya kazi Wells Fargo Home Mortgage na Wells Fargo Home Equity on both the front end and the back end of the loan process. Kwa hiyo hata mimi ninaongea kwa authority. Idadi kubwa sana ya watu walipendelea ARMs kuliko fixed rate kwa sababu interest rate yake kwa kawaida inakuwa iko chini ukilinganisha na fixed kitu ambacho kinamwezesha mtu "kumiliki"/ kununua/ kukopeshwa nyumba ambayo otherwise asingeweza kuimudu kama rate and term zikiwa fixed. Matokeo yake kwa sababu ARMs zinabadilika baada ya miaka michache na zikibadilika hakuna guarantee rate itashuka (mara nyingi hupanda juu) mtu anajikuta anapata shock kwa sababu monthly note inapanda na anakuwa hawezi tena kumudu.
Pia, 100% financing na yenyewe imeumiza watu. Unakuta mtu anapewa mkopo with no money down au wakati mwingine anapata hata 105%. Sasa kama huwezi kuweka chini hata 20% ya mkopo wote hiyo siyo dalili nzuri ya wewe kuweza kumudu gharama za umilikaji nyumba. Kwanza inaonyesha huna akiba just in case there is an unforeseen adverse economic circumstance.
Kwa hiyo uwajibikaji kwa upande wa borrowers na wenyewe ni muhimu kuzingatia hapa kwa sababu mtu unajua kabisa huwezi kumudu malipo ya mkopo lakini unaingia mkenge na kununus nyumba ya bei mbaya, on top of that you go buy car that matches the house, and at the end of the day you end up strugling to pay your bills.
..communism na kina Nyerere wanaonekana kama hero kwa sababu tuu ya market crisis,capitalism still the best wakuu na imefanya mengi sana ya maana kuliko ujamaa katika maendeleo ya binadamu,ujamaa is simply evil na kama mnataka kurudi stone age rudisheni ujamaa bongo....ups & downs za market ni kawaida sana na zitaendelea kuwepo,kweli i cant stand ujamaa nikifikiria vile viduka vya serikali vya kuuza sukari na vishule visivyo na walimu wala madarasa
Hata mimi nilifanya kazi Wells Fargo Home Mortgage na Wells Fargo Home Equity on both the front end and the back end of the loan process. Kwa hiyo hata mimi ninaongea kwa authority. Idadi kubwa sana ya watu walipendelea ARMs kuliko fixed rate kwa sababu interest rate yake kwa kawaida inakuwa iko chini ukilinganisha na fixed kitu ambacho kinamwezesha mtu "kumiliki"/ kununua/ kukopeshwa nyumba ambayo otherwise asingeweza kuimudu kama rate and term zikiwa fixed. Matokeo yake kwa sababu ARMs zinabadilika baada ya miaka michache na zikibadilika hakuna guarantee rate itashuka (mara nyingi hupanda juu) mtu anajikuta anapata shock kwa sababu monthly note inapanda na anakuwa hawezi tena kumudu.
Pia, 100% financing na yenyewe imeumiza watu. Unakuta mtu anapewa mkopo with no money down au wakati mwingine anapata hata 105%. Sasa kama huwezi kuweka chini hata 20% ya mkopo wote hiyo siyo dalili nzuri ya wewe kuweza kumudu gharama za umilikaji nyumba. Kwanza inaonyesha huna akiba just in case there is an unforeseen adverse economic circumstance.
Kwa hiyo uwajibikaji kwa upande wa borrowers na wenyewe ni muhimu kuzingatia hapa kwa sababu mtu unajua kabisa huwezi kumudu malipo ya mkopo lakini unaingia mkenge na kununus nyumba ya bei mbaya, on top of that you go buy a car that matches the house (I'm sorry to say this but the foreclosure rate in the African American community is through the roof), and at the end of the day you end up strugling to pay your bills.
Kwa hiyo ni vizuri kuchukua "Best of both worlds" yaani Ujamaa na Ubepari kwa sababu nadhani vyote vina umuhimu na upungufu wake, lakini kwa nchi zinazoendelea nadhani zingechukua huku na huku au haiwezekani?