Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

Nawaonea wivu vijana wetu wa sasa kwani wanakuwa na fikra
Nyinyi vijana mnaosoma historia iliyoandikwa chini ya mfumo na sera zake hamuwezi kumjua vizuri Nyerere.Waulizeni kina Zacharia Hans na wenzake ni kitu gani kilichowafanya watake kumpindua huyu mchonga meno.

Have you ever wondered why the Zacharia Hans never succeeded in overthrowing the Nyerere government?
 
Jasusi and Inc.

Kwa data zako na za wenzako mnaomuunga mkono sana Nyerere, inaonyesha mmekula chumvi nyingi.

Swali langu ni kuwa Nyerere aling'atuka na kurudi kijiji Butiama, mtarudi lini vijiji hili mfuate nyayo zake?

Wote mnaomsifia Nyerere hapa, ni wapigaji kelele na porojo tu. Sioni mfano wowote unaoonyesha kuwa kuna wanaomfuata.

Si lazima tumfuate Nyerere kijijini. Hata Paulo hakumfuata Yesu kaburini lakini alisaidia kuendeleza injili. Kwa hiyo swali lako halina mantiki.
 
Jasusi and Inc.

Kwa data zako na za wenzako mnaomuunga mkono sana Nyerere, inaonyesha mmekula chumvi nyingi.

Swali langu ni kuwa Nyerere aling'atuka na kurudi kijiji Butiama, mtarudi lini vijiji hili mfuate nyayo zake?

Wote mnaomsifia Nyerere hapa, ni wapigaji kelele na porojo tu. Sioni mfano wowote unaoonyesha kuwa kuna wanaomfuata.

duh! we ndio unastukia? jamaaz ni vidingi flani hivi na ni "old guards." Hata useme nini hawata kubali ng'o, kwa ufupi wamesha-cram, bongo zao zimedinda, kuendelea kubishana nao juu ya Nyerere ni kupoteza muda.

mjadala mwema..
 
duh! we ndio unastukia? jamaaz ni vidingi flani hivi na ni "old guards." Hata useme nini hawata kubali ng'o, kwa ufupi wamesha-cram, bongo zao zimedinda, kuendelea kubushana nao juu ya Nyerere ni kupoteza muda.

mjadala mwema..

Bongo zao zimedinda, eh? Ndiyo hiyo mindset yenu mkipewa the other side of the coin mnawaita watu kuwa bongo zilizodinda? Can we discuss issues without calling names?
 
Bongo zao zimedinda, eh? Ndiyo hiyo mindset yenu mkipewa the other side of the coin mnawaita watu kuwa bongo zilizodinda? Can we discuss issues without calling names?[/QUOTE]

...acha kulialia mtu mzima, wewe ni kidingi flani (hiyo haina ubishi), ndio maana una mawazo ya kizee ya kudumisha fikra ambazo sisi vijana wa sasa tunaona ndizo hasa zilizotuharibia nchi!! kama nipo rough na wewe, too bad, lakini habari ndio hiyo...huwezi kuelewa!!
 
Au contraire,
Waulize wanangu watakwambia kuwa mimi ni mzee kijana mwenye mtazamo wa kileo kabisa kabisa. Tukate issues tu bila kuitana majina. Kwanza ninyi vijana mna fikra gani ambazo unadhani zitatuletea maendeleo? Nipe mfano kijana.
 
Katika hilo kundi mwondoe Eli Anangisye. Huyu kesi yake ilikuwa tofauti. Alishiriki katika njama za Kambona kutaka kupindua serikali. Choga naye. Dourado kesi yake siijui. Mimi si mfuatiliaji sana wa mambo ya Zanzibar.
Lakini kitu ambacho nataka kusema ni lazima tuelewe hali iliyokuwepo Afrika kote wakati huo. Nkrumah alipinduliwa na jeshi aliloliamini. Ahmed Ben Bella alipinduliwa na right-hand man wake. Nyerere alishtuka pale balozi wa Algeria Dar-es-Salaam aliporudi nyumbani kuwa Foreign Minister katika serikali iliyompindua Ben Bella. Gamal Nasser alikuwa ameshamalizwa na njama za Marekani na Mayahudi. Kambona alijaribu mara mbili kupindua serikali. Nakumbuka katika interview na Peter Enahoro mwaka 1971 kuadhimisha miaka kumi ya uhuru Mwalimu aliulizwa ataje baadhi ya mafanikio yake akajibu "we have survived." The fact that survival was measured as success says a million to me. Kwa hiyo kama kuwatia kizuizini kulisadia survival ya serikali so be it.

Jasusi,

I can't thank you enough for admiting that. That is all I am asking for: correct recordation of what happened during J.K. Nyerere's rein.

Nilishasema kwamba huu uhasidi wa Nyerere wa kuweka watu vizuizini bila kupatikana na hatia wala kushitakiwa inawezekana ndio ilikuwa the genius ya Nyerere iliyotusalimisha na mavita Tanzania. Inawezekana kabisa kabisa.

Ila ninachokipigania ni kwamba watu wasifiche yaliyojiri. Kwamba ni kweli huyu nusu-nduli alifunga watu aliowaona kwamba ni tishio la utawala wake. That's all I am asking for.

By the way, Wolfgang Dourado ambae umesema hufahamu kesi yake kwa sababu hufatilii maswala ya Zanzibar, ni kwamba yeye hakufungwa kwa sababu ya ishu za Zanzibar per se. Wolfgang Dourado alikuwa anahutubia kongamano la Tanganyika Law Society kuhusu mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba. Mapendekezo yake yalikuwa kinyume na mapenzi ya J.K. Nyerere. Alipomaliza kuhutubia Mwanasheria Mkuu Joseph Warioba akatuma political police wa Nyerere wamuweke kizuizini. J.K. Nyerere akasaini preventive dention order! Tunaongelea Mwanasheria Mkuu mstaafu! Imagine that!

So, Jasusi, now you know, kuna watu kibao ambao walifanyiwa unyambilisi na Nyerere. Kama hiyo ni halali kwa sababu ya kuepuka vita that's a whole different discussion.
 
duh! we ndio unastukia? jamaaz ni vidingi flani hivi na ni "old guards." Hata useme nini hawata kubali ng'o, kwa ufupi wamesha-cram, bongo zao zimedinda, kuendelea kubishana nao juu ya Nyerere ni kupoteza muda.

mjadala mwema..

Tatizo la waafrika ni kuwa hile system ya hierarchy ya udingi. Mtu akiwa dingi anataka kulazimisha point zake hata kama zimepitwa na wakati kwa sababu yeye ni mtu mzima na alisikiliza hotuba za Nyerere.

Hotuba za Nyerere sio shule ni siasa. Na ukipiga analysis zote utaona kuwa Nyerere alichemsha.

Baada ya kuporomoka kwa mkonge Nyerere anasema alifanya makosa kwa sababu serikali haina expertise ya kuendesha mashamba. Serikali inayoshindwa kuendesha vitu vya low tech kama mashamba ya mkonge, je inaweza kuendesha kiwanda cha magari? Je inaweza kuendesha mashule? Je inaweza kuendesha ujenzi wa mabarabara?

Mtu anaye-admit failure katika uongozi wa kitu kimoja basi atakuwa na uwalakini katika sehemu nyingine.
 
Mjadala huu kweli mkali...Zakumi karibia tena jamvini...Ofcourse nakubaliana na pande zote kwenye baadhi ya issues.
Kwenye hiyo issue ya Mkonge kwa kusema kweli ni kipimo kikubwa sana kwani sera za mwalimu zilikuwa ni Siasa ni Kilimo na Kilimo ni uti wa mgongo.

Kwa hiyo failure kwenye kilimo ina constitute kiasi kikubwa cha Mwalimu Nyerere's Ujamaa Policies failure....Kwani failure ya kilimo ndio kuvunjika kwa uti wa mgongo wa uchumi....Hence disaster tuliyomo.

Vipimo vingine tunaweza tukawa tunamwonea kwasababu hata ile main agenda yake ya kilimo ndio ilikufa kabisa na njaa na umasikini bila kusahahu ujinga imebobea na ndio mana hata viongozi wa sasa hata hawajali.

Na kama wanavyosema wengi....Ujinga ndio umetufikisha hapa na bado unaendelea kuwala waafrika walio wengi.

Inahitajika Mesiah mithili ya mtume kuikomboa AFRIKA na ndio maana hata mwalimu alipiga za UDIKTETA.
 
Tatizo la waafrika ni kuwa hile system ya hierarchy ya udingi. Mtu akiwa dingi anataka kulazimisha point zake hata kama zimepitwa na wakati kwa sababu yeye ni mtu mzima na alisikiliza hotuba za Nyerere.

Hotuba za Nyerere sio shule ni siasa. Na ukipiga analysis zote utaona kuwa Nyerere alichemsha.

Baada ya kuporomoka kwa mkonge Nyerere anasema alifanya makosa kwa sababu serikali haina expertise ya kuendesha mashamba. Serikali inayoshindwa kuendesha vitu vya low tech kama mashamba ya mkonge, je inaweza kuendesha kiwanda cha magari? Je inaweza kuendesha mashule? Je inaweza kuendesha ujenzi wa mabarabara?

Mtu anaye-admit failure katika uongozi wa kitu kimoja basi atakuwa na uwalakini katika sehemu nyingine.

I like your points.....
 
I like your points.....

Ni wazi kabisa huyu Zakumi ni member mpya hapa na kwa ukweli ameleta changamoto.
Mtu akija hapa na jina la kubadilisha utajuwa tu...Utaona hakuna jipya...Lakini mara nyingi wanapokuja members wengine wenye mapande ya nguvu basi mara nyingi huwa na acknowledge.
Pamoja na kwamba unaweza usikubaliane na hoja zake..Lakini huyu mtu iko na convincing power.
 
Tatizo la waafrika ni kuwa hile system ya hierarchy ya udingi. Mtu akiwa dingi anataka kulazimisha point zake hata kama zimepitwa na wakati kwa sababu yeye ni mtu mzima na alisikiliza hotuba za Nyerere.?

Hotuba za Nyerere sio shule ni siasa. Na ukipiga analysis zote utaona kuwa Nyerere alichemsha.

Baada ya kuporomoka kwa mkonge Nyerere anasema alifanya makosa kwa sababu serikali haina expertise ya kuendesha mashamba. Serikali inayoshindwa kuendesha vitu vya low tech kama mashamba ya mkonge, je inaweza kuendesha kiwanda cha magari? Je inaweza kuendesha mashule? Je inaweza kuendesha ujenzi wa mabarabara?

Mtu anaye-admit failure katika uongozi wa kitu kimoja basi atakuwa na uwalakini katika sehemu nyingine.

Mbona nimeshuhudia hapa vijana wakijaribu zaidi kulazimisha point zao kwa kuita wengine majina ya kashfa? Unaweza usikubaliane na mengi aliyoyafanya Mwalimu Nyerere lakini haingii kwenye kundi moja la kuitwa nduli kama Idi Amin. Unaweza usikubaliane na mimi lakini you do not have to call me names. Gonga hoja kwa hoja usiniite naive, because I have not called your points naive. So it goes both ways. Remember that when one finger points at me 4 are pointing at you. Changamoto kwenu vijana: kujeni na sera zitakazoiendeleza Tanzania. Nyerere did his best, amewaachieni mantle. Sasa tuambieni mna vision gani badala ya kukaa na kulalama tu miaka 23 tangu mzee wa watu aachie ngazi na 9 tangu aende kwa mola wake.
 
Nyerere did his best...

Hoja hii ina mushkeli.

"Did his best" is not an excuse for not doing the best.

We don't want or care for his best. We want the best.

If it were Ok to just do your best, no one would ever get fired from their job so long as they did their best.

We want the best that the people expect.

If you fall short of our best don't tell us you did your best!
 
Inawezekana unakubaliana na Mkapa kuwa Watanzania ni wajinga.
Kwasababu kabla hujawalaumu watanzania kwanza uanze na mtoto wa Nyerere ambaye ni Mkapa mwenyewe...Je amefanya yale aliyoambiwa na baba yake?
Ama tatizo limeanzia wapi?
Naomba tuelimishane kwenye hili maana nchi imeshapigwa panga na wewe unadai mwalimu keshafanya na sisi ni zamu yetu.
Wapi bana....Zamu yenu nyie bana....Acheni hizo....Mali za wananchi zirudishwe halafu ndio uje hapa utetee pointi za mwalimu.
Kwani licha ya Mkapa kuuza nchi si bado yumo kwenye familia ya Nyerere?
We hujui Mkapa ni legally Benjamin William Mkapa Nyerere?
Ama?
 
Hoja hii ina mushkeli.

"Did his best" is not an excuse for not doing the best.

We don't want or care for his best. We want the best.

If it were Ok to just do your best, no one would ever get fired from their job so long as they did their best.

We want the best that the people expect.

If you fall short of our best don't tell us you did your best!

Kuhani,
Hujatuambia the best ni nini kwa macho yako. Julius did his best. If in your eyes he fell short basi kawaachieni mantle. Kuna usemi wa siku nyingi Marekani kwamba usimkosoe Mhindi wa asili mpaka umetembea kwenye moccasins zake. The same applies to Julius. Tanganyika ya 1961 si Tanzania mliyozaliwa ndani yake. Hilo vijana shurti mlielewe ama mtajikuta mnafanya makosa ya ajabu kabisa kuliko hata yale mnayomhukumu Julius.
 
Alitulazimishia Ujamaa kwa miscalculations zake...FAILURE...Alitulazimishia MKAPA...UFISADI NA MORE FAILURE...
 
Lusajo,

If you do not mind, je kwa nini Mzazi wako na familia yenu mliishi kwa wasiwasi? Je alifanya nini mpaka Nyerere akawa anamwinda

Samahani kuuliza hili na kutoka nje ya mada.
Rev fikiria hichi wewe mtoto baba yako anakuambia kwamba sitaki wageni so and so kwa sababu wametumwa wananisumbua, kwa hiyo inabidi kuwaambia hayupo na anakuwa hana raha wakija. Hakujenga nyumba yeyote kwa sababu ya woga, na sio kwamba alikuwa hana uwezo wa kujenga pale Tanzania, lakini kabla hajafa alikuwa na woga sana mpaka aliondoka na mama kuangalia nyumba ya sisi kuishi nje ya nchi (Switzerland) na ndio ilikuwa safari yake ya mwisho nje ya nchi, na kulikuwa na matatizo yeye kwenda kutibiwa nje, ingawa tulikuwa watoto mambo mengine tulikuwa hatuelewi sana, (unajua watu wazima Bongo hawawaambii watoto what is goin on). As mtoto nilikuwa sina wasiwasi kwa sababu maisha yalikuwa mazuri tuu kwangu lakini kuona Baba ana furaha halafu wageni wanakuja furaha inaisha ilikuwa miyeyusho.
Alichofanya hakieleweki lakini wanasema alikuwa anabishana na Mwalimu kuhusu sera za wakati huoo, na kama katibu wa Vijana alikuwa na umaarufu kwa vijana, wengine wanasema na hicho mwalimu hakukipenda, sasa hayo yote nimesikia kwa walio upande wa marehemu Baba, kwa upande mwingine (wa Nyerere) sijawahi kusikia.
Nadhani nimekujibu vizuri, kama kuna swali lingine unaweza kuuliza Rev.
 
Ukitaka kumjua Nyrere alikuwa mtu wa aina gani usiende mbali chunguza hali za wanae.Kama alishindwa kuwalea hao angeweza vipi kutawala nchi?

Makongoro,Madaraka na wengineo hakuna hata mmoja aliyeweza kupata elimu ya maana.

Mkuu heshima mbele sana, elimu ni kichwa cha mtu na sio utoto wa rais, Magige ni Electrician tena wa Mlimani enzi zile, Madaraka anamiliki Masters, shule walisoma hizi zetu kama sisi makabwela lakini at the end of the day, kilicho-matter ni akili kichwani kitu ambacho it does not matter wewe ni mtoto wa nani, kama unazo unazo kama huna huna!

Siasa nyingi za Mwalimu hazikuwa safi kwa muangalio wangu na wako, lakini are better off now as a nation kiuchumi kuliko under Mwalimu? Au uhuru wa kuongea peke yake unatosha? Hivi ni kweli tuko huru kuongea?

I mean tumetoka kwenye one misery tumeingia kwenye misery mpya, lakini mazingara tofauti, hakuna sababu ya kulumbana hapa maana kina Kikwete, Lowassa, Rostam, Mkapa na Karamagi, wakiona hii mijadala watalala vizuri sana usingizi wao!
 
In summary:

Mwalimu alijenga taifa la Tanzania, Warithi wake wanalibomoa

TANU ilijenga nchi, CCM ikabomoa kila kitu.....

Tanzanianjema
 
Back
Top Bottom