Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

Unauliza swali wakati jibu unalo ? Tuulize maswali ya msingi sir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano raisi Uhuru Kenyata wa Kenya awe na binti wa kike aitwaye mathalani Njoroge Kenyata na awe mwana sheria. Basi mzee Jomo Kenyata muasisi wa taifa la Kenya Njoroge atamuita babu.Hali kadhalika kwa Fatma jina Karume ni kama ukoo tu kama ilivyo Jomo Kenyata baba na mtoto wake wote walikuwa maraisi kama ilivyo familia ya Karume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni mtoto wa aman karume...na ni mjukuu kwa abeid karume (hiyo sura shadya mtupu)....
Ila mama shadya ninmrembo zaidi kawapita wanawe wote!
Nimeona snap yake moha on her twenties she could have passed as miss world contestant au winner kabisa!
Yule bi mkubwa ni so mwah katika wake wa marais duniani sio tanzania tu sema yuko low profile fulani hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka leo sijapata majibu huwa kufikilia sana kitendo ch wanasheria w TLS kumchagua Fatma Karume kutoka zanzibar wakati sio mTanganyika .
 
Chadema kazi kwenu kifo kinakaribia act kuwa chama kikuuu cha upinzani 2020
 

Attachments

  • IMG_20190923_191624.jpg
    112.8 KB · Views: 14
  • IMG_20190923_191620.jpg
    103.5 KB · Views: 14
  • IMG_20190923_191615.jpg
    128.7 KB · Views: 15
Lengo si ni kuitoa ccm madarakani?iwe ACT au CDM isikuume au kama na wewe ni nzi wa kijani sawa.Haya majadiliano ni ya kawaida tu kama magroup mengine football n.k.Lengo ni kuona ccm chama cha majizi na mafisadi kinang'oka
Chadema kazi kwenu kifo kinakaribia act kuwa chama kikuuu cha upinzani 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…