Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

Mtoto bora kabisa wa marais kuwahi tokea Tanzania ,huwezi mlinganisha na hao wengine kina Rizone wanaobebwa bebwa kichwani hakuna kitu, au Makongoro sijui.

Anaye mfahamu mtoto yoyote wa marais waliowahi shika bara na visiwani anayemshinda kiupeo huyu Fatma Karume ,na amtaje hapa
Hussein Mwinyi, mrithi wa Dr Shein
 
Wangi wasichojui, wameneemeka sana na pesa za richmond/tanesco na connection ya kesi za bank kuu wakishirikiana na yule mzee wa musoma. Huo mrija umekatwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo (Hussein) kakaa sana kwenye dockets muhimu kwa muda mrefu, zichunguze.
Inawezekana mkuu,ingawa na mbarawa ni kipenzi cha Mzee.Remember rule no.1 "NEVER OUTSHINE YOUR BOSS".Hata akipewa hio chance hawezi mu outshine mzee wetu huku.

Tombatomba idevice Model TH 45
 
.....si unaona jamaa alivyo mtulivu, awamu ya tatu sasa anafit ! Pia anaweza kuwa stand by asset/option. Katika mtiririko wa watu wa visiwani, mtu aliyelazimisha king ni makamu aliyepita.
 
Huyu dada wakili kwa kweli anafaa sana kuwa wakili. Na ukiona Tanzania wakili alipita kwa Mkono,Tenga,magafu,Fungamtama ujue huyo hata gpa yake ilikuwa sio yakitoto alipokuwa chuo. Huko ni vyuma vimekaza. Anweza ku lead defence team vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za ki ukawa hizo, hata Lowassa mliona anafaa after years of hatred

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja kati ya mambo ya ajabu kabisa katika hii dunia ni pale mtu anapotaka kila mtu awaze kama anavyowaza yeye!

Mkuu hata mama yako mzazi kama angelikuwa na uwezo alionao Bi Fatma Karume ningekwambia anafaa kwa maana sidhani kama mimi ama Fatma ni wana ukawa!
 
Uwezo huo wanao ukawa tu, kuweza kumtathmini mtu kwa siku tatu kwa kuhangaika na kesi ya mtu kuropoka ropoka.
Yupo Wakili alihangaika na kesi ya uhaini enzi za Nyerere, TISS na waendesha mashtaka jasho liliwatoka. Muulize Hans Pope.
 
Wakili Murtaza Lakha.
 
Mkuu, nikupongeze sana kwa kufanikiwa kijibiwa na lukesam

Nakutakia siku njema!
 
Back
Top Bottom