Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

Anakuwa na mbwembwe nyingi sana akiwa huko mahakamani, utamkuta anatembea na Hanger, katundika Koti lake na beeb.

Mahakama ikianza anaweka hanger pembeni anatoa koti anavaa beeb anajifunga; akimaliza anarudishia kwenye hanger yake anasepa. Mbwembwe za mawakili hizo.

Mtu akichunguza vizuri avatar yako atagundua una tatizo kichwani.
Achana na profeshen usizozijua.
 
HUYU NI MTOTO WA RAIS MSTAAF WA Z'BAR NDG ABEID AMAN KARUME. Mama yake ni bi Shadia Himid Karume mke wa mstaafu. Mjombaake ni Mansour Himid galacha la CUF huko Unguja. upande wa mama yake ni purely Arabs (mama na Babu yake) na upande wa Baba ni Purely Bantus (baba,bb,babu) thats y ni shombshombe. Babu zake kiumeni ni aliyekuwa Rais wa kwanza wa Z'Bar na M/kiti wa BM na kikeni ni Mwanajeshi aliyeshiriki ktk Mapinduzi ya Z'Bar.
John Okello sijamuona hapo.

Tombatomba idevice Model TH 45
 
Mkuu, hakuna kitu tunachovaa Mawakili kinachoitwa beeb. Tuna bibs and robes. Usizungumze usivyovijua

Hata kijukuu changu kinachoanza kujifunza kula kina bibs! Kwi kwi kwi teh teh teh!
spoiled_by_granny_bib.jpg
 
Anakuwa na mbwembwe nyingi sana akiwa huko mahakamani, utamkuta anatembea na Hanger, katundika Koti lake na beeb.

Mahakama ikianza anaweka hanger pembeni anatoa koti anavaa beeb anajifunga; akimaliza anarudishia kwenye hanger yake anasepa. Mbwembwe za mawakili hizo.

= bib
 
Mtoto wa Karume amshauri Dk. Shein Ampishe Maalim Seif

Siku nyingine jishughulishe hata kwa kugugo tu Mkuu. Kwa wakati wa sasa, si kila kitu ni cha kuuliza.Kiufupi,Wakili Msomi Fatma Karume ni mtoto wa Rais Mstaafu Amani Abeid Karume na mjukuu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume. Kuhusu uanachama wa CHADEMA, sijawahi kuiona kadi yake hivyo siwezi kulisemea.
Jamiiforums ni zaidi ya google,au ulikua hujui hilo?
 
Huyu anaitwa Fatma Amani Abeid Amani Karume, ni mjukuu wa mzee Karume, ni mtoto wa kwanza wa Amani Abedi Amani Karume aliyekuwa rais wa Zanzibar kabla ya Shein

Jamii Forums mobile app
 
huyo binti kwa ujasiri aliouonyesha hivi majuzi, ametengeneza cv nzuri sana kwa siasa za tz na zanzibar siku za mbeleni. huyo atakuja kuwa waziri muda si mrefu.
 
Bara na pwani wapi na wapi labda sema wote wana taalum moja ya sheria na sidhani kama undugu au chama kwa mambo ya kisheria ni issue, kikubwa kama mtu ameona kwa taalum yake anaweza saidia na labda kujisaidia na pengine utawala haufuati sheria au kuna malipo basi taalum na msukumo ndo vina m 'drive' mtu
umetiririka saaanaa kumbe swali mtoa post hajauliza unachokijibu[emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom