Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

HUYU NI MTOTO WA RAIS MSTAAF WA Z'BAR NDG ABEID AMAN KARUME. Mama yake ni bi Shadia Himid Karume mke wa mstaafu. Mjombaake ni Mansour Himid galacha la CUF huko Unguja. upande wa mama yake ni purely Arabs (mama na Babu yake) na upande wa Baba ni Purely Bantus (baba,bb,babu) thats y ni shombshombe. Babu zake kiumeni ni aliyekuwa Rais wa kwanza wa Z'Bar na M/kiti wa BM na kikeni ni Mwanajeshi aliyeshiriki ktk Mapinduzi ya Z'Bar.
???????????
 
Bara na pwani wapi na wapi labda sema wote wana taalum moja ya sheria na sidhani kama undugu au chama kwa mambo ya kisheria ni issue, kikubwa kama mtu ameona kwa taalum yake anaweza saidia na labda kujisaidia na pengine utawala haufuati sheria au kuna malipo basi taalum na msukumo ndo vina m 'drive' mtu
Shuleni sijui ulikuwaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa Karume amshauri Dk. Shein Ampishe Maalim Seif

Siku nyingine jishughulishe hata kwa kugugo tu Mkuu. Kwa wakati wa sasa, si kila kitu ni cha kuuliza.Kiufupi,Wakili Msomi Fatma Karume ni mtoto wa Rais Mstaafu Amani Abeid Karume na mjukuu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume. Kuhusu uanachama wa CHADEMA, sijawahi kuiona kadi yake hivyo siwezi kulisemea.
Inasemekana ana uCuF CUF yeye na mjomba wake Mansour Himid aliyeasi Ccm na kuingia CuF na kugombea uwakilishi na kushinda kwenye uchaguzi wa uliomfanya Jecha kuwa kifutio!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUYU NI MTOTO WA RAIS MSTAAF WA Z'BAR NDG ABEID AMAN KARUME. Mama yake ni bi Shadia Himid Karume mke wa mstaafu. Mjombaake ni Mansour Himid galacha la CUF huko Unguja. upande wa mama yake ni purely Arabs (mama na Babu yake) na upande wa Baba ni Purely Bantus (baba,bb,babu) thats y ni shombshombe. Babu zake kiumeni ni aliyekuwa Rais wa kwanza wa Z'Bar na M/kiti wa BM na kikeni ni Mwanajeshi aliyeshiriki ktk Mapinduzi ya Z'Bar.
Ni mtoti wa Amani Abed karume na mjukuu wa Abeid Aman Karume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka anayemtetea ni rais wake na hili haliangalii kuwa ni wa chama gani cha siasa na kwa mujibu wa swali lako huyo ni wa familia kabisa ya mh Abeid aman karume we mwangalie Shadya alaf mwangalie yeye utagundua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bara na pwani wapi na wapi labda sema wote wana taalum moja ya sheria na sidhani kama undugu au chama kwa mambo ya kisheria ni issue, kikubwa kama mtu ameona kwa taalum yake anaweza saidia na labda kujisaidia na pengine utawala haufuati sheria au kuna malipo basi taalum na msukumo ndo vina m 'drive' mtu
Umeelewa swali lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakuwa na mbwembwe nyingi sana akiwa huko mahakamani, utamkuta anatembea na Hanger, katundika Koti lake na beeb.

Mahakama ikianza anaweka hanger pembeni anatoa koti anavaa beeb anajifunga; akimaliza anarudishia kwenye hanger yake anasepa. Mbwembwe za mawakili hizo.
Ndiyo big Fatma huyo
Imma
 
Back
Top Bottom