Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kwa hiyo kwa taarifa ya wengi humu ni kuwa kazaliwa ndani ya ccm, kaifaidi ccm kuliko maelfu ya mavuvuzela hata waliopo humu JF na bado ana ulinzi wa ccm kupitia baba yake.Ni Mjukuu wa Abeid Amani Karume na mtoto wa Amani Abeid Karume
Lakini bado anaiona ccm ni kimeo na anaipinga wazi wazi matendo yake.
Sasa tuwaulize hawa waliozaliwa nanjilinji na kuwa wameijua ccm walipokuwa sekondari na wanachofaidika ni fulana, kofia na buk7 jee wamejiuliza kwa nini Fatuma hapendi matendo ya ccm pamoja na fursa zote apatazo?